machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
 1. Mpinzire

  Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

  Wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wa soko la Karume (Mchikichini) wameandamana hadi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kushinikiza kiongozi huyo atoe tamko la kuwaruhusu waendelee kufanya shughuli zao kwenye soko hilo. Wafanyabiashara hao wameandamana leo...
 2. U

  Kwanini Karume isijengwe mall ya gorofa 3/4 ya machinga kama Kenya/Uganda?

  Pale Karume lijengwe mall/soko la kisasa ambalo Lina design nzuri siyo Kama machinga complex, Ili liweze Kuacommodate machinga, soko liwe zuri hata China yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like. Liwekewe vidhibiti moto, na features zote. Tuache siasa...
 3. J

  Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

  Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume. Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao. Source: East Africa tv Maendeleo hayana vyama!
 4. At Calvary

  Vipi kuhusu suala la Machinga; bado utaratibu unazingatiwa na je, kuna miundombinu wezeshi?

  Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa. Tuwe wazalendo, tupendane. Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la machinga lilichukua taswira pana. Kukatokea movement kibao na matamko ya kutosha toka kwa...
 5. Merci

  Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

  Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
 6. THE LOST

  Viongozi wa Wilaya ya Misungwi ni wa ovyo, takribani miezi miwili sasa hawajawaonesha machinga wa Usagara maeneo ya biashara

  Rais sema nao hao, wamevuruga biashara za watu zaidi ya mia mbili wa mji mdogo (kijiji kilichochangamka) wa Usagara na hawajawapa maeneo mbadala ya kufanyia biashara licha ya eneo kuwepo. Takiribani miezi miwili Mkuu wa wilaya, Mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri wanaleta danadana tu na...
 7. JAYJAY

  Machinga Wa Feri Poleni Kwa Msiba Mkubwa

  Najua jana katika kulazimisha wapate fedha za kufungia mwaka askari manispaa walivunja godown mnakohifadhi mali zenu na kupora na kuharibu mali na kutaifisha. Kwa kuwa wakati wa tukio mali zilikuwa hazijatolewa wala kupangwa sehemu wanazokatalia msifanye biashara hasa jioni, ni vyema kwa...
 8. At Calvary

  Gazeti la Machinga. Huenda ni kweli kuwa na improved version ya gazeti la Musiba

  Wakuu kwema.? Nimeanza kuamini zile hisia za kwamba gazeti hili ni new version ya gazeti la Musiba. Hii baada ya leo kusikia kuwa wameandika kwamba Polepole hayuko sahihi kuhusu suala la machinga juu ya kile ambacho Polepole juzi kuwahusu. Good morning.
 9. mirindimo

  Neema kwa wamachinga hii hapa! Kila machinga kuondoka na kitita

 10. Mwande na Mndewa

  Kati ya kuchoma vifaranga toka Kenya na kuchoma vibanda vya machinga ipi dhambi kubwa?

  Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
 11. D

  Zoezi la kuondoa Machinga limefanikiwa?

  1. Tathmini ya kuondoa Machinga ikoje? 2. Zoezi limefanikiwa? 3. Kama halijafanikiwa kikwazo ni nini? 4. Kama limefanikiwa nini cha kujifunza kwa baadaye? 5. Miji imekuwa misafi sasa? 6. Foleni zimepungua? 7. Wenye maduka wako huru? 8. Mitaa ya katikati ya miji inapitika? 9. Mitaro inaweza...
 12. B

  Machinga wavamia eneo la Kanisa Dar es Salaam

  13 November 2021 MACHINGA WAVAMIA ENEO LA KANISA BAADA YA KUHAMISHWA, TAHARUKI KUBWA YAIBUKA Mgogoro mkubwa umeibuka kati ya Kanisa la Orthodox lililopo Mbuyuni, Salasala jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara ndogondogo wa eneo hilo maarufu kama wamachinga, ambapo uongozi wa kanisa hilo...
 13. DAVSON

  Uhamishwaji na upangwaji wa machinga unapaswa kutizamwa upya kuna vitu havipo sawa

  Kwa maoni yangu operations za kuondoa machinga zimepitiliza japo msingi wake wake ulikuwa mzuri tu kupanga miji visuri. Hakuna haja ya kuondoa machinga wote mji mzima iliapaswa kuishia maeneno ya katikati tu ya mji. Kwa mfano kwa mwanza sioni ulazima wa kuondoa wamachinga hafi maeneo ya...
 14. S

  Uongozi wa Mbezi Luis utumbuliwe haraka

  Naandika haya wakati vijana wamachinga wakianza kujenga mabanda yao upya pembezoni mwa barabara. Ni ukaidi kwa maelekezo ya Rais. Ni uvunjaji sheria uliopitiliza kwa watu kuonywa na kutolewa eneo husika kwa sababu husika na kukaidi. Je, wamachinga wa maeneo mengine waliotolewa sio wa muhimu...
 15. MSHINO

  Mbunge wetu Gwajima tunaomba kujua imekuaje uhamiaji kukamata mama ntilie na machinga pale mbuyuni

  Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
 16. Chendembe

  Tukimaliza la Machinga, tuliangalie la Karakana

  Napendekeza mamlaka kuliangalia pia suala la kuenea Karakana za magari, mafundi mbao, aluminiam na kuchomelea vyuma. Nakubali kuwa kazi hizi ni chanzo Cha mapato kwa wengi na zinasaidia watu kujikwamuwa kimaisha. Hata ivyo, kumekuwa na uholela wa maeneo ya kuwekeza shughuli hizo. Nashauri...
 17. JOHNGERVAS

  MACHINGA WALIGEUZWA WATEGEMEZI WA FADHILA NA HISANI YA WAKUBWA

  Kumaskinishwa kwa jamii Wakati fulani tulijitambua kama watu tunaojitegemea na kujiletea Maendeleo Siku za usoni Tukaaminishwa kuwa wanyonge na wategemezi! Wategemezi wa fadhila na hisani ya mkubwa Tukafuria kuwa wanyonge, maskini! Tukafanywa fukara wa fikra, mali na utu! Haki yetu ikageuzwa...
 18. Replica

  Mbunge Musukuma: Ukiwatoa machinga Mtaa wa Congo biashara imekufa. Asema pamoja na Mwigulu kumtaja tajiri yeye ni zao la machinga

  Mheshimiwa spika, nitalisema kwa upole sana suala la machinga maana nikizungumza kwa ukali nitasemwa mimi sio mtanzania lakini nilivyolisea mwanzo nahisi watu hamkunielewa. Niliposema niliambiwa mimi ni mrundi sio Mtanzania. Mimi natoka vijijini na ni mkulima wa mpunga, gunia la mpunga ndani ya...
 19. B

  Badala ya machinga kuwekwa kwenye mkondo wa maji Jangwani serikali ifanye yafuatayo

  Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo unapaswa kufanyia utafiti na siyo kufanya- siasa. Koko bearch Kuna sunami, Jangwani Kuna mkondo wa...
Top Bottom