kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Polepole ameingia kwenye orodha ya watu wasio na kaburi lake duniani.

    Wana ccm hivi mnajua POLEPOLE mwana ccm mwenzenu Hana kaburi lake? Mwenzake magufuli yeye analo Sasa mkitaka kuhiji mtaenda wapi?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
  3. K

    JamiiForums Tanzania CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

    Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka millenials kaburi letu lilikuwa madawa ya kulevya. Hawa Gen-Z kaburi lao ni mapenzi kinyume na maumbile

    Fasheni imegeukia makalioni kwa mabint, show off mitandaoni lazima ajibinue, mtaani lazima ayabane na kanga, zamani walikuwa wanaliazimishwa ila siku hizi anakuambia mwenyewe na usipomuomba anakuona mshamba. Video za wao kuliwa nje nje kila kona zimetapakaa, yaani ni trend. Vivulaana vimekuwa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kaburi la CCM linachimbwa na Polisi

    Kwa sasa hakuna chombo cha dola kinachochukiwa na wananchi kama jeshi la polisi, na kadri jeshi linavyochukiwa ndivyo wananchi wanavyozidi kuichukia serikali. Jeshi la polisi linatuhumiwa kuhusika na matukio mbalimbali ya kihalifu ikiwemo utekaji (SATIVA). Uhalifu unafanyika bila jeshi...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kaburi la Halaiki Kwa Kondo: Porojo za Wanaharakati

    SUALA LA KABURI LA HALAIKI KWA KONDO NI POROJO ZA WANAHARAKATI NA LARRY MIDOWO WA CNN 📌 💡Kufuatia vurugu na machafuko ya kupangwa na kuratibiwa na wanaharakati na baadhi ya vyama vya siasa ikiwemo CHADEMA kulitokea uzushi wa mambo mengi sana ikiwemo kuwapo kwa kaburi la halaiki huko Kunduchi...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Kijana unaona umepata mafanikio kidogo channel zimeanza kufunguka unakimbilia kuoa unajichimbia kaburi mwenyewe

    Kijana unaona umepata mafanikio kidogo channel zimeanza kufunguka unakimbilia kuoa unajichimbia kaburi mwenyewe Stop this madness. Hilo kosa utalijutia maisha yako yote.
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Kuwaamini Wamarekani(US) ni kujichimbia kaburi, ona hii!

    Tumeona hivi karibuni, shughuli za ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi yetu na Marekani. Marekani kwa kifupi hawana urafiki na mtu yeyote au Taifa lolote. Watakumeza halafu kukutema mzima mzima. Msijesema wananchi hatukuwaambia!
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Nigeria ajiuliza maswali magumu akiwazia hukumu ya kaburi

    "Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashindwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa kuelewa Kiarabu kaburini? 😂"
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  11. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani nikigeuza kaburi

    Kama mnavyojua /ona makaburi mtu akizikwa yanakuwa yameelekezewa upande mmoja kama ni kusini kusini mashariki mashari je!kwa mfano makaburi sasa yameelekea mashariki ki marehemu wangu nikageuzia kaburi lake kusini je!kuna madhara gani?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    KABURI LA MSOMI. Karibuni sana wapenzi wa simulizi. Leo naitambulisha kwenu simulizi hii tamu iendayo kwa jina la KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi, maumivu, wivu, usaliti, chuki, mauaji na mikasa mingi ya...
  13. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  15. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kaburi la CCM limeandikwa: DOB 05/02/1977, DOD 29/10/2025

    Kaburi la CCM linasema tarehe ya kuzaliwa ni 05/02/1977 na tarehe ya kifo ni 29/10/2025. Leo 08/12/2025 ilikuwa 40 ya kuadhimisha kifo cha CCM. CCM imeishia kule kule vyama vingine vya aina yake kama Ba'ath Party vilipokwenda, kwenye jalala la historia.
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Mnataka tuseme idadi ya waliokufa kwani tunafanya sherehe ya vifo?

    Yaani zinatajwa kila kitu ila hakuna kutaja idadi, ilitajwa idadi ya waliokufa kwwnye mv bukoba, ajali train kule Dodoma idadi ilitajwa, japokuwa na yenyewe namba zilipikwa, leo kutaja idadi ya waliokufa kwwnye maandamano ndio inamaanisha watu wanasherekea mauaji yaliyotokea?🤣🤣 Mwigulu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliokufa kwenye Maandamano, wanataka kuwazika kwenye Kaburi ya Pamoja. Tunaomba watoto wetu tukawazike

    Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha. Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu. TAARIFA MUHIMU. Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video ya kusikitisha ikimuonesha mchungaji akiwa ndani ya kaburi la wakristu waliouliwa na kusema wamechoka kuzika wenzao kila siku

    Mauaji ya wakristo kutokana na imani zao huko nigeria yamekithiri sana.
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
Back
Top Bottom