|||
Rais Samia amenunua vitendea kazi kwa ajili ya sekta ya kilimo magari 44, pikipiki 6,444, vishikwambi 5,426, na vipima afya ya udongo 143, Trekta 500, Power Tiller 800 ndani ya miaka minne.
Tumenunua na kusambaza vitendea kazi kwa ajili ya kuboresha huduma za ugani na kuimarisha uzalishaji...
Nane Nane au Sikukuu ya Wakulima huadhimishwa Nchini Tanzania Agosti 8 kila Mwaka ikilenga kutambua Mchango wa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa Taifa.
Sherehe za Nane Nane huratibiwa na Wizara ya Kilimo, Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi pamoja na Mtu mmoja mmoja kutoka katika shughuli za...
Serikali imewahakikishia Wakulima na Wafugaji usalama katika shughuli zao za uzalishaji huku ikiwataka kushirikiana na Vyombo vya Usalama ili kuepuka wizi, utapeli hali itakayopelekea kufikia dhana dhima ya maendeleo ya kilimo,mifugo na Uvuvi.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya...
Katika maonyesho haya ya wakulima kipindi hiki imekuwa na utofauti mkubwa sana Zaidi ya mwaka Jana.
Tofauti ni Kuwa wamachinga wa nguo ,wamachinga wa vyombo na mama ntilie,wauzaji wa dawa za asili wamekuwa wengi kuliko wakulima na wafugaji.
Mabanda ya ng'ombe, mbuzi, na kuku hayazidi...
Habari mdau wa kilimo!
Je, umewahi kuskia semi maarufu ya "ukiitiwa fursa basi wewe ndio fursa" ama " dili limekua dirisha"? Semi hizi na zinginezo zimekua maarufu kutokana na tapeli mbalimbali walizo/wanazofanyiwa wakulima na wafugaji. Hapa chini tutakupa mifano hai kwa uzoefu toka mkoani...
Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi wakiashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa ‘Shamba ni Mali’ wenye lengo la kuwanufaisha...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Hayo makundi yote hapo juu.
Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako.
Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
Ni kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi. Pengine ni hujuma dhidi ya. CCM.
Super Market za local products/ ushirika. Kuna idea moja huwa naiwaza sana na inawezeka a ila shida kuu nchi imejaa watu wajinga ambao muda wote tunawaza negative tu, yaani hatuwazi wala kuhofia wageni wanao kuja kuchuma Tanzania, hapana tuna waza na kuhofia Wabongo wenzetu.
Nchi hii ina...
Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa
Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo
Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500
Ila ajabu bei imeshuka
Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi
Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Nyota ya Matumaini,ni daraja la matumaini. Ni ngazi ya wanyonge, ni tumaini la watanzania, ni faraja kwa watu. Ni kiongozi ambaye amekuja kuinua maisha ya watu ,kuondoa Umaskini wa watanzania,kuwapa tabasamu safu. Kugusa maisha ya watanzania na...
Uzalishaji wa zao la ndizi umeaanza kuathirika katika baadhi ya mashamba ya migomba katika Kata za manispaa ya Morogoro ikiwemo Kata ya Kauzeni na Mzinga kufuatia mashamba yao kuathiriwa na ugonjwa wa fungashada ya migomba kuanzia mwaka jana.
Godfrey Yanda na Ally Kondo ni wakulima wa zao la...
Takribani yapata kama wiki 4 zilizopita nikaaamua kuwa mzalendo kupeleka kahawa zangu zilizokauka kwenye Amcos moja wapo wilayani Missenyi .
Karani alinipokea vizur akanisajili kwenye mfumo baada ya hapo akapima kilo hamsini kwa kila mfuko nikapata mifuko zaidi ya minne .lakini cha ajabu...
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa.
"Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali
Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.