ombaomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Lagos, Nigeria yakabiliwa na wimbi kubwa la ombaomba wa mabavu.

    Wakazi wa Lagos wana malalamiko makubwa baada ya jiji hilo kukabiiliwa na wimbi kubwa la kundi ombaomba wa pesa wanaolazimisha watu kuwapa pesa. Raia mmoja wa Lagos ameandika ushuhuda wake akisema; Lagos siku hizi kunakera sana, maana niambieni kwa nini... Nilikuwa kwenye safari yangu ya...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania AFC yafadhili mradi mkubwa wa umeme nchini Burkina Faso kukabiliana na upungufu wa umeme

    Wakati ukandamizaji ukizidi kushika kasi Burkina Faso na sifa kedwkede Kwa Traore ximeyeyuka baada ya Nchi kugeuka omba omba wa Kila kitu. Bwana yule alijizolea umaarufu miongoni Kwa wajinga na yeye kujaa kwenye mfumo lakini baada ya kuona uhalisia wa kuwa Kiongozi wa Nchi amerudi kule kule...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Umasikini ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa malaya na ombaomba kwenye mahusiano yao.

    Anaebisha aje na hoja ya msingi.. Umasikini ndio chanzo kikuu cha umalaya na kuwafanya wanawake kuwa ombaomba kwenye jamii kwa ujumla
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya dada zetu kuwa ombaomba mtaani

    Changamoto ya ombaomba ina historia pana nchini mwetu. Ilishawahi kuwa maarufu sana mjini. Wahenga wenzangu nafikiri mnamkumbuka legend mmoja hivi anaitwa Matonya. Alikua ombaomba maarufu mpaka kufikia hatua ya ombaomba wote kuitwa Matonya. Serikali ilichukua hatua kudhiti hili suala kwa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

    Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi. Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya...
  6. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

    Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine...
  7. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania KERO: WATOTO KUFANYISHWA KAZI USIKU KAMA OMBAOMBA.

    Usiku huu maeneo ya Palm beach mataa kutokea Aga khan, watoto waili chini under 10, wanafanyishwa biashara na kuomba pesa huku wazazi wakiwa chini ya miavuli. Watoto wananyeeshewa na mvua baridi kali. Watoro ni wadogo kuna mmoja wa kike ni mdogo mno Serikali ustawi wa jamii ..
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kihongosi Chadema sio ombaomba. Inachangiwa na wananchi sababu wanaona kina nia thabiti ya kuwakomboa dhidi ya mafisadi.

    Aibu kubwa kwa CCM kwa kuwa na Mwenezi wa taifa ambae ana hoja zisizo na masshiko kama hizi. Hajui hata Tanu ilipokuwa chama cha ukombozi kilichangiwa na wananchi? CCM inachangiwa na wafanyabiashara mafisadi wasiolipa kodi. Amesahau juu ya bil 200 za uchaguzi walizochangiwa CCM na bado...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

    Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
  10. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Mwanga artificial (blue light) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani

    Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala, hata mtaani kwenu ukichunguza watu wanaolala barabarani au nje ya maduka asilimia 99.999 hawana kipara. Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka majalalani, bacteria wakutosha ila nywele zao bado zipo. Ungetegemea labda kwasababu ya umasikini hawa...
  11. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania UDOM ondoeni hao ombaomba ndani ya eneo lenu, mnadhalilisha hicho chuo!

    Soma hapa: UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili Nilimuona mwana-JF mmoja aliandika kuhusu hawa omba omba na issue ya watoto wadogo umri 8-12 wakifanyika kama labor power pale UDOM kwenye link niliyoweka hapo juu, sikumuamini...
  12. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ualimu ndo kada ambayo wakikosa mshahara kwa miezi 2 tu watumishi wake watakuwa ombaomba

    Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija. Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
  13. Mashashola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania Ombaomba Bandia Akamatwa Nairobi Pangani Kenya

    Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari. Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio. Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number...
  14. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta wimbo wa Omba omba wa Bambo

    Wakuu! Kuna mwenye wimbo uitwao OMBA OMBA wa Msanii mchekeshaji Bambo? Nimeutafta sana mtandaoni sijaupata. Ni wa kitambo.
  15. contask

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ombaomba kuhusishwa na Imani za kishirikina

    Waheshimiwa wanajamii wa JamiiForums, nawasalimuni kwa heshima na taadhima. Natumai wote hamjambo na shughuli za kila siku zinaenda vyema. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, na kwa muda sasa nimekuwa nikikumbwa na matukio ya ajabu yanayohusiana na ombaomba mitaani—matukio yaliyonifanya nianze...
  16. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

    Nadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kila Ijumaa eneo la Chagga Street kuna ongezeko kubwa la ombaomba. Je, ni jukumu la nani kushughulikia changamoto hii ya kijamii?

    Wanafika kuazia saa 11 alfajiri kila Ijumaa kumsubiri tajiri wa Oilcom. Naye anawagawia Tsh 2,000/= kila mtu. Mtaa huu ni maarufu kwa vile una migahawa miwili maarufu Chef Pride na KT Shop. Tajiri wa Oilcom anafika mida ya saa 1 kupata breakfast yake Chef Pride Kuna ombaomba wa umri kuanzia...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli ombaomba wa tanzania, wauza bange na gongo wamejazana huko?

    Miongoni mwa mambo yanayonikera mno ni wakenya kujitapa, ya kwamba Tanzania imejaza Omba Omba Kenya, inaniumiza sana sana, serekali ilichunguze hili ione jinsi gani itawasaidia tofauti na wanavyokwenda huko na kuiaibisha nchi yetu, Tanzania ione jinsi ya kumaliza tatizo hilo, endapo kama ni la...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni vigumu kiongozi anayetegemea kila kitu kuchangia kumshinda mwingine aliyejitosheleza kwa hali na mali

    Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na hasara za uchoyo na mazoea ya kupokea au kuchangiwa tu, Kujitegemea na kujitosheleza ni jambo...
  20. ommytk

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie omba omba wanaotumia watoto kuzunguka nao badala kuacha waende shule

    Kuna hii mbinu mpya ya kisasa ambayo omba omba wanatembea na hao watoto kwa ajili kuomba mtaani sioni future nzuri.
Back
Top Bottom