Wanabodi
Jana nilimsikia Waziri wa Kilimo。Mhe。 Hussen Bashe akitangaza vita vya kibiashara ya vyakula kati ya Tanzania,Malawi na Afrika Kusini,
Bashe wakati akitangaza vita hiyo,sauti yake ilikuwa firm na authoritative as if he is CinC!kwa tone kama ya ki Magufuli Magufuli! Bashe ujumbe wako...
Huwezi kulala usiku, Asubuhi utoe zuio kama hilo, Bila kujua ni Bidhaa gan ' perishable goods ' ziko njiani kuelekea Nchi Jirani , na Zuio kama lake litagharimu Hasara kiasi gani.
Pia soma: Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini
BASHE alikua na...
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani...
Tamko la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Biashara
ya Mazao ya Kilimo na nchi za Malawi na Afrika Kusini.
Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia
===
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametangaza uamuzi...
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.
Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja...
Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.
====
Salaam Ndugu zangu
Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao.
Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani...
WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara ya Kilimo... Wasikilize kwenye hii link wakulima
Wiki hii Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, alihutubia wajumbe wapya wa Bodi ya Chai inayoongozwa na Banker Abdulmajid Mussa Nsekela.
Katika hotuba yake, Waziri Bashe alimwelekeza mwekezaji na mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji, kushirikiana na Bodi hiyo kwa lengo la kufanikisha...
Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa...
TAARIFA za kuumwa kwa Mheshimiwa Hussein Bashe zimetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lakini hadi sasa haijawekwa wazi anaumwa nini na amelazwa hospitali gani ili watanzania wenye nafasi waweze kumtembelea kama ni hospitali.
Kwanini maradhi ya viongozi inakuwa siri lakini mtu akifa ndio...
Copy and paste
Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao.
Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira ya wayahudi (wana wa Israel), taswira ya uchapa kazi na ushujaa dhidi ya mafisadi, kwa wakati huo wa...
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
Huyu mtu mwenye asili ya Somalia anaendelea kufuja hela ya ruzuku ya tumbaku kwa wakulima. Bashe ni kikwazo na taswira rasmi ya utapeli wa chama chake kwa watanzania
Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.
Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa,
Nikatafakari je haiwezekani kukapatikana vijana 300-500 wa kizanzibar wakaanzishiwa program ya kilimo, aidha Mkoani Morogoro au Tabora...
Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako.
Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
Wana bodies,
Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku .
Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha
Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.