mkono

 1. Crocodiletooth

  Tumuunge mkono rais Samia, tumtie moyo, tusimvunje moyo

  Wanajamvi najua hapa pana pro hayati, pro old CCM, and pro CHADEMA na wale ambao wapo tu kama kambale sharubu zipovutwa tu popote mwendo ndio unakuwa wa huko huko. Naomba kwa pamoja tumpe sapoti mama yetu rais awamu ya sita, kwa kumsaidia ikiwa ni pamoja na kufichua maharibifu,hujuma hila...
 2. Erythrocyte

  Nakusudia kuanzisha ligi ya soka ya kugombea kombe la Chadema , nawaomba wadau mniunge mkono

  Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri . Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA . Karibuni
 3. GENTAMYCINE

  Kwa Kukengeuka na Kutukana simuungi mkono Nahodha wa Prisons, ila kwa tuhuma aliyoitoa dhidi ya Yanga namkubalia na Simba tumo pia

  Kuna Watu mmenishangaza kweli kweli kwa Hoja yenu kwamba inawezekana vipi Yanga SC kutaka Kuhonga Tsh Milioni 40 wakati hata Kombe lenyewe halina Kiasi kikubwa cha Pesa? Kitu pekee ambacho wengi wenu ( hasa Wanafiki ambao ni wana Yanga SC ) ni kwamba tayari Yanga SC imeshajua kuwa katika Ligi...
 4. beth

  CoronaVirus Brazil: Vifo vyafikia 400,000. Uungwaji mkono wa Rais Bolsonaro waporomoka

  Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo. Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
 5. Idugunde

  Chadema mlishapigwa bao la mkono waacheni akina Halima wale bata, kelele zenu ni kupoteza muda

  Kichwa cha hanari chajieleza. Maana kwa chama makini kabisa baada ya kuona katiba ikisiginwa basi ilikuwa ni muda muafaka wa kwenda mahakamani na kupinga kuapishwa kwao na wao kuwa wabunge. Mbowe na Mnyika walichukulia poa na kuliona hilo tukio kama la kawaida. Na kwa sababu walishazoea...
 6. Lord denning

  Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

  Amani iwe nanyi wana JF! Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa. Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye...
 7. Mtukudzi

  Mratibu wa zoezi la kuunga mkono jitihada za Rais Suluhu ni nani?

  Mh. Samia Suluhu aliposema KAZI IENDELEE alimaanisha mambo yote 'mazuri' yaendelee kama ilivyokuwa kwa hayati JPM. Tunatambua kuwa mojawapo ya 'kazi' ambazo zilikuwa zikiendelea kwa kasi hapa nchini ni pamoja na 'kuunga juhudi' za Mh. Rais. Sasa inakuwaje kazi hizi haziendelei?. Je...
 8. ROBERT HERIEL

  Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

  ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya. Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la umalaya kwa...
 9. R

  Bandari ya Bagamoyo ndio Benchmark kati ya wanaomuunga mkono na wanaompinga Hayati Magufuli

  Wakati wa uhai wake Hayati Magufuli aliupinga mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na alisema nii kichaa pekee ndiye anaweza kukubali masharti ya mradi. Pia wakati wa uhai wake viongozi takribani wote wa CCM walijipambanua kama wafuasi wake kindakindaki na baadhi yao wakiwemo wabunge...
 10. J

  Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

  Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao. Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
 11. Lord Diplock MR

  Namuunga mkono Spika Ndugai, ujenzi Bandari ya Bagamoyo uendelee

  Najua topic imepita, lakini ninajua kidogo kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo na napenda kumuunga mkono Mhe Spika kwa hoja zifuatazo. Na naamini Serikali yetu itazichukulia kama ushauri wa Mbunge kwa Serikali, ambao ndio wajibu wetu wa msingi kama Wabunge. Muhimu kujua background ya mradi wa...
 12. ndege JOHN

  Profesa Assad: Wanaounga mkono kila kitu ni wasaka fursa

  Dar es Salaam, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi. Profesa Assad amesema hayo leo Jumamosi Aprili 10, 2021 katika uzinduzi wa mfululizo wa...
 13. G Sam

  Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

  Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli. Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule...
 14. J

  Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

  Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
 15. konda msafi

  Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

  Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
 16. Woga tupa kulee

  'Mwendazake' alipanda MBEGU za kujimaliza kwa mkono wake mwenyewe

  Ndio. Kila nikitafakari uongozi wa mwendazake, ni kuwa alipanda MBEGU za kujimaliza mwenyewe na hatimae kifo chake. Katika nchi yeyote, Kuna Mambo ambayo ni tunu za taifa Hilo. Kwa Tanzania, umoja na mshikamano Kati ya makabila na dini na kada mbalimbali ni tunu ilio fanya taifa letu kusimama...
 17. J

  Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

  Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini. Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani. Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na...
 18. Erythrocyte

  Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

  Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
 19. VUTA-NKUVUTE

  Ukweli uwe mbele: 'Walioaminiwa sana' na Mwendazake wakichunguzwa, madudu hayatatazamika. Kuungwa kwao mkono na Mwendazake kilikuwa kichaka hatari

  Mambo yameanza kunoga. Deusdedith Kakoko wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ametiwa nguvuni na yuko chini ya TAKUKURU kwa mahojiano na uchunguzi. Sote tunajua kuwa Mwendazake alikuwa akimwamini na kumtetea sana Kakoko. Alikuwa akimsifu na kumpa 'sapoti' ya kutosha na kutisha. Rangi halisi ya...
 20. J

  Pendekezo: Kama Zitto Kabwe atagombea ubunge jimbo la Muhambwe basi CHADEMA imuunge mkono

  ACT Wazalendo imesema watashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe kujaza nafasi ya mbunge iliyo wazi baada ya mbunge wa awali kufariki dunia. Katibu mkuu wa ACT Wazalendo mh Shaibu amesema kuna tetesi kuwa Zitto Kabwe anataka kugombea lakini wao kama chama Zitto hajawaambia kama ana nia...
Top Bottom