dhamana

Dhamana is a village in Hansi-I mandal of the Hisar district, in the Indian state of Haryana. It is in between the towns of Hisar and Tosham at about 20 kilometres (12 mi) on the Main District Road 108 (MDR 108). Dhamana is fifth village on Hisar-Tosam road, first is Dabra, Second is Mirkan, Third is Bhojraj, Four is Gunjar.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandisha ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wawili wa KYELA FM walioshikiliwa na Jeshi la Polisi waachiwa kwa dhamana Mkoani Mbeya

    Wanahabari wawili wa kituo cha redio cha Kyela FM, Tumsifu Katina na Emmy Eliud, wameachiliwa kwa dhamana asubuhi ya leo Aprili 15, 2026 baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi tangu jana mchana. Meneja wa Kyela FM, Lamso Malongo amethibitisha kuwa wanahabari hao kwa sasa wako huru na taratibu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo kwa dhamana ya gari

    Habari wakuu. Nahitaji mkopo wenye riba kutoka mtu binafsi, nitaweka gari kama dhamana. Mkopo kwa muda wa miezi 2. Kwa mawasiliano zaidi tuzungumze
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mawakili: Mwandambo amefikishwa mahakamani bila ndugu wala mawakili kujua!

    Taarifa za Hivi Punde, leo Januari 10, 2026 Clemence Mwandambo mkazi wa Mbeya aliyekamatwa tarehe 29.12.2025 amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jana tarehe 9 Januari 2026 na Jeshi la Polisi bila ndugu zake au sisi Mawakili wake kujua! Pamoja na Juhudi za kutafuta alipokuwa amehifadhiwa...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

    Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Mwenye dhamana kwa yaliyotokea yupo, awajibike!

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa uchaguzi siyo ya kwanza katika historia ya Tanzania. Amesisitiza kwamba mwenye dhamana juu ya...
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Debentures, Debt Instrument,Mikataba na Dhamana ya Deni

    Habari za wakati huu; ni muda mrefu tangu niliposhiriki mijadala hapa jukwaani.Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo sababu za mbalimbali ikiwemo za binafsi na za ujumla.Hata hivyo leo nimewiwa kurejea na kuleta muendelezo wa mijadala yetu ya biashara na ujasiriamali nikiamini kwamba kuna...
  9. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kupata dhamana

    Kaandika hivi kupitia mtandao wa X: "Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri. Mateso kwa...
  11. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NACTVET katibu mtendaji hafanyi kazi, watumishi pia hawafanyi kazi kazi kupiga stori na kuombana rushwa Waziri mwenye dhamana shughulikia hili

    Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake. Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi. Kazi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

    Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako. Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ? Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Asina: Watendaji wa uchaguzi muithamini dhamana mliyopewa

    Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Kata wametakiwa kuitambua na kuithamini dhamana waliyopewa ya kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwenye ngazi hiyo. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari leo Agosti 06, 2025 alipotembelea na...
  16. bro alex

    JamiiForums Tanzania Stanbic bank: Mkopo bila dhamana yoyote

    WAKUU kweli sisi ni NDUGU na tunaishi kama famila? Mbona hatuambiani madili kama haya. Inasemekana haitaji uwe na kiwanja au dhamana yoyote ni wewe na simu yako tu. Unavuta hadi milioni Tano, Na watu hata hamsemi imenisikitisha sana. Acheni roho mbaya tupeni utaratibu. Kwishaaaaa
  17. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

    Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani : Kabla ya kutuhubiria Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii.... Mfano -Kuna matangazo ya pombe -Betting -Michezo ya bahati nasibu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Microfinance ipi wana huduma nzuri za utoaji mikopo kwa dhamana kadi gari?

    Habari wana JF. Kwa ambaye amewahi pata mkopo kwenye hizi microfinance na akaridhika na huduma kwa maana ya huduma inayoendana na mkataba na isiyo na janjajanja naomba anijuze nipo Dar. Hapa nazungumzia mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari. N.B Kwa sasa siwezi pata mkopo benki kwa maana ya...
  19. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  20. sangaima

    JamiiForums Tanzania Mama ana changamoto ya kiafya, anahitaji mkopo wa fedha kwa dhamana ya nyumba

    Habari wanajamii Forum Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili. Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana...
Back
Top Bottom