wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Kuna siri gani ya mafanikio ya ghafla kwa wafanyabiashara ya kuuza smartphones?

    Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma. ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi. Simu hizo bei...
  2. Lycaon pictus

    Tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini?

    Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
  3. peno hasegawa

    DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

    Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda? Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti? TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari. Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
  4. NetMaster

    Wazee wanaooa mabinti wadogo wanaweza kwenda na kasi ya mabinti?

    Habari zenu wakuu, Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23. Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama mjini tumeshazoea kuchapiana, yani huku watu waliooa hasa wazee wamejidhatiti na hii imesaidia hata...
  5. Mtu Asiyejulikana

    Wadogo na rafiki zangu njooni hapa tuambiane ukweli

    Unajua miaka ya nyuma mambo kwa asilimia kubwa hayakuwa hivi yalivyo. Mimi nakumbuka kipindi hicho cha nyuma hata kupata watoto wazuri ilikuwa tunatumia mbinu za kiume hasa. Kama ni mikoani huko ilikuwa wakati mwingine inabidi ukimbize binti kwenye vichaka na uwe na utaalam wa kumpigwa "Ngwala"...
  6. NetMaster

    Kwetu mimi pekee sijaelimika ila useremala unanibeba, kaka na mdogo wangu walioelimika wanasota, nashauri VETA kabla ya chuo

    Sisemi kwamba watu wasisome, La Haha! bali wawe na "back up a.k.a Plan B, Sio vibaya mtu mwenye degree awe na ujuzi wa kushona, ujenzi, useremala, upishi, n.k. huu ujuzi una uhakika zaidi wa kumlisha kuzidi nafasi za kazi ambazo wachache huajiriwa, anapomaliza chuo awe na uhakika wa kuanza...
  7. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Usalama wa Taifa wa Israel hujulikana tokea wakiwa wadogo, ila nchi zingine wale 'failures' ndiyo 'huajiriwa' huko?

    Kuna nchi Moja (nimeisahau kwa sasa) nimeambiwa recruiting yao kuingia huko ni mpaka uwe na 'Characters' zifuatazo: 1. Failure Academically 2. Ukiwa Msomi basi ujue Kujipendekeza 3. Uwe na God Fathers wengi huko 4. Uwe Mnafiki na Mfitini 5. Uwe Member wa Chama Dola 6. Ujue Kujiroga na Kuroga...
  8. Guapo_v

    Je, ni wakati sahihi kwa watoto wa kiume kupewa Elimu ya Jinsia?

    Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya ndoa. Lakini Watoto wa kiume wamekua wakisahaulika sana katika haya je, ni kweli watoto wa kiume...
  9. L

    Watoto wajifanya kuwa "madaktari wadogo" wakati wa mapumziko ya majira ya joto ili kufahamu utamaduni wa dawa za jadi za Kichina

    Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
  10. Getrude Mollel

    Serikali ya Rais Samia yatenga tsh. Bil 83.4/- kuinua wachimbaji wadogo nchi zima

    Waziri wa Madini Mh. Doto Biteko chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza neema kubwa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima. Neema ambayo inakwenda kuwakomboa kabisa kimaisha. Hatua hii imekuja baada ya kuonekana kwamba wachimbaji wadogo na sekta nzima ya madini imekuwa na mchango mkubwa sana katika...
  11. Mabula marko

    SoC02 Matumizi ya teknolojia ya viumbe hai wadogo (Bacteria na Archaea) katika uchimbaji madini katika kutunza mazingira na viumbe hai

    DIBAJI Shughuli za binadamu zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku kulingana na mahitaji ya mwanadamu kuongezeka , hali hiyo kwa namna moja ama nyingine imekuwa ikisababisha ama kupelekea uharibifu juu ya ardhi na kusababisha uharibifu wa mazingira na kuhatarisha baadhi ya jamii ya mimea kama...
  12. sanalii

    Kwanini wazungu wanakua/wanapata maendeleo wakiwa wadogo?

    Ni jambo la kawaida unakuta kijana wa miaka 19 hadi 23 amesha Settle kwenye career yake, kwa mfano kijana wa kizungu kabla ya miaka 20 tayari ana hold computer certificate zenye kuheshimika like OSCP etc, na anafanya mambo makubwa, wakati huku kwetu unakutana na mwanafunzi wa Computer...
  13. L

    Miradi ya ushirikiano wa kilimo ya China inainua wakulima wadogo barani Afrika

    Na Tom Wanjala Katika harakati za kusaidia kuboresha na kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika, China inazidi kuwekeza katika vituo vya maonyesho ya teknolojia ya kilimo (ATDCs), vilivyoanzishwa na kampuni na taasisi za China. Vituo hivi pia vimeinua maisha ya wakulima wengi kutokana na...
  14. M

    Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!! Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
  15. Kindeena

    Kariakoo, Dar: Wafanyabiashara wadogo wanatozwa kati ya elfu 50 hadi laki 3 kama adhabu

    Baadhi ya viongozi wa Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari wa Jiji wanadaiwa kuwatesa na kuwanyanyasa Wafanyabiashara wadogo, na kuwatoza Wafanyabiashara hao faini kubwa kati ya Tshs 50,000/= hadi 300,000/= kama adhabu ya "makosa" mbalimbali...
  16. tpaul

    Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

    Jambo wakuu! Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa. Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
  17. Expensive life

    Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  18. F

    Mkuchika ni Mzee kuliko wote bungeni na Baraza jipya, kulikoni wadogo zake Lukuvi na Kabudi?

    Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana. Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya? Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
  19. Sky Eclat

    Makosa tunayo fanya wazazi kwa watoto wetu ni kutowapa ufahamu wa kutosha tangu wakiwa wadogo

    Ufahamu wa mtoto tangu akiwa mdogo anaanza kuongea ni kama bank account, unachohifadhi ndicho unachovuna. Watoto wakianza kuongea wanakua na maswali mengi, hii ni asili yao ya kutaka kufahamu dunia. Usichoke kumfahamisha mazingira anayo ishi. Ukiamka asubuhi akikuuliza unakwenda wapi mueleze...
  20. Red Giant

    Kuna haja ya kuanza kuwafundisha watoto ujuzi mapema wakiwa bado wadogo?

    Zamani suala la kumpatia mtoto ujuzi utakao mfaa maishani lilikuwa ni jukumu la mzazi. Mzazi mvuvi alimfundisha mtoto uvuvi. Mfua chuma, mganga, mkulima, mfinyanga vyungu, mrina asali, mfugaji, mfanyabiadhara nk. Ujuzi ulitoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto. Ikaja hii elimu rasmi. Jukumu la...
Back
Top Bottom