magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Magaidi wa Hamas 15 wauwawa kwa mpigo!!

    Majeshi ya Israel jana yalifanikiwa kuwaua magaidi wa Hamas 15 kwa mpigo baada ya kuwashambulia maficho yao huko Gaza. Kwa taarifa zilizotolewa na IDF magaidi hao walikuwa wanajiandaa kuyashambulia majeshi ya Israel yanayoendelea kuso ha mbele bila upinzani huko Gaza. Magaidi hao Wamekosa...
  2. Genius Man

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  3. Yoda

    Magaidi waua watu takribani 30 Kashmir, India katika shambulio la bunduki Modi akiwa Saudia Arabia

    Huko India katika eneo mojawapo la kitalii Pahalgam, Jammu katika jimbo la Kashmir limepigwa shambuli baya la magaidi na kuua watu zaidi ya 24. Narendra Modi aliyekuwa na ziara yake Saudi Arabia ameikatiza na kurudi India kushughulikia maafa.
  4. Yoda

    Magaidi waua watu 56 eneo la kati la Nigeria.

    Ni muendelezo wa mauaji ya kigaidi huko Nigeria katika mkesha wa pasaka.
  5. Echolima1

    Katibu Mkuu wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem agoma wanajeshi wa Hezbollah kupokonywa silaha

    Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem: "Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi. Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.' Kwa lugha...
  6. Echolima1

    WaHouthi wanatarajia kuondoshwa madarakani huko nchini Yemen

    Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza uvamizi huo kwa nią ya kuiokoa Yemen kutoka kwenye mikono ya magaidi hao wanaoungwa mkono na Iran
  7. Echolima1

    Magaidi wa Hamas watoa video ya propaganda

    Magaidi wa Hamas watoa video ya Propaganda baada ya kuona kipigo kwa magaidi hao kimezidi. Wamesahau kuwa ISRAEL HAITISHIWI NYAU!!
  8. Yoda

    Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  9. Echolima1

    Magaidi wa Houth wajaribu kuishambulia Jerusalem kwa makombola 2 ya ballistic

    Magaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi hilo hakuna madhara yoyote yaliyotokea. Wakati huo huo huko Yemen Wahouth wameendeleza uongo wao wa...
  10. Echolima1

    Magaidi 11 walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 waangamizwa Katika Operation zinazoendelea huko Gaza.

    IDF na ISA wamewaangamiza magaidi 11 wa Hamas na Islamic Jihad waliojipenyeza Israel na kushiriki katika mauaji ya Oct 07,2023, wakiwemo wale waliohusika moja kwa moja katika mauaji na utekaji nyara wa raia na wanajeshi wa Israel. Tisa waliuawa katika operesheni za hivi majuzi huko Gaza...
  11. Echolima1

    Kamanda wa kikosicka cha magaidi wa Hamas huko Shejaiya gaidi Haitham Sheikh Khalil, ameangamizwa bila huruma yoyote na IDF

    IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa...
  12. Sitaki kuamini

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la...
  13. Echolima1

    Huko Yemen magaidi wa Ki-houthi wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani

    Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema “ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
  14. Echolima1

    Hassan Masana, Gaidi aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7, aangamizwa Khan Younis

    Gaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan younis kumjeruhi vibaya baada ikaripotiwa katutoka Mwandishi huyu alikuwa na nafasi ya kuzuia...
  15. I

    Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia Wahouthi

    'Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia magaidi wa Houthi. Rais wa Marekani Donald Trump, katika chapisho kwenye akaunti yake rasmi ya Ukweli wa Kijamii, alishiriki video ya shambulio la anga la Marekani na kudai lililenga wanamgambo wanaojiandaa kwa shambulio. "Hawa Houthi...
  16. Echolima1

    Hongera sana majeshi ya Israel kwa kuwabana magaidi wa Hamas mpaka wamekubali kuwaachia mateka wote

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema "Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya. Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
  17. Echolima1

    Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Ripoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi. Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka...
  18. adriz

    Uchambuzi : Marekani na Israel inakuza na kulea Ugaidi na Magaidi

    Moja kwa moja... Kabla sijaanza mada yangu ningependa kuweka wazi msimamo wangu wa tokea awali katika yale yanayoendelea Gaza ; 1. Siwaungi mkono Hamas na njia wanazotumia ambazo hazikubaki kidini wala kikawaida tu , ukijumlisha utekaji wao wa watoto , Wazee , wanawake na makandokando yao...
  19. kimsboy

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  20. Echolima1

    Trump aelezea kipondo wanachopata magaidi wa ki -houth huko yemen!!

    Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamia kutokana na mashambulizi makali katika muda wa wiki mbili zilizopita. Wapiganaji na Viongozi wao wengi hawapo nasi tena. Tunawapiga kila mchana na usiku - kwa ngumu zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli Katika eneo hilo unaharibiwa kwa...
Back
Top Bottom