uchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania UNAWEZAJE KUWA MCHAFU NAMNA HII NA KUNYWESHA WENZIO UCHAFU

    Basi ,Kuna jamaa mmoja alikuwa ameweka banda lake la kuuza kahawa na tangawizi nje ya nyumba niliyokiwa nimepamga. Basi nikawa mmoja wa wateja wake maana nilikuwa napenda draft hasa hakukuwa na mambo ya eosho media so alikuwa na tv isiyo na rangi tunacheki habari huku inalia chaa sometimes...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Oktoba 2026: Tibeli women, mwanamke mjenzi. Nitasimama

    OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI. NITASIMAMA. Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao. Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umasikini una mahusiano gani na uchafu ?

    Kwa nini masikini wengi ni wachafu sana ? Kwa nini makazi ya masikini huwa machafu sana ? Sehemu wanazokula masikini ni chafu, usafiri unaoutumika na masikini uchafu hutamalaki, vyoo vinavyotumiwa na masikini huwa vichafu sana. Inawezekana kuwa masikini lakini ukawa msafi na kuishi mazingira...
  4. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
  5. Msolid1990

    JamiiForums Tanzania Kila Mkazi awe Mlinzi, tugawanye Miji katika maeneo ya Uwajibikaji ili kutokomeza Uchafu Dar na Miji mingine

    Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kusafisha Mto Ng'ombe (Dar) kisha kuweka uchafu kwenye milango ya makazi ya watu sio salama kiafya

    Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uchafu mijini ni sera ya CCM isiyoandikwa popote.

    Wakuu wa mikoa tutawalaumu bure. Asilimia 80% ya uchafu mitaani unatokana na uholela kwenye kujenga na kufanya biashara. Kuna mitaa ambayo gari la taka haliwezi kuingia na kuzoa taka. Nyumba zinajengwe kwenye njia za maji. Biashara holela mitaani, masokoni na kando ya barabara mijini ndizo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Utekaji na "Majeshi" Binafsi Vikitikisa Nchi: Kwanini Waziri Katambi na Boss Wake Wanaona Dudubaya na Uchafu wa Dar Ndio Kero Kubwa?

    Habari wana-JamiiForums, Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
  9. Insidious

    JamiiForums Tanzania NEMC imeshindwa kudhibiti Uchafu

    Kwenu NEMC; Ninaandika kuhusiana na wasiwasi wangu juu ya hali ya uchafu wa mazingira katika miji yetu. Inasikitisha kuona taka zikitapakaa barabarani, katika maeneo ya wazi, masokoni, kwenye mifereji ya maji na maeneo ya makazi, hali inayosababisha mazingira yasiyo safi na kuhatarisha afya ya...
  10. monotheist

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anatokwa na uchafu mweupe kwenye uke

    Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?

    Salaam Wana JF Hapa ni Sinza Africasana, mtaro wa upande wa barabara ya kuingia Mabatini police Je, mamlaka hazioni hili? Lakini pia Wananchi tunawajibikaje kulinda mazingira yetu? Na ukizingatia tumeambiwa kuwa mvua kubwa zinakuja zikileta maafa? Pia soma ~ Rais Samia: Dar es Salaam ni...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafu Nyamalango: Hatari kwa afya ya wakazi wa eneo hilo

    Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine Uchafu huu huachwa hovyo hovyo pasipo kuchukuliwa kwa hatua husika na hivyo kuhatarisha afya za wanafunzi na wakazi wa eneo hili...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

    ITOLEWE AMRI, UCHAFU KUKUTWA KWENYE ENEO LAKO, FAINI ELFU 50. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii nchi unaweza ukadhani haina viongozi. Unaweza ukadhani haina Wasomi. Unaweza ukadhani haina Watu wazima. Unaweza ukadhani haina wanawake wanaosifika kwa usafi. Kuna mambo ukiyafikiria yanaweza...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Eneo la Michenzani, Jumba Namba 2 kuna uchafu ambao unaharibu taswira ya mji - Zanzibar

    Mimi ni mkazi wa Zanzibar na napenda kuwasilisha kero kuhusu hali ya usafi katika eneo la Michenzani, Jumba Namba 2. Eneo hilo limekuwa na mazingira ya uchafu ambayo hayalingani na hadhi ya eneo la mjini na lenye shughuli nyingi. Hali hii si nzuri kwa afya ya wananchi na pia inaharibu mwonekano...
  15. K

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mpeni adhabu ya kisharia shakh Walid Kawambwa hii itamsafisha na huu uchafu.

    Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh Fanyenye hivi kwasababu nyie na...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ndugu Chalamila huu Mji wako mchafu sana hayo mabasi sio uchafu

    Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka. Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro Weka sheria...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa

    Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu. Vijana wanaendesha bila leseni. Boda bora zinatakiwa ziruhusiwe vijijini tu na kwa mijini...
  18. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kinondoni historically imebakia kitovu cha uchafu wa aina yote tanzania?

    Drugs, madada poa ,makaka poa, matapeli, sex parties, kibao kata, etc
  19. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wanaume weupe hatupendi uchafu

    Hapo vip! Najivunia sana kuzaliwa mweupe kwasababu uweupe ni ishara ya utakatifu,nguvu,utawala,utajiri,mamlaka n.k MFano nuru utawala giza. Kiukweli sisi wanaume weupe hatupendi vitu vichafu vichafu mfano ngono inachafua nyoto,kiasili na ukweli ni kwamba rangi nyeupe haipendi uchafu. Wanaume...
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

    Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
Back
Top Bottom