Elli
Reaction score
25,154

Profile posts Latest activity Postings About

 • mkuu mi sitaki hizo kontakit za mtu wa hiyo hotel ya tanga,ninachoomba kujua kutoka kwako ni kale kachumba ka minimum ya chini kabisa ni shilingi ngapi!baada ya hapo ndo nitaomba hizo contakit!
  samahani mheshimiwa, nimejaribu nimeshindwa nikibonyeza yutube yanakuja mabo mengine tofauti kabisa , nipe ujanja zaidi mkuu
  Thanks.Lakini kauli mbiu si mchezo kuiandaa hili iwe na mvuto ka jamii,Sasa CCM awalioni hilo ,kujivua magamba kabla ujaisimamia jiulize wewe siyo gamba.?
  Kila la heli mkuu
  Wizi wa Laptop

  Kwema jamanii washika dau? Hivi mnajua kwamba sasa Dar ni hatari sana kwa wale wanaotembea wamening'iniza laptop zao mabegani? Ndugu yangu kuna watu wako standby kuipora na kukimbia nayo. Najua unajiuliza luwa inakuaje???

  Sikiliza, ukiwa unatembea barabarani hasa kwennye njia za watembea kwa miguu ambazo Dar magari yanazitumia pia, jihadhari sana na magari yanakuja nyuma yako, hawa jamaa huja kwa mwendo mdogo sana na akisha kukaribia mmoja wao anaivuta laptop yako toka begani mwako na gari kutokomea kusikojulikana.

  Naongea kitu ambacho nimekushuhudia kwa macho mara mbili na mimi nikiwa nimekoswa koswa bara bara ya mwenge- ubungo kati ya junction ya mlimani city na mwenge. Jamaa walikuja na kupora laptop kwa mtembea kwa miguu, na siku nyingine vivyo hivyo.
  Kwa kifupi, kuweni makini, asanteni
  Wizi wa Laptop

  Kwema jamanii washika dau? Hivi mnaju kwamba sasa Dar ni hatari sana kwa wale wanaotembea wamening'iniza laptop zao mabegani? Ndugu yangu kuna watu wako standby kuipora na kukimbia nayo. Najua unajiuliza luwa inakuaje???

  Sikiliza, ukiwa unatembea barabarani hasa kwennye njia za watembea kwa miguu ambazo Dar magari yanazitumia pia, jihadhari sana na magari hasa madogo kama chaser na mengine yanakuja nyuma yako, hawa jamaa huja kwa mwendo mdogo sana na akisha kukaribia mmoja wao anaivuta laptop yako toka begani mwako na hapo ndipo spidi huongezwa na gari kutokomea kusikojulikana.

  Naongea kitu ambacho nimekushuhudia kwa macho mara mbili na mimi nikiwa nimekoswa koswa bara bara ya mwenge- ubungo kati ya junction ya mlimani city na mwenge. Jamaa walikuja na kupora laptop kwa mtembea kwa miguu, na siku nyingine vivyo hivyo.
  Kwa kifupi, kuweni makini, asanteni
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top