rais magufuli

 1. M

  Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

  Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake. Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo...
 2. GENTAMYCINE

  Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

  Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni. Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
 3. Ngaliwe

  Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

  https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
 4. M

  Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

  Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
 5. G Sam

  VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

  Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana. Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli...
 6. luckyline

  UZI MAALUMU: Kwa wafiwa tu kifo cha Rais Magufuli.

  Huu uzi ni kwa ajili ya watu tulioguswa na kifo cha mpendwa wetu Rais John Pombe Magufuli. Kama wewe ni miongoni mwa wafiwa, pita hapa sema chochote, tueleze kwa nini umeguswa na msiba huu? unamkumbuka vipi hayati JPM? Binafsi namkumbuka jpm kwa mengi ila kubwa zaidi, jpm alikuwa mwanaume wa...
 7. Miss Zomboko

  Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

  Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
 8. A

  Je, Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mtu wa namna gani hasa?

  Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani? Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye. Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu...
 9. B

  Mhe. Rais Magufuli alikataa rushwa wazi, watumishi walioiba wawajibishwe kumuenzi

  Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali. Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai...
 10. Guus

  Tujikumbushe hotuba "konki" za Rais Magufuli

  Shukrani Rais Magufuli kwa muda wako uliokuwa nasi. Hakika asiyekubali kuwa ulikuwa chaguo la Mungu ni wazi hatokuwa amejifunza kitu. Kwa jinsi Mungu anavyoipenda Tanzania akakuleta wewe, ili kupitia wewe tutambue umuhimu wa kuwa na nchi yenye taasisi imara. Alikuinua katika kipindi ambacho...
 11. S

  Mpaka sasa Serikali ipo kimya juu ya Watu 49 pamoja na watu sita wa familia moja waliofariki wakimuaga Rais Magufuli

  Ni kama vile hakuna jambo lolote la kuhuzunisha na kusitikitisha lililotokea wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwa wafiwa si kwa serikali ya ngazi ya wilaya au mkoa wa DSM. Kutokana na mkanyagano huo , Familia moja jijini Dar Es Salaam...
 12. Maghayo

  Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

  Mzuka wanajamvi! Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali. Hata ukiwaambia kajenga international Airport...
 13. J

  Mbunge Taletale: Nilimwambia Rais Magufuli (RIP) nina elimu ya Masters!

  Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters. Source...
 14. F

  Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

  Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025. Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
 15. Nyani Ngabu

  Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

  Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America. Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake...
 16. M

  Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

  Kwa kweli mafisi hayalali, Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na...
 17. Nyani Ngabu

  Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

  Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa. Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima. Na hivi ndivyo...
 18. Shadow7

  Majizzo: Nimeumia sana Hayati Rais Magufuli alikubali kuja kuzindua jengo letu la Efm

  Kupitia ukurasa wa Instagram wa mkurugenzi wa kituo cha habari cha Efm na TVE, Mbwana Francis Ciza alimaarufu Majizzo ameeleza namna alivyokamilisha taratibu zote za hayati Magufuli kuja kulizindua jengo lao la kituo hicho cha habari, Majizzo ameeleza kuwa – “Moyo wangu umejawa na maumivu...
 19. B

  Naomba ufafanuzi kuhusu Walinzi wa Hayati Rais Magufuli

  Ningependa kufahamu weledi wa hawa walinzi wawili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli. Naona huyu mlinzi mweusi na huyo mwenye sigjda wamekuwa wakipokea sifa kemkemu kutoka kwa Watanzania kwenye mitandao ya kijamii. Mwenye kujua chochote kuhusu taaluma yao atujuze.
 20. Shadow7

  Baraka Magufuli atoa neno Chato kwenye tukio la kumuaga Hayati Rais Magufuli

  Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata mbele ya hayati Rais Magufuli.
Top Bottom