Na: Kijana Wa Ifoza
Ndugu wana-JamiiForums, salamu sana.
Kabla hatujaingia kwenye mjadala wetu wa leo, ni vyema tukarekebisha dira yetu ya kihistoria kwa kurejea andiko moja muhimu sana duniani. Mwaka 1963, Dkt. Martin Luther King Jr. alifungwa katika jela ya Birmingham huko Alabama, Marekani...
Ukiangalia simu, computer, magari na mifumo mbalimbali ilivyobadilika ndani ya miaka michache tu, unaweza kujiuliza miaka 20 ijayo itakuwaje.
Kwa upande wangu, naona sekta ya afya inaweza kubadilika zaidi. Huenda siku moja watu wasihitaji tena kwenda hospital kupanga foleni kwa ajili ya vipimo...
Barua ya uhamisho mlitoa mwezi wa 11 mwaka 2025 halafu malipo ya kwanza Tsh 360,000/= mkatoa Januari 2026. Hivi kabla ya kuandika barua ya uhamisho hamkujua kuwa hakuna hela? Kinachokera zaidi pesa yenyewe mmelipa kwa mafungu karibia mwaka mzima. Na hii inawezekana ubishi wa mwalimu umechangia...
Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
BARUA YA MALALAMIKO
Tarehe: 17 Septemba 2026
KWA:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
S.L.P. 10,
DODOMA.
YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA
Ndugu Katibu Mkuu,
Tunakuandikia kuwasilisha...
Anonymous
Thread
barua
dodoma
elimu
form six
format
katibu
katibu mkuu
kuhusu
malalamiko
mkuu
mpya
mtaala
mtaala mpya
mtihani
sayansi
sayansi na teknolojia
septemba
tarehe
teknolojia
wizara
wizara ya elimu
Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu.
Ninaandika haya si kwa nia ya kushambulia huduma yake, chuki, wala dharau. Ama kumshambulia yeye mwenyewe...
Habari wadau,
Binafsi huwa najiuliza sana kuhusu biblia na sisi waafrica, mfano mimi mmasai je barua ya wakorintho inanihusu nini mimi mmasai ?
Barua ya wafilipi inanihusu nini ?
Fikiria unatembea barabarani, unakuta barua iliyoandikwa vizuri, kutoka kwa mtu A kwenda kwa mtu B.
Humjui...
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.
Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea
Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025
Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.
Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama...
Habari wanajamii?
Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule.
Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule
Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
Habari za uzee wako:
Nakuandikia ujumbe huu nikikusihi ufanye kila linalowezekana ukishawishi chama chako,umshawishi aliye kitini kufanya kila linalowezekana kutengeneza kijitabu ambacho kitawaongoza wananchi wadanganyika kwa kipindi kingine cha miaka 50 ijayo.
Kwa sasa hali ni mbaya ingawa...
Lucius Domitius Aurelianus,
Hili ni jina kubwa mno kwenye historia ya dunia: Huyu alikuwa ni jemedari mahiri kabisa wa vita (Impeator) na baadaye akaja kuwa mfalme wa bora wa Dola la Roma (Caesar). Wengi humkumbuka kama The Emperor Who Saved The World, japo alitawala kwa miaka mitano tu na...
Wanabodi
Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!.
Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu...
Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Barua FEKI, haina hata sifa za kuitwa ni barua ya Makamu wa rais
Nimedokezwa mbinu yao ni ile ile waliyotumia kwa Ndugai. Wamewatumia akina Ayo, Kitenge, na wote wanaosambaza habari kwa malipo ili ionekane ni barua halali. Wanachohakikisha ni kwamba Nchimbi hapati nafasi ya kuzungumza jukwaani...
Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria.
Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu...
Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka.
Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni.
Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi.
Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa.
Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
Utake usitake barua yako ya kujiuzulu itakuwa hadharani.
Hayati Spika Ndugai, Makamu wa Rais mstaafu Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu wa CCM mstaafu Daniel Chongolo wote walijiuzulu kwa barua.
Anayefata atakuwa nani?
Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
Watanzania tuache tabia ya kusoma vichwa vya habari tu tuwe tunasoma kilichomo ndani huu uvivu wa kutokusoma in detail ndo kunasababisha uwepo wa upotoshaji mkubwa kama huu unaoendelea mitandaoni kwa sasa.
Ukiisoma barua kwa ndani unaona kabisa inajikanyagakanyaga sana haipo straight forward...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.