Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
Mwarabu mmoja huko Yudea na Samaria Ana mwaga maji machafu na kinyesi mtoni kwa majivuno na hata kujirekodi akifanya hivyo. "Wapalestina" wanahusika na aina zote za ugaidi. Wanaharibu kila kitu wanachokigusa.
Huu ni Ugaidi wa mazingira!!!
Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe
Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
Marekani imeidhinisha uuzaji wa makombora 5,250 ya Patriot na THAAD kwa Bahrain, Kuwait, Qatar na Falme za Kiarabu kama sehemu ya juhudi kubwa ya kujaza akiba ya ulinzi wa anga wa Ghuba.
Hatua hii inafuatia matumizi makubwa ya vizuizi vya makombora ili kukabiliana na mashambulizi ya makombora...
Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha utawala wa ukoloni wa kilowezi wa kiarabu.
Waomani hao wakatawala eneo la zanzibar na pwani ya afrika...
Kama ni Uhuni basi alianza Mwarabu kwa kutuuza kama nyanya kupitia biashara ya Utumwa
Mtanzania ameumbwa kuonewa na kusamehe inawezekana hii ni laana
Kuuzwa kama nyanya, na kuuwawa na watumwa kwa kukatwa shingo kwakutumia sime hayo ndiyo waliyofanya Waarabu
Leo hii wamejaa Tanzania na kudai...
Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana.
Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
This was 2019,
Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
Vikosi vya usalama vya Israeli vilizuia magari yaliyokuwa yamewabeba Waarabu wakijaribu kuingia kinyume cha sheria kutoka Ukingo wa Magharibi kuingia Israeli katika Msalaba wa Maccabim jana.
Dereva huyo, kijana kutoka Hebron, alijaribu kujifanya Myahudi kwa kuvaa kippah (Angalia video) na...
MAADUI WA WAFUASI WA AHLUL BAIYT WANAZIDI KUJIDHIHIRISHA KWA KUKAA UCHI.
Umoja wa kiarabu washenzi wa kiwahabi Saudia, Qatar, Bahrain, UAE na Kuwait wenye asili ya Kiyahudi wameanza kuwafukuza Mashia kwenye nchi zao, kutaifisha mali zao na hata kufunga misikiti yao.
Ukweli ni kuwa wanarudisha...
Najua waarabu-koko mtanipinga na wote mnaowaramba miguu magaidi!!!
Jana Misri imelaani vikali kupitishwa kwa sheria ya adhabu ya kifo kwa magaidi katika Bunge la Kitaifa Knesset (Bunge la Israeli).
Ni Muhimu kutambua kwamba nchini Misri, adhabu ya kifo imewekwa katika vitabu vya sheria...
Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.