rungwe

Rungwe is a District in Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Mbeya Rural District, to the east by Iringa Region, to the southeast by Kyela District, to the southwest by Ileje District and to the west by Mbeya Urban District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Rungwe District was 307,270.The District Commissioner of Rungwe District is Julius Chalya.
Population
The majority of People who are living in the District are Nyakyusa by Tribe.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Hashim Rungwe: avujisha siri wamelipwa kushiriki kikao na samia ni ya Julai 30, 2026?

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, likidai kuwa Hashim Rungwe amefichua siri kwamba viongozi wa vyama vya siasa walilipwa fedha ili kushiriki kikao kilichoitishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan. Chapisho hilo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi - Rungwe limeshiriki zoezi la Usafi wa Mazingira katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Rungwe, leo tarehe 20.7.2026 limeshiriki zoezi la Usafi wa Mazingira katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Makandana ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha afya ya jamii pamoja na kudumisha uhusiano mzuri uliopo kati ya jeshi hili na Wananchi. Aidha Jeshi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo yaanza kampeni ya kunywa maziwa shuleni Wilayani Rungwe

    Dkt. Mackrina Nombo, Mtaalamu wa Lishe Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Mradi wa Mageuzi ya Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi ulio chini ya Wizara hiyo unaofadhiliwa na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) imeanza kampeni ya unywaji wa maziwa shuleni ikiwa ni hatua...
  4. munroe

    JamiiForums Tanzania Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

    Tunauza ng'ombe wa maziwa rungwe mbeya Tunao ng'ombe aina mbalimbali wenye uwezo wakutoa lita 30 kutwa Kuna pure breed za Aryshire, Friesian, jersey, red bull etc. Namba zetu :0756416149 :0717847599
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Serikali inajenga 'vyumba vya ubaridi' Rungwe kupunguza upotevu wa zao la Parachichi baada ya kuvunwa

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Njombe, Rebecca Msemwa, amehoji Serikali kuhusu changamoto wanazokumbana nazo wakulima wa maparachichi katika mkoa huo. Anaeleza kuwa kuwa licha ya Njombe kuwa maarufu kwa uzalishaji wa maparachichi bora, mkoa huo hauna vyumba vya ubaridi (cold rooms) kwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe: Milioni 10 itatumika kuboresha madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi

    Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho. Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
  7. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe hii Shule ya Msingi KIBISI mmeamua kuipotezea?

    Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu. Pia soma: ~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki ~ Halmashauri...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ama kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu. Ona hili vibe la Ndato Rungwe CCM wakasome

    Hii ni hatari CCM lazima wapaniku CDM ipo mioyoni wa Watanzania.
  9. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe litazameni Soko la Ndizi Kiwira, mazingira siyo rafiki

    Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja. Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe hatujapata fedha za kujikimu na Viongozi wapo kimya

    Watumishi wa Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya bado hatuchapokea hela ya kujikimu, ajabu ni kwamba viongozi hawaongei chochote kuhusu hizo hela. Utaratibu wa malipo hayo ya kujikimu mwajiriwa inabidi apewe ndani ya wiki mbili tangu aripoti kazini ila sisi mwezi wa tatu sasa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rungwe: 18 wafariki kwa maporomoko

    Watu 18 wamefariki dunia katika Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya hii ni baada Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kusababisha maporomoko ya udongo kutoka milimani kuvamia Makazi ya Wananchi katika kata mbalimbali. Timu ya Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na Kamati ya Ulizi na Usalama...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

    Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha Haya mambo yanamwisho.
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Taharuki yatanda wafanyakazi 216 kiwanda cha chai Rungwe kufukuzwa kazi

    Taharuki imetanda kiwanda cha Wakulima wa Chai kilichopo Katumba wilayani Rungwe mkoani Mbeya kufuatia wafanyakazi 216 kuandamana kwa mabango kupinga kufukuzwa kazi wakidai stahiki zao, huku wakiiomba serikali kuingilia kati. Imeelezwa kuwa tangu kufungwa kwa kiwanda hicho Mei 9 mwaka huu...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia kujenga vituo 50 vya kuhifadhi parachichi

    DKT. SAMIA KUJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHI PARACHICHI Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Mbeya kuwa Serikali imejikita katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi, kwa kuwekeza katika...
  15. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aendelea kuthibitisha kwamba anawajali wakulima, atoa onyo kwa wawekezaji wa zao la chai Rungwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi. Akizungumzia uwekezaji katika...
  16. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya :Viongozi wa Ccm Wilaya ya Rungwe acheni kuwapambani baadhi ya wagombea

    Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi. Baada ya kukatwa Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti BAVICHA Mbeya: Waliozuiwa wasifanye siasa CHADEMA ni watatu. Rungwe kaeni mkao wa kula tunakuja kufanya mikutano

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo mkoani Mbeya, Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya Elisha Chonya amesema kwamba CHADEMA wana haki ya kuendelea na mikutano ya kisiasa kwani katazo la Mahakama halikuwalenga viongozi wote wa CHADEMA bali viongozi wachache. Akiwa anazungumza kwenye kikao chao mkoani Mbeya ...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC Mhandisi Dkt. Gwamaka Mafwenga Achukua fomu kutia nia ubunge jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Dkt. Gwamaka Samwel Mafwenga leo, Jumamosi Juni 28.2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Rungwe...
  19. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mafwenga achukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka Mafwenga ambaye pia ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya

    Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona. Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na...
Back
Top Bottom