Gal 5:19-21
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya,
1)uasherati
2)uchafu,
3)ufisadi,
4)ibada ya sanamu,
5)uchawi,
6)uadui,
7)ugomvi,
8)wivu,
9) hasira,
10)fitina,
11)faraka,
12)uzushi,
13)husuda,
14)ulevi,
15)ulafi,
na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia...