Nilikua bongo bar moja nakula pombe zangu , mara paa likaibuka tukunyema , matumbo na tako lipo , nikalinunulia pombe na nyama 🤔
Nikarudi hapo redstone zaidi na zaidi kwa sababu nilikua nimetulia tu najenga makaburi ya wazee wangu.
Sasa nikazoeleka hapo , nasikia skendo kwa wateja wa kike na...