Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona.
Mwaka jana 2025 walitoa ujumbe kwenye account zetu za ESS kuwa wanaotaka kuhama kuwafuata wenza wao waandike...
Anonymous
Thread
halmashauri
majibu
maombi
mbeya
miezi
tamisemi
uhamisho
zaidi ya
Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana ukweli ni kwamba, nyumba nyingi tunazoishi ni za hali ya kawaida tu na si kila mtu ana uwezo wa...
1. Yuko wapi Humphrey Polepole?
2. Nani aliyetoa amri ya kuua raia october 29 na kuendelea?
3. Iko wapi miili ya waliouawa october 29 na kuendelea?
4. Unajisikiaje kuwepo hapo ulipo kwa hali hii?
Baada ya maswali hayo, nakupa pole kwa kufiwa na mumeo, hakika KIFO NI KIFO TU.
Wachezaji wa zamani wa Nairobi City Stars wameibua madai kwamba bado wanadai mishahara na allowances walizopata katika msimu uliopita—takribani miezi mitatu baada ya kuahidiwa kuwa arrears zao zingelipwa.
Mmoja wa wachezaji, ambaye ameomba kutotajwa, anasema club iliwalipa mshahara wa mwezi...
Kero yangu ni Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo (SME), Wilaya ya Ilala. Kimekuwa kikichukua muda mrefu sana kushughulikia maombi ya leseni.
Unaweza kukuta umeomba leseni kupitia mfumo wa TAUSI, halafu inapita hata miezi minne bila kupata leseni. Ukienda kufuatilia, watumishi wao...
Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa.
Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi.
1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi...
Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali...
Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka.
Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni.
Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
Ikitokea Rais mwenyeji kutofautiana kimazungumzo na Rais mgeni katika nchi yake, na Rais mwenyeji akaamua kutoa agizo kwa majeshi yake, yamkamate Rais mgeni kwa kuwa wametofautiana kimaongezi; je hiyo inawezekana kutokea?
Mfano Rais wa Marekani awe nchini China, halafu Rais wa China atoe agizo...
Wakati mataifa mengi ya Afrika Mashariki yakihangaika kuboresha mifumo yao ya elimu, wabunge kutoka Uganda wamegeukia Kenya kutafuta mafunzo kuhusu mageuzi yanayoweza kuboresha sekta hiyo nchini mwao.
Ujumbe wa Kamati ya Elimu na Michezo ya Bunge la Uganda ulifanya ziara katika Bunge la Kenya...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imemjibu Mdau aliyeandika ~ Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini?
UFAFANUZI WA MWAUWASA...
Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza katika...
Namshangaa Samia na matume yake.
Tume ya CHANDE ilimwambia vijana walilipwa ili waandamane, walilipwa ili wachome nchi , hao vijana zaidi ya elfu 2 ameshawaua na yeye ndo alitoa amri watu wauwawe akidhani anakomoa CHADEMA.
Leo anaagiza tume tena ikachunguze wale vijana aliyo waua kuwa...
Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania.
Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
Familia za vijana kutoka Mathare na Huruma zimefika hadi Bungeni kudai majibu kuhusu wapendwa wao waliotoweka katika mazingira yasiyoeleweka.
Juni 18, 2026: Joel Kariuki Mwai, mfanyabiashara na aliyewahi kuwania udiwani, aliripotiwa kutekwa na watu waliokuwa wamevalia kiraia katika eneo la...
Kwako Dr Emmanuel Nchimbi;
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.