wakristo

 1. YEHODAYA

  Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

  Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
 2. M

  Hasa mliowahi kutembelea Israel tujuzeni: Je wakristo walioko Israel huabudu siku ipi? Jumapili au Jumamosi?

  Ningependa kufahamu mambo yafuatayo: Najua Israel kuna dini ya kiyahudi wanaoabudu Jumamosi. Lakini pia kuna wakristo wa kiyahudi walioamua kumwamini Yesu. Je hawa wakristo wa kiyahudi huabudu siku ipi kati ya jumapili na jumamosi?
 3. J

  Mazishi ya Maalim Seif nilisikia mambo 3 muhimu Ibada, Madeni na Msamaha, Wakristo wanajikita kwenye Wasifu na Mashada

  Nilifuatilia kwa karibu shughuli za mazishi ya maalim Seif kuanzia msikitini pale Upanga hadi mazishi kule Mtambwe Pemba kupitia luninga ya Channel ten. Kitu kikubwa nilichojifunza waislamu kwenye mazishi wanamjali zaidi marehemu kuliko wao wanaobaki. Kwa mfano pale msikitini Upanga swala...
 4. B

  Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

  Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa. Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani...
 5. J

  Askofu Mtetemela: Wakristo tunapewa ili tutoe; hatutoi ili tupewe, wanasiasa jifunzeni

  Katika mahubiri yake ya kufunga mkutano mkuu wa sinodi ya DMP ya Kanisa la KKKT, askofu mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglican baba Donald Mtetemela amesema Wakristo tunapewa ili tutoe na Hatutoi ili tupewe. Askofu Mtetemela amesema si sawa kutoa sadaka ukitegemea kupokea ama utajiri, mali au...
 6. Nguseroh

  Serikali ya Iran yashtushwa kwa wingi wa Wairan kubadilika dini na kuwa Wakristo

  Inakuwaje wanaJF! Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini. Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo...
 7. Ami

  Afrika Kusini: Wakristo na baniani waandamana wakitaka adhana

  Baada ya mahakama nchini Afrika Kusini kumpa ushindi mtu aliyetaka kupigwa marufuku kwa sauti ya adhana katika eneo analoishi,wananchi wa madhehebu mbali mbali na imani tofauti kwenye eneo la Isabingo jijini Durban wameandamana wakiwaunga mkono waislamu wakitaka adhana iendelee kama kawaida...
 8. D

  Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa

  Naomba kuuliza wakristo wenzangu kuhusu taratibu za msiba. Akifariki mtu wa kawaida basi Padre tu husimamia ibada. Lakini akifariki mtu maarufu au tajiri basi huja Askofu tena akiwa na viongozi wengine kuendesha hiyo ibada. Kwanini Askofu asiendeshe hiyo misa hata angalau kwa msiba wa kapuku...
 9. Liverpool_Jr

  Zanzibar 2020 Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

  Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar. Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA... Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi? Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa naye ana timu...!!! #YNWA
 10. J

  Unaweza usiamini kama bungeni kuna wabunge Wakristo

  Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani. Tena huwa najiuliza kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani? Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzi kati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda...
 11. matunduizi

  Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

  Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
 12. mtima nyongo

  Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

  Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
 13. KijanaHuru

  Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

  Habari Wana JF Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu. Sasa naendelea na hoja kama kichwa...
Top Bottom