Tafsiri ya kiswahili ya kitabu How to win friends and influence people by Dale Carnegie.
KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA
Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki kadhaa...
KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA
Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki kadhaa, mhalifu aliyejulikana kama Crowley “Bunduki mbili”, muuaji na jambazi wa kutumia silaha ambaye...
Habarini wana jamvi.... natumai mpo wazima kabisa..
Kuna kipindi nilikuwa katika changamoto fulani za kimaisha (ni kawaida katika maisha kupitia milima and mabonde). Sasa, nilipambana sana kuweka mambo sawa lakaini ngoma bado ikawa ngumu.... kwakuwa nilikuwa msomaji sana wa Biblia na vitabu...
Habari za Sabato!
Kuna ile unafikiri watu wanakuheshimu kwa kiwango cha juu. Kiasi kwamba hata ukitema shudu, pumba, ukitoa boko basi watu kwa heshima waliyonayo kwako watakustahi.
Ni kweli mtu anayekuheshimu sana hawezi kukuzomea, kukukatili, kukukatisha, kukufedhehesha. Hilo ni kweli kabisa...
Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo...
Kiroho na kihesabu (Numerology), tarehe ya leo Juni 26, 2026 kubeba Nishati ya Namba 8, ambayo ni namba yenye nguvu kubwa ya mafanikio ya kifedha, mamlaka, na uwiano wa kimaisha (Karma).
Hii ina maana kuwa mambo au makubaliano yatakayofanyika leo yana nafasi kubwa ya kuwa ya kudumu, yenye...
Wakuu nimeota hivi
"Nilikuwa mimi na marafiki zangu tukitembea njiani pamoja tukafika sehemu tukakuta kuna hitilafu ya nyaya za umeme. Tukashauriana tupande juu ili turekebishe nyaya tukajaribu ila tukakosa belt balance position. Ikabidi turuke kwenye paa la nyumba. Ili tusubirie hizo belt...
Kwako vinaweza kuwa viungo vya kawaida vya mwili
Ulimwengu wa kiroho unatambua viungo hivi kama nyenzo kuu za hatimiliki ya mwanadamu, ambapo
1. Macho yanawakilisha ufunuo na maono
2. Miguu inaashiria hatua na maendeleo
3. Mikono inabeba mamlaka ya uzalishaji.
Kwa maana hiyo basi
.Macho ya...
Kipindi hiki cha mpito kuelekea nusu ya pili ya mwaka kinabeba siri nzito inayotengeneza mstari wa mgawanyiko kati ya yaliyopita na yajayo.
Haya sio mabadiliko ya namba kwenye kalenda tu, bali ni lango la kiroho linalofungua madhabahu mapya ya matokeo katika ulimwengu wa roho.
Ni majira...
Katika mtazamo wa kiroho wa Kikristo, mapigo kumi ya Misri yanaweza kuonekana kama mfano wa hatua ambazo Mungu humpitisha mwamini ili kumwondoa katika utumwa wa dhambi na kumfanya afanane na Kristo.
Misri inawakilisha ulimwengu wa dhambi, mwili, na utumwa wa shetani. Kwa Mkristo, mapigo haya...
Tumeshuhudia wanavyonyukana kugombea nani awe na mamlaka ya mali ya umma
Hili ni janga la Afrika ndio maana hadi leo hakuna muungano unaoeleweka
Yale yale ya ukawa na siasa za Tanzania
Bora kubaki na CCM kuna aina fulani ya utu na uungwana kuliko kilichotokea Chadema
Lossu, Heche na...
Shikamoon wakubwa zangu wote
Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani.
Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini...
CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima.
Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
Zamani zetu kuwa chizi/ kichaa ilikuwa msiba wa kaya na jumuiya yote ya eneo hilo
Sababu za uchizi zilitafutwa na kufanyiwa utafiti. Familia husika ikifanya kila liwezekanalo isihusishwe na vinasaba kwakuwa ingekuwa na impact mbaya kuanzia mahusiano, uongozi mpaka biashara
Sababu maarufu...
Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha
1. Samia kuwa kifuani, mbele
Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani
2. Lissu kuwa...
TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI
Na GULATONE MASIGA
Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres, wakati akipokea ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya...
Neno mama:-
1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko".
Mfano.
(a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako).
(b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako).
2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno "mama" ni nyoko.
Mfano. K*ma"nyoko" ni tusi la kiswahili lenye muunganiko wa maneno mawili; "k*ma" na...
Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie watu wengi. Pia kwa makusudi iliacha mapengo ya tafsiri yanayokuja baadae kuleta utata wa kisheria...
1. Waziri mkuu
Mwigulu Nchemba
Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali
Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi
2 Wizara ya Afya
Mchengerwa
Huyo kifua kipana ameweka hapo ili kuthibiti habari za vifo na maiti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.