Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama;
(a). Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi?
(b). Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
Leo nilikuwa na rubani tukipata bia nyumbani.
Ananiambia hakuna mtu mwenye akili timamu ukaweza kumpa ndege za urusi ambazo zimejaa saa kila kona kiufupi ni vipima vyilivyo kwenye mfumo.
Nikabidi niangalie ndege na teknolojia kupitia Google.Ni kweli kabisa yani ndege zao mpaka marubani...
Habari za majukumu wana-JamiiForums?
Naomba msaada wa kufahamu masomo rasmi yanayofundishwa kwa sasa katika ngazi ya Elimu ya Awali (Nursery) na Shule za Msingi (Primary) kwa mfumo wa English Medium.
Lengo langu ni kupata uelewa sahihi wa mtaala mpya ili niweze kuwaandaa vizuri watoto wangu...
Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala.
Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike?
NI ujauzito wake wa kwanza.📌
dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama;
1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi?
2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa
Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi gani na wao watajibu ni order ya Jenerali
Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope!
Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI):
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa
Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya kununua ng’ombe wa maziwa, ili kuepuka hasara zinazotokana na maamuzi ya haraka au taarifa zisizo...
Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.
Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.
Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini...
Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga.
Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa.
Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe...
Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi.
JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
Habari wanazengo,
Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
Habari,
Pagination ni nini ?
kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale kwenye comment section tupo pamoja.
Mfumo wa pagination unaotumika sasa hivi kwenye JamiiForums (ule...
Wakuu,
Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi.
Nimefahamu haya
1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.