Kaburu Petet Botha na wenzake walikuwa hawataku upinzani wa kila namna. Kila mpinzani aliyekuwa akipinga ukatiri wao alipotezwa kuuwawa au kutiwa kizuizini.
Miaka hiyo kituo kikuu cha polisi maarufu John Vorster Square kilitumika kutesa, kuua na hata kuficha watu
Hapa Tanzania haya mambo saza...
Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kutekeleza mikakati ya kuinua sekta ya kilimo kwa kujenga skimu mpya za umwagiliaji, kuongeza upatikanaji wa zana za kisasa, na kujenga maghala ya kuhifadhia mazao ili kudhibiti...
Salaam wakuu,
Uongozi wa Halmashauri ya Mlimba umetangaza kuanza kuwaandikisha na kuwasajili wakulima wa zao la kokoa,
Hii inafikirisha sanaaa, je Nia yao Nini hasa?
Kwanini waje na huo Mpango kwa wakulima wa kokoa tu? Kwanini wasifanye kwa wakulima wote wa mpunga, mawese, mahindi, matikiti...
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haran Sanga, amepania kumaliza kero ya nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji.
Akizungumza na wananchi, Sanga alisema wakulima wengi wa mazao wamekuwa wakisumbuliwa na nyani hali ambayo imefifiza uchumi wao. Ameahidi endapo atapewa ridhaa...
CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote
Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB,
Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu ameahidi , akipewa ridhaa na wananchi atapigania masilahi ya wakulima kwa kuhakikisha wanapata pembejeo za kilimo kwa wakati na bei nzuri za mazao yao
Akihutubia katika uzinduzi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi.
Akizungumzia uwekezaji katika...
Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini.
Aidha, Serikali inaendelea...
Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo.
Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama.
Kinachotoea sasa na Kinachoendelea ni udhalilishaji Hawa walengwa yaani Wakulima na Wafanyakazi...
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu ameuta uongozi wa Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati kulipa haraka malipo yaliyocheleweshwa ya Wakulima wa zao hilo.
Buswelu amesema kuwa leo Jumatano Mwezi August, 2025, jua linapochwea Wakuliwa wawe...
Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama hicho kuhusu kutowalipa kisha wakatuma ujumbe kwa Waziri wa Kilimo kuwa aliagiza walipwe lakini...
Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kutoa maagizo kwamba kabla ya siku kuu ya Nanenane Wakulima wote...
Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula.
Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo...
CCM tusimchukulie poa huyu mgombea urais wa chama cha wakulima. Ana hoja nzito ya uzalendo inayoweza kusababisha akapata kura nyingi na kutikisa ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Mama Samia Suluhu. Huenda akawa nafasi ya pili..
Huku kijijini kwetu Masalawe Kongwa nilikotoka kuleta mhogo mkubwa kuliko yote hapa Nanenane Dodoma nimeshangaa kumwona Bashe anapiga kazi eti ni waziri na anatumia V8 ya serikali. Mbona mhe. diwani wetu kazi zake zote zinafanywa na mtendaji wetu wa kata. Au wizara ya Bashe haina katibu mkuu...
Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Bw. Said Idd (katikati) akielezea kuhusu huduma za Yas na Mixx kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (kulia) katika maonyesho ya NaneNane yanayoendelea jijini Dodoma. Ziara ya Mkuu wa Mkoa ilifanyika jana jijini humo. Kushoto ni Meneja wa Mixx by Yas...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaotafuta kura kwa kukosoa mifumo ya kilimo ikiwemo mfumo wa pamba, BBT (Building a Better Tomorrow) na stakabadhi ghalani, akisema ni hatari kwa ustawi wa sekta hiyo.
Akizungumza leo ljumaa, Agosti 8, 2025 jijini Dodoma katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.