wavivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wana-JF tusiwe wavivu ku-comment na kuishia kutoa likes nk peke yake; reply thread nzuri ili zikae kwenye chat muda mrefu na ujumbe usomwe na wengi

    Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma: Sakata la kazi visiwani, Wazanzibari ni wavivu!

    Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar. Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari. Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili. Mnasemaji wajameni
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania Museveni: Nkifika mbinguni nitapewa kitengo Cha kuchoma moto wavivu

    Rais wa Uganda, , amesema bara la Afrika lina watu wengi waliopata utajiri mkubwa kwa njia za dhuluma badala ya kufanya kazi halali, akisisitiza kuwa vitendo hivyo haviwezi kuwa msingi wa maendeleo ya kweli. Akizungumza katika hafla ya hadhara, Museveni alisema anawafahamu baadhi ya watu...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kinyamwezi ni wavivu na wanapenda Sorcery (Nsamba)

    Wanawake wa kichaga ni assets kataa kubali. #hakuna mchanga fala.
  5. Wakufoji

    JamiiForums Tanzania Wanawake huenda ni wavivu wa kujiongeza

    Kwa uchunguzi wangu nimekuja kugundua wanawake siyo wabunifu na ni wavivu wa kujiongeza. Yaani ni kama hawafanyi mambo kwa kujiongeza. Mfano anaweza kushindwa hata kupachika laini ya sim au Au pakiwa na kitu cha kutumia akili ya kujiongeza huenda akashindwa wao wana fanya mambo kimazoea...
  6. Secret Star

    JamiiForums Tanzania 'Wasomi' Wanawaachia Watoto Wao Umaskini Kisa Kulisha Ndugu Wenye Watu Wazima Wavivu?

    Leo tuvunje ile meza tunayokalia kujadili "Upendo wa Ndugu". Kuna ugonjwa mkubwa sana wa kiuchumi unaotafuna wasomi na wafanyakazi wengi, ugonjwa ambao tunaupa jina zuri la "Kusaidia Familia". Ila ukichunguza kwa kina huu ni utapeli wa kisaikolojia na ni wizi wa wazi wazi! Tumezungukwa na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Zama za Babeli (Iraq) Uajemi (Iran) na Rumi zimeshapita Iran haiwezi kuinuka Tena LAZIMA ibondwe Kutimiza unabii tusiwe wavivu kusoma maandiko

    Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wavivu kama wanyanyua vyuma

    Usiwaone wana kifua kipana wamejazia full minyama. Hawa jama nje na kunyanyua vyuma ni wavivu vibaya mno. Mkute gym ananyanyua vyuma hadi kg200-300kg 🏋️‍♀️ lakini huyohuyo mpeleke kazi za shamba ataishia kula chakula chako chote bila kukifanyia kazi yoyote. Na hii imepelekea wengi wao...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wengi Wanapambana, Sio Wavivu Tupeane Faraja na Upendo

    Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika. "Ila kuna vitu watanzania wenye nafasi flani kabla ya kuongea au kufanya tufikilie mara mbili mbili, wasanii tupo wengi...
  10. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri (watu waliofanikiwa) hudhani masikini ni wavivu?

    Kabla ya yote, kwanza pita katika Thread 'Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika' kisha ndo tukae kujadili title ya uzi huu hapo juu “Nikwanini Matajiri (Watu waliofanikiwa) Hudhani Masikini ni Wavivu?” Si Nasibu na Omari pekee ndio wamekuwa wakwanza...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Wavivu: Ofisi za Umma leo zimefungwa kwa siku ambayo sio Public Holiday

    Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia jumamosi. Yaani maafisa wamejipa tu mapumziko, kuanzia mtendaji wa kijiji mpaka Mwanasheria Mkuu na...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao Yaani unaweza kati ya...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wavivu, wajanjawajanja wasio nanidhamu na kilichowapeleka chuo ndio wanapelekea wenzao waambiwe warudi VETA

    Ukisoma chuo kwa kumaanishaha huwezi kuhitaji Kwenda VETA unahitaji kuwatumia vijana wa VETA kutengeneza ajira. Hiki nadhani ndio kinatakiwa kusisitizwa. Ubongo wa mtu aloyepitia chuo kwa kumaanisha unauwezo mkubwa kuliko wakufunzi wote wa VETA na wanafunzi wao. Nimeona CHUO mtu anapewa...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wavivu?

    Maneno haya niliyasikia kutoka kiongozi mmoja wa Dini! Yalinifikirisha!yanipa uzito katika moyo!Yakaniachia kazi ambayo mpaka Sasa natumika nayo! Nawaza ni kweli watanzania ni wavivu? Je kigezo kipi kimetumika kupimwa uvivu huu? Mbona umetajwa ka ujumla na kwa urahisi? Nawaza kwa habari ya...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Simbachawene alikiri 40% ya Watumishi wa Umma ni Wazembe, Wavivu, incompetents, kwanini Serikali iendelee kuwabeba?

    Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana. Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Donald Trump : Afrika inabidi iache utamaduni wa kuwa wavivu na kutaka kusaidiwa

  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanaoshangilia ushindi wa Trump kwa sababu ya misaada kupunguzwa ni wavivu wa kufikiri.

    Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano Wale wanaosema misaada ya US...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watoto sio wazembe wala wavivu au vichwa vigumu wana ‘learning disabilities’

    Habari wana JF, Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa. Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao maendeleo yao shuleni kwenu yako chini sana hayalingani kabisa na umri na watoto wa rika lake...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mariam Sagini: Wababa wamekuwa wavivu wanaenda kwa Waganga kutafuta utajiri, Watoto wanaharibika

    Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amesema kina baba wamekuwa wavivu wa kufanya kazi inafikia mawazo yanawapeleka kwa waganga kutafuta utajiri na huko wanapewa masharti ya kubaka mtoto wake wa kumzaa. Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya...
Back
Top Bottom