Binadamu akija kuelewa vizuri maana ya kifo, nadhani atapunguza sana majivuno na mashindano yasiyo na mwisho. Ukweli ni kwamba sisi wote ni wapita njia. Wengi tuliokuwa nao jana walikuwa na ndoto kubwa kuliko zetu, walikuwa wanapanga kujenga, kununua magari, kusafiri na kufurahia maisha. Leo...