Masala tea (; lit. 'mixed-spice tea') is a tea beverage made by boiling black tea in milk and water with a mixture of aromatic herbs and spices. Originating in India, or Thailand the beverage has gained worldwide popularity, becoming a feature in many coffee and tea houses. Although traditionally prepared as a decoction of green cardamom pods, cinnamon sticks, ground cloves, ground ginger, and black peppercorn together with black tea leaves, retail versions include tea bags for infusion, instant powdered mixtures, and concentrates.
The term "chai" originated from the Hindi word "chai", which was derived from the Chinese word for tea, cha (see: Etymology of tea). In English, this spiced tea is commonly referred to as masala chai, or simply chai, even though the term refers to tea in general in the original language. Numerous coffee houses use the term chai latte or chai tea latte for their version to indicate that it is made with steamed milk, much like that used to make a caffè latte, but mixed with a spiced tea concentrate instead of espresso. By 1994, the term had gained currency on the U.S. coffeehouse scene.
Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa...
Ni mara nyingine ya mwaka 2026 tunakutana katika kuendeleza kupeana elimu ya Namna ya kujipatia tiba kwa njia ya asili
Leo nitaeleza majani ya mti wa Amla ya tz ni Maarufu sana kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mbali mbali yanayo wasumbua watu wengi
1=Watafiti na baadhi ya...
Samahanj naomba kuuliza haiwezekani kupika chai ya nazi, yaani unachuja tui lako vizuri, unachemsha unatia tangawizi au viungo vingine vya chai.
Hili pishi likoje Kwa wale ambao mmewahi kujaribu
chai ya rangi ni mtu anaependa kutoa maua kwa mtu yeyote atakae muona anafaa kupewa maua kwenye angle fulani.
Ana upeo wa kuona na kutoa maua kwa member yeyote ingali mlewa maua akiyaona na kuyashuhudia maua yake kwa macho yake, licha ya kujiunga jukwaani mwaka 2026 ameshatoa maua ya wazi kwa...
tengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida )
kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe
ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi...
Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.
Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
Nimeona kwenye migahawa kadhaa sasa ukiagiza Chai unaletewa maji ya mchaichai uliochemshwa badala chai nyeusi(black tea) ambayo ndio chai halisi tangu zamani.
Sijui ni Wasabato wa msimamo mkali au Waswahili tu na ujinga wao ndio wameamua kuleta hii aina mpya ya chai feki.
Hivi ukiagiza chai ya maziwa halafu ukaletewa maziwa na majani ya kuchovya(teabags) pembeni hapo unakuwa umepewa chai ya maziwa au ni maziwa yaliyowekewa majani ya chai?
Mimi nafikiri chai ya maziwa ni lazima majani na maziwa vichemshwe pamoja jikoni, tofauti na hapo ni utapeli tu.
Mkuu wa Mkoa Njombe, Anthony Mtaka kwa kushirikiana na Katibu Tawala Mkoa (RAS) Njombe ameeleza walivyoanzisha utaratibu wa kuwapa chai Watumishi kupitia fedha ambayo ingetakiwa kutumika na Mkuu wa Mkoa. Ameeleza hayo Februari 20, 2026.
Ni tukio la dakika tano.
Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi.
Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
Jioni hii wakati nazurura zurura mtandaoni basi nimekutana na kesi mbili zilizohusiana na kampuni ambayo kwa sasa imepata umaarufu sana mjini: ITEL.
Soma attachments. Kwa wale wenzangu na mie wa you know you know basi nimekuekea summary hapa chini kutoka kwa LLM, ChatGPT.
-————————————————————...
Watu wengine wanaamini kwamba ukinywa soda nyeusi (cola), kuchemsha majani ya chai mengi kisha uyanywe au energy drink mara baada ya tendo la ndoa, mbegu za kiume hufa tumboni na hivyo mimba inazuilika. Nilishangaa zaidi kuwa kuna mtaalamu wa afya pia aliwahi kueleze kuhusu hii ishu. Sikumuamini...
Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari…
Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari…
Hiyo ni hatari kwa afya yako.
Asubuhi ya kweli inaanza na heshima kwa mwili wako — kumpa lishe sahihi kabla dunia haijaanza kudai nguvu zako.
🥒 Matango mabichi — kwa detox na ngozi yenye afya
🥕...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi.
Akizungumzia uwekezaji katika...
Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa Sina,nawasihi Angela Kizinga,Elvis na Abdul mnionee huruma mniletee hata kabilioni na Mimi nipate raha...
Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa.
Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu
1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea
2. Self na zinajitegemea
Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo
Car parking na gates
Dalali ni mm mwenyewe
Karibu
Bei ni
Ml 1.2 mwezi
Laki 600000/=...
Aliyeandaa hii barua na kusisitiza hakuna mchezo mwingine tofauti na JUNE 15 na kwamba wamekubaliwa kufanya mazoezi katika dimba la mkapa na kesho watapeleka timu, Mara ghafla baada ya kupata per diem za mbumbumbu, Kaingia mitini! Hii tunaiitaje kitaalam?
Mei 21 kila mwaka ni siku ya kuadhimisha Chai duniani. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuna aina 19 za chai. Wewe unafahamu aina ngapi?
Different Types of Tea
Discover different kinds of tea, each with its own special qualities. Join us as we explore these delightful tea varieties, one at a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.