Je,
ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi?
Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
bado
edward
hayati
hukumu
kabla
kisiasa
kiuchumi
korokoroni
kuomba
lowasa
mpinzani
mtuhumiwa
muda
nguvu
ni kwanini
siku
tanzania
tena
uhaini
ulimwenguni
ushawishi
wana
watuhumiwa
watuhumiwa wa uhaini
zao
Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa.
Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya...
Hawa wengine ni waigizaji
Kama mnabisha wakati utasema
Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 .
Yule pia wa bavicha ni afsa
TLS ni afisa
Kinatali pia ni afisa
Makamo pia ni afisa
Katibu pia ni afisa...
Nimekuwa namfuatilia Sana kwenye platform ya TikTok na YouTube...huyu jamaa nimemkubali Sana kwenye habari za MATUKIO ya kijamii ya hivi karibuni hususani MATUKIO mawili yaliyotokea hivi karibuni ya Kiongozi wa Serikali kumpa maua yake na lile tukio la Mama mpita njia akiwakataza wananchi...
DeletedMember281674
Thread
arusha
habari
hana
jijini arusha
kijamii
kusaga
matukio
mpinzani
Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka!
Tangu zamani...
Salaam jamiiforum.
Pombe ni burudani ambayo ipo tangu enzi za manabii,ikiwa ni moja ya burudani nzuri,yenye kukutanisha marafiki,wachapakazi pamoja na wazalendo.
Sisi wenyewe ni mashahidi ni mara nyingi makampuni kadhaa ya pombe yamekuwa yakipewa sifa na tuzo Kwa kuwa rekodi nzuri kwenye pato...
Mfumo wa ulinzi wa anga wa **Iron-Dome**ya Israeli haina mpinzani!!
Dk. Yuval Steinitz, mwenyekiti wa Rafael Advanced Defense Systems, alisifu mfumo wa Iron-Dome wa Israeli katika hotuba yake kwa mkutano wa mikakati.
"Hakuna teknolojia inayofanana na **Iron-Dome**duniani," alisema Steinitz...
Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.
Unaweza kuila kila siku na maisha yakaendelea. Ila nyama nyingine huwa ni mtihani sana kuila kila siku....
Tumpe...
Habari wanajf
Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo...
Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf?
Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf self?Ujui kama lipumba yupo Alie kujenga?kweli ccm imekubadili akili?
Naumia sana WIZI ULIO kuwepo...
Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3.
1. Division 1 hadi 3
Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele.
2. Division 1 hadi 4...
Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani.
Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.
Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.