barua ya wazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi wa Mkuu wa Usalama Barabarani kuhusu uendeshaji hatarishi wa vyombo vya moto kwenye barabara ya Mbeya - Tunduma

    MADEREVA WA PIKIPIKI NA BAJAJI – MBEYA Barabara ya Mbeya–Tunduma 12 Agosti 2026 Kwa: Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani S.L.P 260 Mbeya YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA UENDESHAJI HATARISHI KWENYE BARABARA YA MBEYA–TUNDUMA Ndugu Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani, Sisi, waendesha pikipiki na bajaji...
  2. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Dkt. Nasra Nassor, Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA DKT. NASRA NASSOR Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Yah: Ombi la Kupata Ufafanuzi Kuhusu Maendeleo ya Utekelezaji wa Sheria ya Baraza la Wataalamu wa Kemia (Chemist Professionals Council) Mheshimiwa Dkt. Nasra Nassor, Kwa heshima, naomba nianze kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Mwaipopo

    Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Mwaipopo. Kwanza napenda kukusalimu kwa heshima na upendo wa Kiislamu. Nakuandikia barua hii si kwa chuki wala nia ya kukushusha hadhi, bali kwa sababu katika Uislamu wetu tunafundishwa kukumbushana katika haki na mema. Sheikh, historia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Walid- aliekuwa Sheikh wa Dar

    Barua ya wazi kwa Sheikh Walid Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo katika kipindi hiki. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupe subira, nguvu na hekima katika kukabiliana na kila...
  5. min -me

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kabisa kwenu vijana

    Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu . Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo...
  6. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

    Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty... Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mufti na sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu tabia ya kutukanana kwa baadhi ya masheikh mitandaoni

    Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH. Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Nawasilisha barua hii nikiwa kama mmoja wa Waislamu anayejali kwa dhati heshima ya...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia, tupo kwenye janga la kinyang’anywa kila tulichonacho. Je, kivipi ndio suluhu yetu

    Mheshimiwa Rais, Kwa heshima kubwa tunakuandikia barua hii kuomba msaada wako katika kutatua mgogoro unaotukabili sisi wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika leseni za NICO RAYMOND NYEMELE (PML 1794/1795 GTA) na MHELLA NATHANIEL (PML 1797 GTA) zilizopo Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi na ushauri kwa Rais wa TFF, Wallace Karia: Linda misingi ya Mpira wetu kitaalamu

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, anapaswa kusimama imara na kulinda misingi ya soka la kitaalamu kwa kukataa katakata kuingiza ushawishi wa kisiasa kwenye kanuni za usajili na upangaji wa vikosi vya vilabu vya Ligi Kuu. Shinikizo la kutaka kutengeneza mazingira...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kucheza Kwenye Uwanja wa Siasa: Barua ya Wazi kwa Rio Ferdinand

    Mpendwa Rio, Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina uzito mkubwa sana. Kuona ukishirikiana na vijana na kujionea miundombinu ya hapa nchini kunaonyesha...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa shesrise_1

    vitu vingi namwambia yeye pekeyake lakini leo naomba nimuandikie barua ya wazi mbele ya wote kwako ShesRise_1 “Tabasamu lako linaangaza moyo wangu kama alfajiri inavyoifungua bahari baada ya usiku mrefu.” “Macho yako yana utulivu wa mwezi kamili juu ya maji yaliyotulia, mtu akiangalia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Nyongeza ya Ada ya EXTENSION kwa Wanafunzi wa Shahada ya Umahiri (MASTERS) – UDSM

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM YAH: MALALAMIKO KUHUSU NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA...
  14. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA (CMSA, DSE, WIZARA YA FEDHA)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  15. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wadau wa Masoko ya mitaji Tanzania (CMSA, DSE, Wizara ya Fedha)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa jaji mkuu wa Tanzania kuhusu kuharakisha kesi ya Tundu Lissu

    BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia utoaji wa haki nchini. Lengo la barua hii ya wazi ni kuwasilisha ombi la msingi na la haki kuhusu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mange Kimambi

    BARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB Ndugu Mange Kimambi, Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ninakuandikia barua hii ya wazi kwa heshima na nia njema, nikizingatia kauli zako za mara kwa mara...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua ya Wazi kwa Rais kuhusu hali ya utendaji duni Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mheshimiwa Rais, Awali ya yote, tunakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya katika kuijenga nchi yetu, hususan katika kuboresha sekta ya afya. Sisi kama watumishi na wadau wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), tumeona ni wajibu wetu kukuandikia taarifa hii kwa uzalendo na kwa maslahi mapana ya...
  19. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua ya wazi Kwa Mkuu wa Trafiki

    Barua ya wazi kwa mkuu wa Traffic Police Kuna zoezi limefanyika Jumamosi ya tarehe 14.02.2026 - Jangwani Road na ni zoezi la dhuluma na kuibia wananchi ambao tayari wanaumizwa na mifumo kandamizi. Afisa waliweka kamera na kusimamisha wenye magari mengi kwa kisingizio wanadaiwa fine. Mbaya...
  20. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu akiwa Kilindi Tanga

    Hongereni kwa majukumu ya kazi za kila siku. Barua hii kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania imfikie mh Mwigulu Nchemba waziri mkuu wa Tanzania akiwa kilindi Tanga Leo tarehe 13.02.2026. Kwakuwa kumuona mh.ana kwa ana ni ngumu tunaomba asome barua ya walimu wa kilindi Tanga inayohusu pesa...
Back
Top Bottom