Red Giant
Reaction score
10,556

Profile posts Latest activity Postings About

 • Wow, thats great my brpther, mimi sijambo nipo tu likizo na mimi, nimetulia home mpaka tufungue chuo. Now ninacheza games na kumalizia kuandika report yangu ya field, nilikuwa Olduvai kwa Miezi miwili hivi. Welcome bro, ulipotea sana, i guess ni kitabu kilikuweka busy sana. Nitakutafuta unipe Movies za animations. Big up Red Giant.
  Nipo na blink, Snow patrol, American bang, panic at the disco na tokio hotel bro.
  Hahahaa, wazo zuri sana bro, sure.. anzisha then mimi nitakuunga mkono 100%. Rock on my brother.
  tatizo langu huwa nikiona nyimbo zina matusi nashindwa kusikiliza nilitaka kudownload blink 182 nakaona dirty lyrics nikaachana nao ila nyimbo yao moja nilisikia ni wa kali, umewasikia skylit drive album yenye too little too late? nafikiri wanayo hiyo moja tu, hutachoka kuwasikiliza. mi ma best band ni three doors down , nina album zao tatu sichoki kusikiliza. ngoja niwatafute 182 pengine kuna good stuff inside!
  The machine ndio ninawasikiliza, kuna nyimbo mpya mkuu, nitakutafutia list. Kuna foo fighters, coldplay, death cab for cuties wote wana nyimbo mpya, Heavy metal ninapenda baadhi ya nyimbo. Hata mimi napenda Punk na BLINK 182 ndio bend ninayoipenda sana kuliko zote.
  Hahahahaaa, mi mwanaume mkuu, aisee The scorpions ni noma, jamaa wanapiga rock ya ukweli, safi sana kama unapenda rock music, ni mziki wa ukweli mkuu. Maana ni watu wachache ambao nawaona wanasikiliza Rocks.


  Yeah mimi ninaishi kwa principles za za Ras Tafari mkuu.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top