Viti Levu (pronounced [ˈβitʃi ˈleβu]) is the largest island in the Republic of Fiji. It is the site of the nation's capital, Suva, and home to a large majority of Fiji's population.
Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha.
Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa ya Kibaha wameshindwa kabisa kuhamasisha wadau na viwanda vilivyopo eneo hilo kuchangia kuboresha...
Idadi kubwa ya wajumbe wa Umoja wa Mataifa walitoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alipoanza kutoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliowakutanisha viongozi wa mataifa mbalimbali Septemba 24, 2025.
Netanyahu aliwaita walioondoka kuwa “waoga...
Jen. Ulimwengu: Fr. Kitima, Wewe unasema kwamba ulipata takwimu za uchaguzi uliopita.
Fr. Kitima: Zilitangazwa siku kabla ya kuapishwa mheshimiwa rais na waheshimiwa wabunge tulitangaziwa. Mimi nilitegemea nilipata tu kwenye vyombo vya habari. Unajua mimi kwanza siruhusiwi kuobserve sisi...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza kuwa watumishi wa umma wanaopanga kuwania nyadhifa mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027 wanatakiwa kujiuzulu kufikia Februari 10, 2027.
Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amesema tarehe hiyo ni miezi sita kabla ya uchaguzi na...
Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini
Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
Bunge la Tanzania lina zaidi ya wabunge 100 wa viti maalumu. Hawa watu mchango wao ni upi kwa Taifa? Nikweli nchi yenye uchumi wa chini kama Tanzania tunahitaji kurundika watu wote hao bungeni?
Ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, idadi hiyo ipunguzwe hadi idadi ya wabunge wa viti maalumu...
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema kuna timu waliwahi kung'oa viti, kitendo kile sijasahau na upelelezi unaendelea.
Wabunge wa Viti Maalum hawajui kazi zao, hawajui miongozi, hawajui kanuni lakini hawajui maana ya Bunge na wamekuwa wakuzungumzia maisha yao binafsi wakitaka kuaminisha ni tatizo la kitaifa na ukiangalia mochango mingi huwa ni mahusiano.
Mbunge Viti Maalumu, Zainab: siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, kama kuwa MC unahigaji mtaji gani?
Kama vijana watapatiwa uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizuri, wataweza kutengenez vipato vyao na kuweza kupata 50,000 kwa siku, kupata 1500,000 kwa mwezi. Serikali imesema...
Mbunge wa Viti Maalum Tanga Husna Sekiboko - jana April 17 akichangia hotuba ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka.
Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabidi amuulize...
Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya
Moja kwa moja kwenye hoja
Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ?
Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
Nimeona taarifa ya tozo ya HIV katika ununuzi wa magari, sijui hii tozo kama ilipitishwa na linaloitwa bunge la JMT au hata kama ilipitishwa sijui ni lini kwa sababu nimeacha kabisa kufuatilia mambo ya bunge tangu mwaka 2021 Hata hivyo pamoja na kutawaliwa na watu waliojipachika wenyewe...
Nimeona mwaka huu wanawake wale wasiojiheshimu na waliopoteza heshima kwenye jamii wanatangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum.
Kuitwa mbunge kunaenda sambamba na kuitwa mheshimiwa, jina/cheo kinachoonekana kuwa na hadhi ya juu nchini Tanzania.
Kilichonishangaza ni kuwa watu...
Eeee nacheka kama mazuri
Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba .
Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum
Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee .
Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
Jamiiforums,
Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili.
Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo.
IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge.
Ukiwatoa wale wa kura za...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa.
Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.