uhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Annie X6

    Kuna mambo ni uhuni tu serikalini. Je, huku si ndio kujidhalilisha?

    Fikiria ishu imetumwa muda mrefu hadi leo hainapokelewa. Labda kuna wanaohudumiwa na hìi mifumo watuambie. Kwa mtundo huu serikali inajidhalilisha kuweka vitu visivyotekelezeka. Hii imetuwa lkn not attended
  2. Chizi Maarifa

    Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  3. U

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba. Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi. Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza...
  4. Nsanzagee

    Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

    Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga! Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka...
  5. K

    Waziri Masauni lipa posho za maji na umeme kwa Askari wako

    Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge! Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi! Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu...
  6. zipompa

    Waziri Bashe kemea uhuni unaotaka kufanywa na TCJE, kuwanyima neema wakulima wanaolima kupitia vyama vya msingi mbolea ya ruzuku

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada Bashe kupitia wizara yako ulituhaidi wakulima tunaolima kupitia vyama vya msingi kunufaika na mboleo ya ruzuku Kweli mwaka huu tumepokea mbolea zilizo na vifungashio vyenye nembo ya ruzuku, tukakubali kwamba ahadi ya kumuinua mkulima kunufaika na ruzuku...
  7. Burkinabe

    Wanasiasa wengi hawajawekeza kwenye sekta ya Afya ndo maana wanaruhusu huu uhuni wa NHIF!

    Asalaam Aleykum. Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya upande wa hospitali binafsi na zile zinazomilikiwa na Taasisi za dini na mashirika yasiyo ya...
  8. A

    Shirika la reli (trc) acheni uhuni

    Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila imekwama maeneo ya same pasipo shirika la reli kutoa taarifa kwa uma au abiria huku wananchi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Tamthilia ya Huba haiendani na jina lake. Kinachoendelea ni upotoshaji na uhuni

    TAMTHILIA YA HUBA HAIENDANI NA JINA LAKE. KINACHOENDELEA NI UPOTOSHAJI NA UHUNI TUU. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanafilamu wengi walikuwa wakilalamika hakuna wawekezaji katika tasnia ya filamu ndio maana kazi zinazotoka ni mbofumbofu. Miaka ya hivi karibuni kumetokea mabadiliko kidogo...
  10. mtwa mkulu

    Kumbukizi ya Dkt. Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme

    Kumbukizi ya Dr Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme.. unaniamsha unajua nimelala vipi uhuni huo.
  11. sky soldier

    2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

    Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali ,mama yake pekee alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti...
  12. Magufuli 05

    Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  13. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  14. Allen Kilewella

    Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
  15. GENTAMYCINE

    Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa hujuma aliyoifanya kwenye mashindano

    "Leo nimegundua kuwa kumbe Mazoezi niliyoyafanya hayakuwa sahihi kwangu na nilipofika Kilomita ya 30; kuelekea ya 35 sikuona haja ya kuendelea hadi Kilomita 42 tulizokuwa tunakimbia, hivyo naomba radhi na asitafutwe mchawi, nitajitahidi katika mashindano yajayo," amesema Mwanariadha aliyejivunja...
  16. Its Pancho

    Simba acheni uhuni mlipeni Phiri pesa yake

    Wakuu Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba. Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.! Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai...
  17. Q

    Kitendo cha Uhuni cha UVCCM Chato kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi yetu

    Sielewi kwa nini hadi sasa jeshi la polisi halijachukua hatua zozote zile kuhusiana na kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, na sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea. Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
  19. Ricky Blair

    Uhuni wa benki: Nimekatwa elfu 10 kutuma pesa benki moja kwenda nyingine

    Nimetuma 15k from my CRDB to NMB😡😡😡 yaliyonikuta najuta; nimekatwa 10k uwiii napiga simu naambiwa bank to bank hata kama 500 to 500M cost 10k Jaman huu uhuni wa wapi mwe? Kuna haja ya kufungua international bank tu
  20. I

    Halotel waache uhuni wa kuwaibia wateja

    Wasalam wadau wote. Nachukua fursa hii kuitahadharisha kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kuacha kabisa hii tabia ya hovyo wanayofanya ya kuwaibia wateja wake. Kampuni hii ina tabia moja ya hovyo sana kwamba wakiona una GB nyingi kwenye simu yako na unataka kuongeza tena salio kwa kuongeza...
Back
Top Bottom