museveni

 1. J

  Corona: Hatimaye Rais Museveni asalimu amri, apinga ufanisi wa curfew za usiku, aungana na Magufuli

  Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo. Rais Museveni wa Uganda amesema uamuzi wa kuwafungia wananchi ndani ni kuwatesa na kuuwa uchumi wa nchi. Museveni amesema...
 2. Nigrastratatract

  Museveni: Maabara ya Taifa la Uganda imedanganya kuhusu vipimo vya Corona

  Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna uzembe umefanyika Maabara na kupelekea Watu kuambiwa wana corona wakati hawana >> tuna maambukizi 679 ya corona hadi sasa Uganda ila kati ya hawa Watu baadhi yao wameambiwa wana corona baada ya vipimo vya Maabara pale Makerere wakati hawana, Maabara...
 3. Cannabis

  Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

  Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
 4. Manton

  Museveni na Kagame, heko!

  Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya...
 5. Pdidy

  Waganda wanavyoteseka na lockdown. Mh Museveni ingilia kati mtakufa waganda

  Kutokana na sheria zilizopo ukiwa na mgonjwa unaita ambulance. Now ambuulance beii zake hazishikiki kabisa. Watu wanakufa kila kona kwakukosa usafiri. Angalia mh Rais hili kama mtu hana hela anakufa nyumbani inaondoa maana ya lockdown kabisa. Inahuzunisha sanasana
 6. Sky Eclat

  Urais Afrika

 7. Influenza

  Stella Nyanzi aliyehukumiwa kwa kumtukana Rais Museveni Facebook, ameachiwa Jaji akisema alihukumiwa kimakosa

  Mwanaharakati Stella Nyanzi aliyefungwa akielezwa kuwa alimtukana Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameachiwa huru huku Jaji akieleza kuwa alifungwa kimakosa Msemaji wa Magereza, Frank Baine amesema Stella alirudishwa katika gereza alilokuwemo lenye ulinzi mkali kwenda kuchukua vitu vyake baada...
 8. Sky Eclat

  Rais Museveni wa Uganda akipigiwa magoti na wazee huku akitoa pesa kwenye bahasha za khaki

  Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki. Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani February 9, 2021. Kiongozi huyo wa taifa la Uganda ameongoza Uganda kwa takribani ya miaka 34 hadi...
 9. S

  Rais Museveni atoa mitaji kwa wake wa Maafisa wa jeshi

  Rais Museveni ametenga fedha maalumu kwa ajili ya kuongeza vikundi vya ujasiria mali vya wanawake wa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) ili kuboresha zabuni yao. Gen Muhoozi alisema Rais Museveni alifikia uamuzi huo baada ya majadiliano aliyofanya na Maofisa wa Jeshi...
 10. GENTAMYCINE

  Kwa kauli hii Rais Museveni amewajbu wale mnaopenda kukurupuka na kuchukia Marais bila sababu

  He said: I have never stolen and I am rich - Ugandan President Yoweri Museveni Yaani akimaanisha ya kwamba: Hajawahi kuiba tokea awe madarakani, wala kuwaibia chochote kile Waganda lakini yeye ni bonge la tajiri. Je, Waswahili (ukimuondoa GENTAMYCINE tu) mnaomsakama Museveni 24 / 7...
 11. Influenza

  Museveni launches Uganda’s first mobile phone, computer assembling plant

  President Museveni Friday launched Uganda's first ICT manufacturing and assembling plant in Namanve. This comes into force after government signed an agreement with SIMI technologies to promote the manufacturing of ICT electronics in Uganda. At full capacity, the factory will run three...
Top Bottom