Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane.
Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha.
Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu.
Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu...
Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa Takatifu na Msanii Mabeste hatimaye ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa mumewe wa zamani Mabeste na mwanaume huyo kuoa mwanamke mwengine baada ya kudumu na Lisa kwa muda mrefu
Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu..
Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
MREMBO JENNIFER MULFORD kutoka ATLANTA, MAREKANI, ameibua maoni mseto mitandaoni baada ya kuripotiwa kuacha kazi yake ili apate muda mrefu wa kumnyonyesha mpenzi wake mwenye umri wa miaka 36.
Mwanamke huyo, ambaye awali alikuwa akifanya kazi kama mhudumu wa baa, alidai kuwa aliamua kuacha kazi...
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake.
Kwa mujibu wa taarifa, nguvu ya kunyonya kwenye ngozi ya shingo inadaiwa kusababisha damu kuganda ndani ya mshipa, na...
Super star big Brand, Megan alipo kuwa anahojiwa kwanini mahusiano yake na mchezaji mkubwa wa kandanda, romeru lukaku hayakudumu.
Megan alijibu kifupi tu"nilichukua chumba cha hoteli, nilipo muomba lukaku pesa ya malipo ya hoteli, alidai jigharamie mwenyewe, hiyo ilitosha kabisa kuachana nae.
Imagine unakaa na mtu wako unashika simu yake unagundua kwamba anabeti na ni gwiji kabisa ,fundi wa kusuka mikeka , unakuta betting slips kwenye simu yake, mpaka walpaper yake amemueka Bukayo Saka na watu wanamtegemea kwenye kupata odds.
Utafanyanye ukigundua mpenzi wako ni wa hivyo.
Umeshawahi kujiuliza kwa nini mapenzi ya kwanza husalia akilini kwa miaka mingi? Na kwa nini ni vigumu kwa watu wengi kuwasahau wapenzi wao wa kwanza? Pamoja na kwamba maisha yanaendelea na mtu anaweza kupata mahusiano mengine, kuna kumbukumbu fulani za mapenzi ya kwanza ambazo huonekana kugoma...
Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza.
Nimewahi kumuuliza kama...
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli mpenzi wangu ananipenda au amenizoea kwa sababu ya msaada ninaompa.
Wakati hana pesa, huwa mtu tofauti kabisa. Ananipigia simu, ananijulia hali, anataka tuongee na huwa ananifanya nijisikie kama mimi ndiye mtu muhimu zaidi kwake.
Kuna wakati amekuwa na shida...
Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo.
Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi anasema yupo busy. Nikimtumia ujumbe anaweza kunijibu baada ya muda mrefu sana, wakati mwingine hata...
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage, amefichua maelezo kuhusu mahusiano yake ya zamani katika mahojiano ya hivi karibuni, akieleza jinsi alivyomsamehe aliyekuwa mpenzi wake baada ya kumsaliti, lakini bado mwanaume huyo aliamua kuondoka.
Katika maelezo yake, msanii huyo...
Mahusiano ya siku hizi yamekuwa kama vita vya mashambulizi ya kushtukiza. Hofu kubwa kwa watu wengi haipo tena kwenye kuchepuka, bali ipo kwenye kujulikana kwamba unachepuka.
Mtu anaweza kuwa na mahusiano ya pembeni kwa muda mrefu bila kuona tatizo, mradi tu usije ukagundua. Kwa lugha nyingine...
JAY MOE - MPENZI KWAHERI
Intro:
"Au sio Kwahiyo ndio Unaondoka
sio ,
Amna Noma Bwana , Mi ndio Hivyo Nipo,
Au sio kinachoenda ndio kinachorudi."
Verse..1
Kwanza sikuwa na Muda wa Mapenzi kabisa/
Niliumia kichwa Kwa sababu Ya Mapenzi Ya pesa/
Bila shaka Mapenzi Mazuri hayahitaji Tajiri/...
Naomba nianze na mimi
Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel
Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight"
Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
Hello jf members
Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
Wapo wanaosema kwamba mpenzi anapaswa kujua password ya simu ya mwenzake kwa sababu mahusiano yanajengwa juu ya uwazi na uaminifu. Kwa mtazamo wao, mtu asiye na jambo la kuficha hana sababu ya kukataa kushiriki password yake.
Lakini wapo wanaopinga hoja hiyo wakiamini kuwa kuwa kwenye mahusiano...
Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii
Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀
Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa zamani hapa 😁
Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu.
Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.