ruzuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sampuli ya wachimbaji wachache waliofanya kufufu ya kuchezea noti ndio sababu ya kuwanyima ruzuku mamilioni ya Watanganyika wanaohangaika maporini?

    Zunguka Tanzania nzima utakutana maelfu kwa mamilioni ya wanannchi wakichimba dhahabu kwenye hali duni kabisa. Hawana mitaji, vifaa vya kisasa na mazingira wanayofanyia kazi ni hovyo. Leo hii kigezo cha Wachimbaji wachache ambao wanavijisenti vya kukodi helkopta inatangazwa kuwa sababu ya...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Je, Kuondoa Ruzuku kwa Wachimbaji Madini Kutasaidia au Kutadhoofisha Uchumi?

    Mheshimiwa raisi kuondoa ruzuku kwa wachimbaji moja kwa moja bila kutafuta njia mbadala ya kuwasaidia itaenda kudhoofisha uchumi hasa kwa wachimbaji wadogowadogo najua umefanya uamuzi kwa kuangalia wachimbaji wakubwa je vipi kuhusu wachimbaji wadogo ? Tusifanye mambo kimhemko kisa tajiri mmoja...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wachimbaji madini mnataka Ruzuku wakati Harusi mnazifanya na Helikopta?

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwenye helikopta.
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chadema njaa tayari, wanagombea maokoto; wanadai ruzuku ya 500m kutoka serikali wasiyoitambua

    Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui. Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Msajili wa Vyama vya Siasa anatakiwa kuipatia CHADEMA malimbikizo ya ruzuku yake yote kuanzia Juni hadi Oktoba 2025

  6. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kupanda kwa mbolea ya ruzuku

    Habari jamii forums Kuna changamoto ya kupanda kwa mbolea húsusan hizi za ruzuku na wakulima hatujapata taarifa yoyote. Je, serikali imeondoa ruzuku katika mbolea za ruzuku bila kutoa taarifa kwa wakulima? Mfano mbolea Kama SA mwanzo ilikuwa 54,000 na sasa inauzwa 61,000. Pia soma ~ TFRA...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Waziri Mkuu aingilie kati Msajili atoe ruzuku yetu ya Milioni 500

    CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati tulizopo. Leo bila aibu mnajitokeza na kutaka ruzuku kutoka serikali msiyoitambua. Hii iwe fundisho kwa...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Ruzuku ya Dizeli kulinda Wananchi

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya soko...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya Dizeli: Serikali Yalinda Wananchi

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya soko...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Saasisha Mafue: Akiba ya Dhahabu iuzwe, fedha iwe ruzuku kwenye mafuta

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, ameiomba serikali kuuza sehemu ya akiba ya dhahabu ili kupata fedha za kutoa ruzuku kwenye mafuta na hivyo kupunguza gharama kwa...
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Bei ya wese - Halmashauri toeni Ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) kwenye Wilaya zenu

    Habari Tanzania !. Hii ni chemsha bongo. Naziomba Halmashauri zote hapa nchini wafanye maamuzi waonavyo kulingana na uwezo wao kuweka ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) ili kuimudu mfumuko wa bidhaa hizo kwenye maeneo yao. Maana hatari kuu itawapa mtake msitake mtakapokuwa mnataka kukusanya...
  12. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uvushaji wa mbolea za ruzuku kwenda Zambia

    Tunduma Kuna uvushaji wa mbolea za ruzuku kupeleka Zambia kwa njia ya magendo. Hii kazi inasimamiwa na vijana wa CCM, wao wanajiita vijana wa chama chini ya mbunge wa sasa David Silinde na wao wanatoza kila mfuko wa mbolea 2000. Hizi mbolea zimetapaka sana Zambia licha ya kuwa ni za ruzuku kwa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi ruzuku za Mbolea, chanjo za mifugo

    Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa Igunga mkoani Tabora leo, Jumatano Septemba 10, 2025, ametoa wito kwa wafugaji wa mkoa huo kupeleka mifugo yao kwenye chanjo na utambuzi ili kuiweka Tanzania katika viwango vinavyokubalika kimataifa katika soko la mifugo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sijazielewa hizi ruzuku za pembejeo za kilimo Bashe

    Hizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000. Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma kipindi kile. kwanza mbolea nyingi ni feki mamlaka za kudhibiti zinaongwa tuuu
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Daniel Chongolo: Kabla ya Rais Samia hatukuwa na Ruzuku ya Pembejeo za Kilimo

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu aliyekuja na maamuzi makubwa ya kuweka pembejeo. Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu...
  16. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  17. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko azindua programu ya ugawaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi wa TANESCO

    DKT. BITEKO AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI MAJIKO YA UMEME KWA BEI YA RUZUKU KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO 📌 Lengo ni kuchochea Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 📌 Asema matumizi ya umeme kwa ajili ya kupikia ni nafuu zaidi ukilinganisha na mkaa; Wananchi wahamasike 📌 Amtaja Rais Samia...
  18. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

    Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
  19. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haki itendeke CCM nao wanyimwe Ruzuku, Kwa kutofata katiba yao

    Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi. Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa. Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tuliopiga pesa kwenye mbolea zenye ruzuku miaka 2010 hadi 2014 na kufirisiwa na Hayati Magufuli tukutane hapa

    Binafsi, nimekaa na kukumbuka harakati za kimaisha na jinsi nilivyokuwa milionea na kufirisika na kuwa Kapuku. Nilikuwa nina duka la Pembejeo za Kilimo pale Makambako nikiuza pembejeo za kilimo mbalimbali. Baadaye mbolea zenye ruzuku ya serikali zikaanza wakati wa Kilimo kwanza. Mwaka 2010...
Back
Top Bottom