Sehemu flani hivi chaka kimtindo,
Kando ya kimfareji flani ambacho hakikauki mwaka mzima,
Naenda kupiga kambi nitaishi hapo hapo
Nitalima tu mboga mboga twa fasta kama mchicha na spinachi mixer bamia na pili pili.
Pia nitaweka tu migomba na tu papai,,,nitatia sungura na tu kuku twa...