Tiba asili za mimea ni hazina kubwa na ya thamani sana katika ustawi wa afya ya binadamu. Kwa miaka mingi, mimea imekuwa chanzo kikuu cha utatuzi wa changamoto mbalimbali za kiafya, na hata dawa nyingi za kisasa zinazotumika hospitalini leo hii asili yake imetokana na kemikali hai...
Wakuu naomba msaada.
Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula. Nimemaliza dozi jana usiku lakini bado sijapata nafuu.
Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kutumia natural remedies zilizomsaidia kupunguza homa, maumivu ya mwili...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limetoa limesisitiza kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda urithi wa mila, utamaduni, tiba asili na mazingira kama nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya Taifa.
TRAMEPRO inasisitiza kuwa maeneo ya mila, maarifa ya tiba...
Waganga wa tiba asili mkoa wa Tabora wamesema kuelekea uchaguzi mkuu hawatokubali kushiriki kuwagua wanasiasa katika njia ambazo sio sahihi ikiwemo kutumia viungo vya binadamu pamoja na vishawishi vyovyote vya kutaka kumzuru mtu ili kumfanikishia mtu mwingine.
Msimamo huo umetolewa na...
Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete.
Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani.
Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu
Siku ya leo nikawa...
Salaam.
Wadau wa JF, nna Mdogo Ang wa myaka 17 anateseka Sana na shida ya tonsils.
Ametibiwa hospitali Mara kadhaa, Hasa akiwa anakaa shule Ila shida imebakia kuwa nzito akahamia day.
From there tatizo limepungua Ila humrudia Kila Mara Licha ya kutumia doze na kumaliza.
Kila akila kitu...
Hellow wakuu,
Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka
Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike,
Kukosa usingizi sio...
Salamu Wana jukwaa...
Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana.
Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali.
Naombeni ushauri
Wakuu nimekuwa nikiona watangaza bidhaa za dawa za tiba asili wanadai dawa zao hazina kemikali kabisa na kusisitiza watu kutumia hizo badala ya za hospitali ambazo huwa na kemikali.
Nimekumbuka baada ya kuona Heparin ameandika kuwa dawa zote za asili huwa ni salama kwa silimia mia na hazina...
Waganga Watafiti wa Tiba Asili wapatao 250 kutoka Afrika wanakutana nchini Tanzania kutembelea Mzimu wa Afrika uliopo Chalinze mkoani Pwani na kutoa huduma za kitabibu bure kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa sugu.
Hayo...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili.
Nini kinasababisha yote haya?
Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu?
Au kulea ugonjwa...
Waganga wa tiba asili wakiongea na viongozi wa serikali leo mjini Sumbawanga wamesema kuwa wachungaji na manabii wa makanisa mengi ni matapeli.
Katika mkutano ulliowakutanisha viongozi wa serikali wa wilaya ya Sumbawanga wamesema chumvi na maji wanayowauzia waumini wao haina upako wo wote. Pia...
Utangulizi
Kipindi cha ukoloni, watawala wakishirikiana na wamisionari (waliokuwa wanaeneza dini tofauti na zile za asili), walifanya kazi kubwa sana kuwaaminisha wenyeji kwamba matumizi ya Tiba asili ni ushirikina, na ni dhambi!
Kampeni hii ilienda sambamba na ujenzi wa hospitali na vituo vya...
Mbunge Ameir Abdallah: Tafiti zipi Taasisi za 'Tiba Asili' Zimekamilisha na Kuwa Suluhisho la Maradhi Kama Tiba Mbadala?
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wasomi nchini kubadili fikra zao kwa kutumia akili vumbuzi na sio akili kibarua ili kulisaidia taifa kusonga mbele kwa...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote.
Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake.
Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
Habari JF,
Kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili .
Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa...
No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines and mostly in warm countries.
This grass is widely spread along river banks, settled areas and even...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.