tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Kumejiri nini kesi ya Tundu Lisu? Tumeambiwa leo ni hukumu

    Wadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko? Natanguliza shukurani
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa. Kutokana na hilo, huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho ya Tundu Lisu, leo 28.9.2026

    MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo: “Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tulikosea sana kumnyima nchi Lowasa sasa tunakosea tena kwa Tundu Lisu

    Hii nchi ingekuwa inaongozwa na Lowasa tungekuwa mbali sana . Cha ajabu Lowasa tumemkataa mpaka anaingia kaburini. Dhahabu nyingine tuliyo nayo ni Mh Tundu Antpas Lissu , hii ni tunu tuliyo nayo , cha ajabu tunashindwa kuitumia. Mungu ampe wepesi Lissu kwa kila analolipitia na kwa uwezo wa...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi nia na madhumuni ya Tundu Lisu kuihamishia familia yake ng'ambo, na kisha yeye kurejea nchini pekeyake ni ipi hasa dhidi ya umoja na amani ya TZ?

    Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake? Na, kwanini aliitanguliza...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu si mahiri kwenye sheria, bali ni mahiri sana katika kuwahadaa wafuasi wake, hususani wasio jua sheria

    Na maskini ya Mungu, na wafuasi wake hao pasipokujua ni hadaa na drama, wanakubali kubebwa ufala wa kifikra kisheria, na kujikuta wanaamini porojo na kamba za kisheria kwamba baada ya hapa itakua hivi au vile, fulani hana hatia na blaablaa nyingine useless, na matokeo yake mwisho wa siku...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali hii ya Tundu Lisu kusahau baadhi ya mambo muhimu akiwa kizimbani jana na kuiomba mahakama muda kuyasema leo, inatoa picha gani na kuashiria nini?

    Je, ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi? Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Tundu Lisu itachochea utii wa sheria na katiba ya nchi bila shuruti.

    Na, in fact, hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania. Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

    Je, ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria? Je, hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini. Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Lisu umeshinda Kwa kiwango kikubwa kufunua Kwa kiwango kikubwa udhaifu wa mifumo yetu serikali bungeni sasa mahakamani mission complete

    Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa. Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu. Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu . Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu...
  14. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu kuwania Tuzo ya SHAKAROV(SHAKAROV PRIZE).

    Bunge la umoja wa ulaya kupitia kamati yake inayoshughurikia utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali duniani wanaopigania demokrasia,utawala bora na haki za binadamu,imeorodhesha jina la TUNDU LISU miongoni mwa wanao wania tuzo hiyo kwa mwaka 2026. Akitoa taarifa hiyo McCalister kupitia kurasa zake...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumshindwa Tundu Lisu, wameamua kumfuata namba 2 wa CHADEMA. Je wataweza?

    Hamjambo! Sisi tunatazama. Tunafuatilia kila kitu kwa ukaribu sana. Tunahakikisha hatutapitwa na chochote. Ingawaje kuna baadhi ya episodes hatuzielewi na kuzifanyia tathmini inachukua muda. Katika mchezo wa Chess huo ndio napenda kuutumia katika mambo ya kisiasa. Kwa sababu unaakisi hali...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya CDF IGP DCI Kuwasilisha ushahidi wao mahakamani Tundu Lisu akate rufaa ya kuomba PM VP na Mh Rais Kuja mahakamani kosa la uhaini ni zito

    Rule of law inasema no one above the law. Naamini nchi yetu inaendeshwa Kwa mujibu wa Sheria sio mtu mmoja ajikurupia TU kutaka kupindua serikali Nashauri mashahidi hao watatu wakatiwe rufaa Ili wake wathinishe uhaini kama ni mtu kunyongwa anyongwe Kwa haki. Tutakuwa hutajamtendea haki...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliona mbali sana kwamba ni kheri Slaa kuwa rais kuliko Tundu Lissu

    Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo. Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima zero. Alichapwa risasi 32 mama akaenda kumtoa huko ughaibuni kwa kumhurumia na baada ya kufika...
  18. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Lissu ana somo la kujifunza kutoka kwa María Corina Machado wa Venezuela

    Moja ya taarifa kubwa iliyotikisa vyombo vya habari mwaka huu ilikuwa ni kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, bwana Nicolás Maduro na vikosi vya Marekani tarehe 3 Januari 2026, huko Caracas, Venezuela, katika operesheni ya kijeshi iliyoitwa Operation Absolute Resolve. Ingawa tarehe 5 Januari 2026...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Consistency ya Tundu Lissu kukosoa serikali za awamu zote inafanya watu wamuamini tofauti na wale Wanasiasa wa msimu

    Hamjambo! Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya. Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye maslahi fulani au ubaguzi hivi. Hata ingekuwa ni mimi ndiye nimeingia madarakani. Yaani wakati wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kinachoendelea mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lisu, sasa naelewa kwa nini watu hawapendi kupanda kizimbani

    Hamjambo wote! Nilikuwa najiulizaga kwa nini watu wengi hawapendi kufikishana mahakamani. Iwe kama shahidi, mshtaki au mshtakiwa. Kushtakiwa niliwaona wanaona hoja. Lakini mashahidi na wenye mashtaka sikuona haja ya wao kuogopa kwenda Mahakamani Lakini kesi ya Lisu imenifumbua macho. Huko...
Back
Top Bottom