wafugaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TUJITEGEMEE

    Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT)-Kipo?

    Kuna nyuzi na mabandiko kadhaa ya masuala ya ufugaji hapa Jukwaani. Na kwa wingi wa maelezo ya wafugaji hapa jukwaani na kwenye mitandao mingine nauona umuhimu wa kuwa na Chama cha wafugaji nchini ili wasemewe mahitaji Yao na mapendekezo Yao hasa katika kuimarisha umoja na Amani baina Yao na...
  2. Stephano Mgendanyi

    Wafugaji wa Musoma Vijijini Waendelea Kuunda Vikundi vya Uchumi

    WAFUGAJI WA MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUUNDA VIKUNDI VYA UCHUMI: KATA ZA IFULIFU NA NYAKATENDE ZAOMBA JOSHO LAO LA MWAKA 1956 LIBORESHWE Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alikaribishwa kutembelea josho na rambo la wafugaji wa Kata za Ifulifu na Nyakatende. Josho...
  3. Roving Journalist

    Katavi: Wananchi watakiwa kutokuwa chanzo cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji

    Mkaguzi wa Kata ya Kasansa Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Elibariki Kateman amewataka wakulima na wafugaji wa kata hiyo kutokuwa chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji katani humo. Mkaguzi huyo ametoa kauli hiyo wakati akitoa elimu ya ushirikishwa Jamii...
  4. Tlaatlaah

    Wakulima na wafugaji kumuunga mkono Rais Samia kwenye uchaguzi mwaka 2025

    Anapendwa na anakukubalika na wengi, bara na visiwani. Anaahidi anatekeleza. Anasema na anatenda, matokeo yanaonekana kwa uwazi. Mbegu bora za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya wadudu vinapatikana kwa urahisi na kwa wingi wa kutosha. Mwaka huu wa kilimo ni kutoboa bila mbambamba, ashindwe...
  5. Lycaon pictus

    Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

    Mtaalamu mmoja alisema kuwa afya ya binadamu ilianza kuzorota pale alipoanza kulima. Huu ni ukweli kabisa. Babu zetu walipokuwa wanaishi kwa kuwinda na kukusanya walikula kila aina ya chakula. Walikula matunda, majani ya miti, nyama, asali, mayai ya ndege, wadudu, mizizi, samaki nk nk. Watu hawa...
  6. DodomaTZ

    TANAPA ni shida Wanawaonea sana Wafugaji, Mbunge Musukuma anasema kweli

    Nimesikiliza na kuangalia Bunge kuhusu utendaji kazi wa baadhi ya maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) bila shaka Serikali inatakiwa kuangalia taasisi hii au mamlaka hii.
  7. Amoeba

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100, mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe mkubwa ni Tsh 200,000 tu...
  8. V

    DC Kiteto anafumbia macho suala la wafugaji kulisha mashamba ya wakulima wilayani

    Ugomvi wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto unachangiwa kwa kiasi kikubwa na Viongozi wa Wilaya kuwasadia jamii ya wafugaji kulisha Mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima. Na wanapata nguvu kubwa kwa DC Wa Kiteto ameweka wazee upande anauoupendelea kwenye sakata hili. Mwaka huu wakulima wa...
  9. BARD AI

    Uganda: Bunge lashangazwa na Ripoti kuwa Wafugaji wanatumia ARV kukuza na kunenepesha Kuku na Nguruwe

    Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote. Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
  10. Notorious thug

    Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  11. MIXOLOGIST

    Ni lini sisi wavuvi na wafugaji tutathaminiwa na kupewa siku yetu ya mapumziko?

    Naandika kwa masikitiko makuu juu ya ubaguzi huu wa wazi wazi. Wafanyakazi tulipumzika mei mosi, leo ni sikukuu ya wachuuzi tunapumzika, tarehe 8 August tutapumzika kwaajili ya wakulima, ni lini sisi wavuvi na wafugaji tutathaminiwa? Hili jambo liingie kwenye Katiba mpya.
  12. Clark cian

    SoC03 Kilimo cha Azolla kiwe chaguzi la kwanza kwa wakulima na wafugaji nchini

    UFUNGUZI kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula inavyokua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi ,sasa basi kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa wakilazimika kutumia gharama nyingi katika upatikanaji wa vyakula hivyo kwa ajili ya mifugo yao;hivyo...
  13. blackberry m

    Wafugaji Wilaya ya Mvomero wahamishia Minada yote Wilaya ya Kilosa

    WAFUGAJI wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameamua kuhamishia minada ya mifugo katika wilaya zilizo karibu na wilaya hiyo kutokana na sintofahamu iliyoibuka hivi karibuni. Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti, wafugaji hao walieleza kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Mkuu wa Wilaya ambaye...
  14. Stephano Mgendanyi

    Serikali Itenge Maeneo Maalum kwa Ajili ya Wakulima na Wafugaji ili Kuondoa Migogoro ya Hifadhi za Ardhi

    SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI "Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu. Johannesburg ni sehemu inayohusika na Biashara tu. Tanzania tutenge maeneo yawe ni Maalum kwa wafugaji wetu tu...
  15. M

    RC Adam Malima tuombee kwa wafugaji watuachie tuondoe kidogo tulichopata shambani

    Karibu mkoani Morogoro Karibu katika mkoa wa kilimo. Tunakuomba utuombee kwa jamii ya wafugaji watuachie tuondoe kidogo tulichopata shambani na baada ya hapo wachunge watakavyo. Kwa mfumo wetu wa haki jinai wakulima wadogo hatuna ubavu mbele ya jamii hii ya wafugaji. Tuombee tu watuhurumie...
  16. Stephano Mgendanyi

    Wakulima na Wafugaji Stadi Waunganishwa na Barabara Kuu Musoma Vijijini

    KIJIJI CHA WAKULIMA NA WAFUGAJI STADI CHAUNGANISHWA KWENYE BARABARA KUU Kijiji cha Kinyang'erere ni moja ya vijiji vinne (4: Bugwema, Kinyang'erere, Masinono, Muhoji) vya Kata ya Bugwema ya Musoma Vijijini. Vijiji vyote vinne (4) vimo ndani ya Bonde la Bungwema ambalo Serikali imepanga kujenga...
  17. Troublemaker

    Wafugaji wa njiwa njooni hapa

    Habari wakuu. Mimi ni mraibu mkubwa wa hawa viumbe sio kuwala ila napenda tu kuwatazama. Kuwala kwa kweli kuwachinja huwa nawaonea huruma, najikuta nashindwa. Kuna rangi nimeiona nikaipenda nataka kujua ni cross njiwa wa aina gani na aina gani ili nipate hii mbegu. Niliwahi kujaribu kucross...
  18. N

    Rais Samia anaendelea kuwapa vijana kipaumbele sasa wafugaji wamefikiwa

    Serikali chini ya Rais Samia katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi inaendesha program maalum ya mafunzo ya ufugaji wa kisasa ikiwa ni pamoja na unenepeshaji kwa muda wa mwaka mmoja ambapo baada ya mafunzo kila mshiriki atapewa mtaji wa TZS Milioni 10. Kuwapa vijana ujuzi na mitaji...
  19. U

    Wafugaji wa samaki mliopo Mbeya

    Ninaomba wafugaji wa samaki mliopo Mbeya jiji tuwasiliane mnipm kuna kitu ninatafuta.
  20. B

    Bei ya mahindi kuua wafugaji wa kuku Tanzania

    Ndugu watanzania bei ya mahindi mwisho wa Feb 2023 ilikua kwa jumla 1, 120 kwa Dar Es Salaam lakini bei ya leo 6 March 23 yamepanda kufikia 1, 330 kwa kilo moja. Ongezeko hili ni hatari kubwa kwa wafugaji wafugaji wa kuku na wengineo kwa sababu ongezeko hili ni sawa na 5, 000 kwa mfuko wa...
Back
Top Bottom