Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,591
2,232
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,

Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo inagusa Jamii kubwa ya Watanzania,

Kilimo ndio Sekta ambayo Kila Mtanzania inamgusa kwa namna moja au nyingine huko nyuma haikupewa kipaumbele sana kama ilivyo Leo,

Mathalani, Kilimo bajeti yake imekuwa kutoka TZS 230BL mpaka TZS 970BL karibu mara Nne ,

Kafulila anasema, zaidi ya 70% ya wakulima wote ni Wanawake ambao jumla yao ni karibu Wanawake mil 28 hata hivyo zaidi ya 64% ya Watanzania wote 61,741,120 ambao jumla yao ni karibu wakulima mil 40 ni Wakulima, huku zaidi ya 80% ya malighafi zote za viwandani nazo zinatemea Kilimo.

Kwenye hili kama ni kweli Wacha tumpongeze Mama
Kilimo Tanzania kinadharaulika sana
Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi walimu walikuwa wanaswali eti what is your father's occupation
Sisi watoto wa wakulima tuliona kama hili swali lilituonea sana tukijibu he is a farmer.
 
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka MITATU ya Urais wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,

Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kuwekeza kwenye Sekta ambayo inagusa Jamii kubwa ya Watanzania,

Kilimo ndio Sekta ambayo Kila Mtanzania inamuhusu huko nyuma haikupewa kipaumbele kama ilivyo Leo,

Mathalani bajeti yake imekuwa kutoka TZS 230BL mpaka TZS 970BL karibu mara Nne ,

Zaidi ya 70% ya wakulima wote Watanzania ni Wanawake na wanategenea Kilimo na hata hivyo zaidi ya 64% ya Watanzania ni wakulima huku zaidi ya 80% ya malighafi zote za viwandani zinatemea Kilimo,

Je, 2025 Kuna haja ya kuwa na Uchaguzi au nikupoteza pesa na muda bure kama Taifa tukubaline Rais Samia endelea tu.

View attachment 2947980
Naona Kafulila kaamua kuwapiga spana machadema balaa
 
Barakala
 
Kafulila arudishwe tena kwenye madaraka anaweza kufa, sio kwa mapambio hayo.

Hata hiyo 2025 uchaguzi ni kupotezeana muda, na Wala sio kwa ubora wa rais, Bali Tanzania hakuna uchaguzi, ila Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
CHADEMA namna mmekosa Mgombea awamu hii ama namna gani?
 
Kafulila arudishwe tena kwenye madaraka anaweza kufa, sio kwa mapambio hayo.

Hata hiyo 2025 uchaguzi ni kupotezeana muda, na Wala sio kwa ubora wa rais, Bali Tanzania hakuna uchaguzi, ila Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Mapambio gani hapo?
 
Muwe mkitumia akili kidooogo ujinga wenu unachefua na kuirudisha nchi nyuma!!
pesa zakwenye karatasi sio sawa na zinazopelekwa kwenye sekta husika kama ilivyokusudiwa/ilivyotamkwa!!
Huyo aliyeachwa na mke Kwa ujuaji na uongo anapalilia ajira yake mshahara uendelee kutiririka alizoea mabilioni ya ubunge ghafla akayakosa sahivi ni kufaidi serikalini kujiajori hawezi ni lijimshahara laserkali pamoja na marupurupu kibao kwakodi zetu walalahoi!!
Wewe zuzu unaushabikia tuu...Mijinga nimingi sana hii nchi!
 
Kijana pesa imekaa kwenye mfereji wake anang'aa tuu na kujinenepea Acha asifu tuu maana ndio chooni kunaendeka na mbaya zaidi kazi kubwa ni uwanasiasa Kwa hiyo tunasema kijana anachapa kazi kazini kwake###BossHasemwiVibaya###,,,###BossHanuniwi###Boss anahitaji Kuheshimiana na kusifiana lakini iwe Kwa kiasi ikizidi inapoteza Utu na taswira yako kiujumla lakini ndio maisha yalivyo kwenye Nyanja nyingi za kimaisha kiujumla###Hajakosea##
 
Kwahiyo huna hoja kabisa mkuu,

Nchi ngumu sana hii kwakweli
 
Kijana pesa imekaa kwenye mfereji wake anang'aa tuu na kujinenepea Acha asifu tuu maana ndio chooni kunaendeka na mbaya zaidi kazi kubwa ni uwanasiasa Kwa hiyo tunasema kijana anachapa kazi kazini kwake###BossHasemwiVibaya###,,,###BossHanuniwi###Boss anahitaji Kuheshimiana na kusifiana lakini iwe Kwa kiasi ikizidi inapoteza Utu na taswira yako kiujumla lakini ndio maisha yalivyo kwenye Nyanja nyingi za kimaisha kiujumla###Hajakosea##
Ila Tanzania kuwa watu mnawivu aiseee, Sasa why usijikite kwenye hoja ya Kafulila badala ya Kafulila mwenyewe?
 
Back
Top Bottom