Ukianza kuelewa teknolojia hata kidogo lazima ujiulize maswali kadhaa kuhusiana na habari zao NASA...
Mara ya kwanza 'wametua' mwezini miaka ya 1960... mawasiliano ya simu yalikuwa duni na hata picha zile za black n white watu walingoja filamu isafishwe mara nyingi ndani ya siku kadhaa... ILA...
Wataalam wa lugha na historia ya Afrika Mashariki naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na lugha za jamii nyingine ambazo tulichangamana nazo toka enzi hizo eg jamii za wahindi?
Na ilikuwaje tukachukua misamiati ya Kiarabu...
Mimi ni software enginerr mkongwe, mwenye uzoefu zaidi ya miaka kumi, na nilikua sijaanza kuchangamkia coding via AI, nilikua napiga codes zangu mwenyewe nikitarajia siku nitapata fursa nitajifunza kutumia AI. Sasa ikatokea mteja anahitaji nimtengezee mfumo wa hotel management, na kanipa siku...
Wadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.
Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?
Asante.
Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati.
Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
Wakuu ,
Kumeibuka wizi wa kupitia ATM.
Hasa ile benki flani hivi.
Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS.
Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo.
Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea
maelezo yanayotoka...
Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu.
Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na pia hatuna sana mvuto na hatupendi kujieleza tunaona shida sana kukimbizia mbunye. Ni mwendo wa...
Wataalam,
Jengo ambo liko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 145 unaweza ku modify kwa kuweka frame ngapi zikatosha? Kwa ukubwa size medium Yan vyumba visiwe vikubwa sana Wala vidogo sana..
Yaan nayenyewe yanajitokeza hadharani Et 'Polepole ni muongo, sio kweli ".
Hoja za Polepole, zinakua proved wrong Kwa kutoa tangazo hili 'NIDA/INEC inawaalika Vyama vya SIASA, WATETEZI WA DEMOKRASIA , TAASISI ZA KIDINI , WATETEZI WA HAKI , NCHI MARAFIKI ULAYA NA MAREKANI , NA WADAU WA...
Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona.
Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
Kumekuwa na ufugaji mkubwa wa samaki katika Ziwa Victoria. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia 80 ya wananchi wanaozunguka Ziwa Victoria kwa sasa wanatumia samaki hawa wa kufugwa kama chakula chao tofauti na hapo zamani.
Chakula cha samaki hawa kinatengenezwa na ndugu zetu Wachina. Hatujui...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka mkazo maalum wa lishe bora, malezi yenye upendo na mazingira salama kwa ajili ya ustawi wao...
Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au Usiku? Kuna Siri gani hasa nyakati za Mchana na Alasiri Kiuchumi?
Asanteni.
Kichwa cha habari chajitosheleza...
1. Bei sio kali sana
2. Muonekano ni luxury sana
3. Space ndani ya kutosha
Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
Pale ndege inapoanza kupaa hukimbia na kupiga kelele.
Ikianza kupaa kuna hatua inafika kunatokea hali ya ukimya na wakati huo huo inakuwa kama vile inakosa nguvu na kuanza kushuka chini kidogo.
Hapo ndipo itageukia kushoto ama kulia....then ndipo unasikia machine zinanguruma nguvu kuongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.