bilioni 1

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Ujasusi wa Israel unavyowaingizia mkwanja mrefu: Huduma ya kudukua simu moja ni bilioni 1, Wateja wakuu ni serikali na taasisi za kijasusi duniani

    Muhimu: Gharama hizo ni kwa mwaka moja pekee Kampuni ya Pegasus ya Israel hutoa huduma ya kudukua smartphones (hata iphone) kwa dau la shilingi bilioni 57 kwa simu 50 ( euro milioni 20.7) takribani shilingi bilioni 1.x kwa kila simu. Wateja wakuu ni serikali hasa katika kuchunguza wapinzani...
  2. 2 of Amerikaz most wanted

    Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

    Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja. Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni...
  3. U

    Shilingi bilioni 1 haitoshi kwa mtu aitegemee kuishi maisha standard kwa miaka 30, inabidi aishi kibahili na nidhamu kubwa ya pesa

    miaka 30 x siku 365 = siku 10,950 Bilioni 1 gawanya kwa siku 10,950 = el 91 kila siku Hizo ni hesabu za KUKURUPUKA ambazo anaepiga ana kila dalili ya kukosa maarifa kutambua kwamba pesa huwa inapungua thamani kadri muda unavyoenda (time value of money) hasa kwa mifumuko ya bei, shilingi 50 ya...
  4. Wizara ya Afya Tanzania

    Rais Dkt. Samia ametoa fedha shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu

    NA: WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, amesema katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha zenye thamani ya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) mpaka kufikia Juni 2024. Waziri...
  5. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Apeleka Bilioni 1.8 Utekelezaji wa Miundombinu ya Maendeleo Wilaya ya Ngara

    Ngara Januari 10, 2024 TAARIFA YA KUPOKEA TZS 1,816,000,000.00 KWA AJIRI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO - Ngara. Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anawatangazia wananchi wote kuwa, DKT SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma fedha tajwa...
  6. BARD AI

    Watatu wafikishwa Mahakamani kwa kuisababishia TRA Hasara ya Tsh. Bilioni 1

    Watu 3 akiwemo Emmanuel Nkalang’ano ambaye ni Mkurungenzi wa Wintech (T) Ltd, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashtaka 4 ikiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya Tsh. Bil. 1. Wengine ni Rugainunula Lwekamwa na Mwita Nyakiha ambao...
  7. Roving Journalist

    Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Wakulima wa Vanilla kutolipwa zaidi Tsh. Bilioni 1 na Kampuni ya Sosaka Limited

    Wakulima wa zao la Vanilla Mkoani Kagera wameendelea kuiomba Serikali kuingilia kati kuwasaidia kupata malipo yao ya zao hilo walilouza kwa Kampuni ya Sosaka Limited. Imeelezwa kuwa Kampuni hiyo ilifuata taratibu zote na kupata vibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, ikanunua Vanilla...
  8. benzemah

    Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

    Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini...
  9. BARD AI

    Jangili ahukumiwa Jela miaka 20 na Faini ya Tsh. Bilioni 1 kwa kukutwa na Pembe za Tembo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Jumanne Hamis kwenda jela miaka 20 na kulipa faini ya zaidi ya Sh1 bilioni, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa na vipande nane vya meno ya tembo. Pia mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Joseph Jeremiah baada ya upande WA mashtaka kishindwa...
  10. sky soldier

    Kwa Fungu la Bilioni 1.3 kwajili ya kuwaendeleza ndugu kijijini ni bora kuwapeleka shule au kuwawezesha kibiashara?

    Mhusika kajisevu sevu ana fungu la Bilioni 1.3 kalitenga kuendeleza huko kwao Options ni mbili A. Kuwachukua wanaofaulu vizuri form 4 Kuwasomesha chuoni mpaka wanapomaliza degree. sharti ni kusomea kozi za sheria, Engineering, udaktari, ufamasia na uhasibu. 2. Kuwapa mikopo isio na riba...
  11. BARD AI

    Unaweza kulipa Tsh. Bilioni 1 ili kufanya Utalii Anga la Juu (Space) kwa dakika 90 tu?

    Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa mtu mmoja. Kutokana na mahitaji kuwa makubwa, kampuni imelazimika kupandisha bei hadi Tsh...
  12. B

    Mama Mariam Mwinyi azindua msimu wa nne wa CRDB Bank Marathon, Shilingi Bilioni 1 kukusanywa kusaidia afya ya mama na mtoto

    Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation, leo imezindua rasmi msimu wa nne wa mbio za CRDB Bank Marathon ikwa na lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya kusaidia kuboresha afya ya mama na mtoto nchini. Uzinduzi huo umefanyika wakati wa mahojiano ya wanahabari na Mke...
Back
Top Bottom