interview

An interview is essentially a structured conversation where one participant asks questions, and the other provides answers. In common parlance, the word "interview" refers to a one-on-one conversation between an interviewer and an interviewee. The interviewer asks questions to which the interviewee responds, usually providing information. That information may be used or provided to other audiences immediately or later. This feature is common to many types of interviews – a job interview or interview with a witness to an event may have no other audience present at the time, but the answers will be later provided to others in the employment or investigative process. An interview may also transfer information in both directions.
Interviews usually take place face-to-face and in person but the parties may instead be separated geographically, as in videoconferencing or telephone interviews. Interviews almost always involve spoken conversation between two or more parties. In some instances a "conversation" can happen between two persons who type their questions and answers.
Interviews can be unstructured, free-wheeling and open-ended conversations without predetermined plan or prearranged questions. One form of unstructured interview is a focused interview in which the interviewer consciously and consistently guides the conversation so that the interviewee's responses do not stray from the main research topic or idea. Interviews can also be highly structured conversations in which specific questions occur in a specified order. They can follow diverse formats; for example, in a ladder interview, a respondent's answers typically guide subsequent interviews, with the object being to explore a respondent's subconscious motives. Typically the interviewer has some way of recording the information that is gleaned from the interviewee, often by keeping notes with a pencil and paper, or with a video or audio recorder. Interviews usually have a limited duration, with a beginning and an ending.
The traditional two-person interview format, sometimes called a one-on-one interview, permits direct questions and follow-ups, which enables an interviewer to better gauge the accuracy and relevance of responses. It is a flexible arrangement in the sense that subsequent questions can be tailored to clarify earlier answers. Further, it eliminates possible distortion due to other parties being present.
Face to face interviewing helps both parties to interact and form a connection, and understand the other. Further, face to face interview sessions can be more enjoyable.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wasimamizi Interview: Kelele zinatufelisha

    Napenda kutoa dukuduku langu, yaani hawa wasimamizi wa written interviews za utumishi baadhi yao wanasababisha watu wanafeli yaani mshaanza wao ni kelele.
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Interview ya Mex kwa Rick Media imenikosha sana

    Nimeangalia interview ya Mex Cortez kwa Rick Media na kwa kweli ni best interview wasanii wajifunze Kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na interview nyingi za kawaida. Mazungumzo yameonekana natural, yenye mafunzo, na yameonyesha upande mwingine wa maisha/experience zake. Sometimes interview...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDSM kutotoa matokea ya written interview ya 02/05/2026 kuna dalili za rushwa

    Kiukweli nimesikitika sana UDSM kuficha matokeo ya wrriten interview iliyofanyika tarehe 02/05/2026 pale yombo 4 mapaka sasa matokeo hayajawekwa kwenye website rasmi ya Secretariat ya ajira huku waajiri wengine wakitoa matokea wazi Sasa naanza kuamini ili upate kazi UDSM ni mpaka utoe rushwa au...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Interview DP World: Wameshaita Waliochaguliwa?

    Habari wakuu. Naomba mwenye taarifa, madogo walifanya usaili karibuni mwezi April. Naomba kujua kama walishaitwa kwa mwenye taarifa.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hongera waliofanya written Interview ya Agricultural Extension Officers

    Poleni sana. Mmemaliza interview Tupeane maswali yalikuwaje. Kwa anayekumbuka, weka swali unalolikumbuka.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Oral Interview ni English au Swahili

    Interview za Ajira portal ni lugha gani inatumika
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto yupo Form 1 na likizo imeisha, Je arudi shule ya boys inayoshuka namba 1 hadi 3 kimkoa au ahamie mchanganyiko inayoshika nafasi ya 4 hadi 6?

    Umri ni miaka 14, Mtoto ana uwezo mzuri darasani wala sina shaka juu ya uwezo wake. ana uwezo wa ziada wa kulisakata gozi (mpira) Shule ya msingi alisoma mchanganyiko ya kutwa. Katika likizo hii ya wanafunzi wa sekondari, nilipata wazo la kumpeleka mtoto kufanya interview katika shule ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Written Interview za Utumishi matokeo yake ni unfair. Kwanini mfumo hautoi matokeo moja kwa moja unapo-submit mtihani?

    Written interview za online ni unfair kwa sababu mifumo ya mitihani ya online huwa inaleta matokeo moja kwa moja punde tu unapomaliza kujibu mtihani, kwanini mfumo wa Utumishi haujatengenezwa hivyo? Hiyo inatuaminisha kwamba Matokeo hayo sio ya haki ni batili, ya kupangwa. Tunaomba mfumo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAi: vitu vya kuzingatia kwenye interview za kazi maelezo yote muhimu yatakayo kusaidia upite 100%

    Wengi ufikiria Ai ni kama kitu kisichokuwa na maana kwenye ushauri, Kulingana na ukuaji wa teknolojia tunaweza kutumia Ai kwenye kutafuta ushauri kwenye mambo mbalimbali ya kijamii na ya msingi yanoyoweza kutusaidia kwa asilimia 100%. Huu ni ushauri wa JamiiAi kwenye masuala ya interview...
  10. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Interview za kiwaki sana

    Mnatuita vizuri tuu.. Tunafika mnatukaribisha vizuri kabisa. Ila baada ya kufika ndani lugha inabadilika as if jamaa ajui kabisa kiswahili... Lugha inaenda deep zaidi mpaka unajiuliza mbona wafanyakazi humu ndani wanaongea kiswahili kabisa Huyu jamaa katokea wapi mbona ka-change ghafla...
  11. Holota

    JamiiForums Tanzania Kufaulu written interview zinazosimamiwa na PSRS

    Wakuu habarin za muda huu Moja kwa moja niende kwenye mada nimehitim mwaka juz shahada ya finance baada ya kumaliza nilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine zinazo simamiwa na tasisi zenyew mfano TRA lakin zote hizo hakuna hata moja niliyofanikiwa kwenda oral...
  12. B for Beatrice

    JamiiForums Tanzania Interview Afisa utamaduni

    Naomba msaada. Anayejua maswali yanayotoka kwenye usaili (Afisa utamaduni) anisaidie..
  13. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kila wakiita interview wananikuta nina ukwasi wa kutosha hivyo napuuzia

    Wahenga wanasema kumpiga teke chura ni kumuongezea hatua sasa Serikali imenikaanga mtaani mwaka wa saba huu bila ajira nikatafuta chimbo likawa linanipa dor za kulipa bills zote za muhimu na vichenchi kidogo kubaki Sasa kuna wakati natamani ajira maana mishe zinakazaga kiasi kwamba hata kwa...
  14. Capo_di_Tutti_Capi

    JamiiForums Tanzania Utumishi- kuitwa kwenye interview ya kuandika kwa njia ya mtandao -MDA's & lga's - Accounts assistant ii (12/3/2026)

    Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao.
  15. Vicenza

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kufanya interview ya Server administrator interviews 14/3/2026

    1.Ni maswali gani yanaulizwa In practical na written.?
  16. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Full interview na Afande Sele kuhusu gheto boys & watu pori

    Interview na Afande Sele akizungumzia watu pori na gheto boys akiwa na c.e.o wa ukwaju wa kitambo
  17. Isenye

    JamiiForums Tanzania Maswali ya oral interview Tanzania Commercial Bank,nafasi ni Relationship officer ii.

    Habari za leo wapambanaji wenzangu. Nimebahatika kuitwa oral interview nafasi ya relationship officer ii mwajiri ni Tanzania commercial bank. Ningeomba mwenye kujua hawa jamaa huwa wanauliza maswali ya aina gani anisaidie.. Asante
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Sakata la Interview za Air Tanzania leo tarehe 31 January 2026

    Kama kuna siku vijana wamejisikia kama wako kwenye onyesho la futuhi—lakini lisilo na kicheko chochote—basi ni siku ya usahili wa ajira wa Air Tanzania leo pale DUCE. Kilichotarajiwa kuwa zoezi la kitaalamu, la haki na la kutoa matumaini, kimegeuka kuwa kilio chenye maswali mengi kuliko majibu...
  19. hk20

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa interview ya NAOT

    Husika na kichwa Cha Uzi hapo juu, napenda kuomba na kukaribisha watu wenye uzoefu na interview za NAOT Kada ya Telecommunications Engineer (ukaguzi wa ki ufanisi-telecom engineer), wanipe mbili tatu hasa Kwenye usaili wa kwanza wa mchujo(njia ya mtandao), practical na oral
  20. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Sikiliza interview ya Oscar Kambona ya Mwaka 1968, akizungumzia udikteta

    Download hii video haraka Oscar kambona alikuwa mbele ya Muda. Alilalamikia mfumo wa kidikteta ulitengenezwa na Nyerere. Huo mfumo ndio unaitesa nchi hii mpaka sasa hivi.. https://youtu.be/-rSfRJVSXqI?si=xuFuPTWRF5lPsR3K
Back
Top Bottom