Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani
Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm
Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k.
Watu wenye picha zilizofifia waliwatafuta graphics designers kuongeza ubora, waliohitaji picha zao...
Bara la Ulaya hivi karibuni limekumbwa na mawimbi ya joto kali. Inakadiriwa kuwa halijoto ya juu imesababisha vifo vya takriban watu 15,000, wengi wao wakiwa wazee wanaoishi katika nyumba zisizo na viyoyozi.
Takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2025, mauzo ya viyoyozi vya China barani Ulaya...
Kumekuwepo na video iliyochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook ikidai kuwa kutokana na wimbi kali la joto linaloendelea kulikumba bara la Ulaya, hususan nchini Ujerumani, baadhi ya mataa ya kuongozea magari yaliyowekwa kandokando ya barabara yameanza kuyeyuka kutokana na kiwango...
Katika kipindi cha wiki za hivi karibuni, mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano wa Tanzania umeibuka kwa nguvu ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, huku masuala ya uhuru wa kifedha, ajira kwa wazawa na upatikanaji wa huduma za kijamii yakichochea mijadala mipya kuhusu uhusiano kati ya...
Jiandaeni kwa El Niño.
Taarifa za hivi karibuni kutoka World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani, jambo ambalo linaongeza hatari ya matukio makubwa ya hali ya hewa katika miezi ijayo.
Ingawa...
Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata.
Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
Mimi kusema kweli sina roho ya kitajiri. Halafu sikopeshi kabisa ni mambo taslimu. Huyu binti alikuja toka mkoani kusoma chuo. Tukapendana. Basi nikawa sababu mimi mzazi alikuwa anauwezo nikawa nachukua mkwanja home.
Huku na serikali inanilipia. Mzee anajua ananisomesha. Basi najibana...
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake.
MZEE JOSEPH...
Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku.
Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha.
Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
Habari zenu wapendwa, tukiwa msimu wa joto naomba kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa AC kutoka Baridi Baridi ili kupambana na joto nyumbani, ofisini, hotelini, supermarkets n.k
AC zetu unaweza kupata kwa;
KULIPIA KIDOGO KIDOGO, hapa unakua unafungiwa AC na unakua unalipia kidogo kidogo kila...
Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea.
Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini.
Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.
Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.
maelezo yapo kwenye video hapa chini
Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.
Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?
Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
Habari wafugaji, Leo tutajifunza juu ya kumjua ng'ombe wako Kama yupo kwenye joto (estrus),
dalili za joto kwa ng’ombe:
1. Kukubali kupandwa (standing heat):
- Dalili kuu! Ng’ombe husimama kimya anapopandwa na wenzake au dume.
2. Kutoka ute mwepesi (clear mucus) sehemu za siri
- Mara...
Habari za muda huu natumaini wote ni wazima,Leo nitaenda kutoa elimu ya kujua Kama nguruwe wako yupo kwenye joto.
👉Note. Nguruwe ambaye yupo kwenye joto hukaa ndani ya masaa 72 (siku tatu)
✅Njia za kumtambua nguruwe aliye joto:
1. Test ya "standing reflex":
- Mweke mikono yako juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.