Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT
Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi...
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT
Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wapili kulia), akimkabidhi Mguu wa Bandia mkazi wa Tanga mjini, Bi. Rehema Amour (wa pili kushoto), katika hafla ya Kugawa Miguu Bandia kwa watu wenye mahitaji maalum, iliyoratibiwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Mwanaisha Ulenge...
Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali.
Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo.
Kwa mujibu wa taratibu za kawaida, zabuni mbalimbali hutangazwa kwa uwazi kupitia mbao za matangazo na...
Anonymous
Thread
chama
chama cha ushirika
changamoto
katika
kilio
manyoni
ndani
ushirika
uwazi
zabuni
Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea.
Ngoja nimwambie:
- Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imetoa rai kwa wazabuni kutumia Moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko katika mfumo wa NeST ili kuokoa muda na gharama zisizo na ulazima.
Rai hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando alipoongea na waandishi wa Habari katika...
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5.
Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja.
Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
Je, wewe ni mkandarasi, mzabuni wa kusambaza vifaa, au mshauri elekezi wa miradi mbalimbali ya ujenzi na unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘Nationale-Procurement System of Tanzania’?
For more info: freelancer3518@gmail.com
Copy & paste
Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao...
Salaam Wakuu,
Baada ya Waziri wa TAMISEMI kuagiza DART itafute mwekezaji binafsi wa kuendesha Mabasi ya Mwendokasi, sasa mambo yamekuwa moto.
Hadi sasa Makampuni 30 yameomba kuendesha Mabasi hayo.
MY TAKE
Nani wa kutoboa mbele ya Mwarabu?
=====
Dar es Salaam. Two Tanzanian companies are...
Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka majumbani kwa ukamilifu.
Tangu mwezi wa 11 mwishoni 2023 hadi leo kuna maeneo mfano Sinza c uchafu...
Anonymous
Thread
kila nyumba
kuondoa
nyumba
sinza
uchafu
wameshindwa
zabuni
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni mbili za ujenzi wa bandari ya Kisiwa Mgao mkoani Mtwara, Mbegani wilayani Bagamoyo, kadhalika bandari ya Tanga.
Zabuni hizo, zinatangazwa kipindi ambacho kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali juu ya bandari zote nchini kukabidhiwa kwa...
Profesa Makame Mbarawa amekuwa akisema DP world ilipewa mkataba wa bandari kwa kuwa ilishinda kwenye kuomba zabuni ya uwekezaji wa Bandari (akidai ikizishinda kampuni zingine saba) na wakati huo huo document za mikataba ambazo zimetiwa saini na Professor Mbarawa huyo huyo zinaonyesha DP world...
Naam, ni DP World Luanda Port.
Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic.
Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
Moja kwa moja kwenye hoja
Mchakato wa kumleta DP World amezingatia sheria gani?
Kwa Sheria ya Manunuzi imeweka takwa la mchakato wa manunuzi kuwa na ushindani wa wazi. Vipo vipengere vinavyoruhusu kufanya bila ushindani lakini lazima kuwe na sababu za msingi kama dharura na sababu za...
Muktasari:
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka na kwamba, fedha za wanachama ziko salama.
Dar es Salaam. Mchakato wa kumsaka mzabuni kwa ajili ya uuzaji wa mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam...
Mkurugenzi Mkuu asema thamani ya Mfuko imeongezeka na fedha za wanachama zipo salama.
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Zabuni iliyotangazwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya kuuza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam, bado ipo katika mchakato...
Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya kigiriki kutengeneza karatasi za kupigia kura.
Ukweli wake upoje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.