Hivi ni kweli wataalam wa Tiba Asili nao wameshindwa kupata Tiba ya mtoto wa jicho?

Dawa zipo ila nafikiri unatakiwa uwahi wakati tatizo linaanza likishakomaa hakuna namna ni lazima ufanye operation
 
Nenda hospitali ukadungwe machanjo utapona cataracts.

Nyie si mnajiita wajuzi na wanasayansi???

Magufuli alipowaambia mjifushe mkamuita mshamba na mjinga.

Haya nenda hospitali ukapasuliwe mijicho uwe chongo.
 
Majani ya nyanya ponda weka maji yake, kama tatizo ni kubwa kuna majani ntakutumia picha yake pia unayaponda maji yake unaweka.
Kwa mtoto wa jicho huwezi weka majani ya nyanya weee usisababishe jamaa akauwa macho yake.
Majani ya nyanya tuliwekwa kipindi cha utoto tulipo umwa red eyes
 
Kwa mtoto wa jicho huwezi weka majani ya nyanya weee usisababishe jamaa akauwa macho yake.
Majani ya nyanya tuliwekwa kipindi cha utoto tulipo umwa red eyes
Hio ni dawa ninayoijua mimi na ambayo nimeona ikitibu watu sasa siko hapa kwa ajili ya kusababisha ,kusema au kufundisha kitu ambacho sijui na kinaweza kumdhuru binadamu. Na pia aliuliza sasa yeye ndiyo atachagua kutumia au kutokutumia akiona haifai.
 
Back
Top Bottom