kichina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kichina lilivyozua mjadala mitandaoni wa chuki na Ubaguzi wa Rangi mwaka 2016

    Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa rangi. Tangazo hilo lilimwonyesha binti mmoja wa Kichina akimsukumia kwa utani mwanamume mweusi...
  2. n00b

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chivayo aiweka Kenya mfukoni? Kampuni 'yake' yapewa dili la Dola Bilioni 2.9 kuboresha Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)

    Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
  3. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Technician wa kichina anaunda simu, Msomi wa master's anakuwa winga wa simu hiyo

    Nimeona uzinduzi wa logistic hub(ghala la forodha)...Nikawaza Ni mafanikio YA kusherehekea au inabidi tujitafakari kasi yetu YA kugeuza TAIFA letu SOKO Kwa bidhaa ZA nje. Tukiwa na idadi kubwa YA watu hasa vijana tunahitaji kufikiria kuzalisha ajira na si kuwa SOKO .. madhara YA SOKO Ni...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?

    Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lugha za kichina na kijerumani

    Watoto wangu wanaishi Chanika, mkoani dsm. Naomba kufahamu mtaalamu wa lugha za kichina na kijerumani au sehemu rahisi kwao kwenda kujifunza. Ninashukuru kwa msaada huo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kitanzania afuata ndoto ya Kichina kupitia shindano la lugha jijini Dar es Salaam

    Wakati mtoto wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 10, Ayubu Shaaban, alipopanda jukwaani katika Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watu wachache tu katika ukumbi uliojaa watu ndio walitarajia mvulana huyo mpole angevutia hadhira kwa lugha fasaha ya Kichina. Akiwa amevalia...
  7. Kilimi

    JamiiForums Tanzania Nafasi 10 za kazi kwa watafsiri wa kichina na 10 kwa wapishi wa kichina

    naitaji watu 10 ambaye yupo tayari kufanya kazi KIBAHA na DSM kwa nafasi ya mtafsiri wa kichina na 10 mpishi wa kichina anaeweza kupika vyakula vya kichina (certified) -uzoefu wa miaka 2 au zaid tuma cv 0657392242
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike nchini Tanzania wafuata ndoto zao kwa kujifunza lugha ya Kichina

    Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake, akiwaongoza kwa umakini jinsi ya kutamka maneno ya Kichina kwa kufuata lafudhi sahihi. Katika...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Muziki waunganisha tamaduni katika shindano la kuimba kwa Kichina nchini Afrika Kusini

    Wanafunzi vijana kutoka kote Cape Town, nchini Afrika Kusini, walileta nguvu na shauku kubwa katika sherehe ya utamaduni wa Kichina siku ya Jumamosi, wakati Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Cape Town (CIUCT) ilipoandaa Shindano lake la tano la Kuimba kwa Kichina, ikiangazia wazo kwamba...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Je, kuna nchi inazidi China kwa miundombinu ya kuvutia?

    Hivi duniani kuna nchi ina mind-blowing infrastructure kushinda China Barabara na highways Reli (railway systems) Viwanja vya ndege (airports) BRT system Train stations Bandari (ports & harbours) Nishati (energy infrastructure) Maji na usafi (water & sanitation) Mawasiliano...
  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Je kuna faida kujifunza Kichina?

    Hivi kuna faida ya kujifunza Kichina? Maana naona sikuhizi kuna translators kibao kwenye devices zetu, kuna AI zinasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha mawasiliano mpaka kuna muda najiuliza kama kujifunza Kichina ni worth it anymore Je kuna faida gani ya kujifunza kichina, 2026? Au hakuna...
  13. amarina

    JamiiForums Tanzania Nataka nimshauri Niffa(mfanyabiashara za kichina na kikorea.)

    ukiwa unafanya biashara yako tangaza lakini ukifanya ibada na kuuonyesha umma unakosea. Niliona kavidi kakitrend ukionyesha sehemu yako ya kuswalia, macho yangu yalitua kwenye ramani nyashi, kifupi ni kama unajidhalilisha tu
  14. Yoyo Zhou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watalii wa kimataifa wajiunga na sherehe ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina nchini China

    Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina inakaribia. Siku hizi katika mitaa na vichochoro nchini China, kuna wageni wengi ambao wamekuja China kujionea na kupata uzoefu wa sikukuu hiyo muhimu sana kwa Wachina. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina imekuwa kivutio kipya cha China kwa watalii...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
  16. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

    Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani. The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sababu mfumo wa Kichina wa Chama kimoja hauwezi kufanikiwa Tanzania?

    Kuna watu wanajidanganya CCM kwamba chao chao na Tanzania ifuate mfumo wa Kichina badala ya mfumo wa kidemokrasia. Ukweli ni kwamba mfumo inabidi uendane na jamii. Sasa tujiulize kama haya yanawezekana. au la. Kwa mawazo yangu haiwezekani kwenye jamii ya Watanzania kwasababu chache tu 1. Jamii...
  18. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtambo wa Kichina wa kurusha makombora walipuka na kuua wanajeshi 8 wa Cambodia.

    https://www.instagram.com/reel/DSuT14MCbJf/?igsh=ZnBzOGh3bGhpOW51
  19. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapishi wa Kenya wavutiwa na mapishi ya Kichina wakati uhusiano wa kitamaduni ukishamiri

    Kama ambavyo tunafahamu, China nan chi za Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano unaogusa pande nyingi, ikiwemo elimu, kilimo, sayansi na teknolojia, biashara na uchumi, pamoja na masuala ya kitamaduni. Kupitia Taasisi za Confucius zilizoko nchi mbalimbali za Afrika, elimu ya lugha na...
  20. Joseph 44

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PS4 yangu ya Kichina haikubali akaunti yangu, naomba msaada kutatua tatizo

    Kama uzi unavyojieleza ni kuwa nina ps4 slim yangu mpya ya kutoka china sasa kuna siku nimeamua ni sign in kwenye account yangu ya marekani sasa cha ajabu kila nikisign in inaandika "cannot use this account with this ps4" nimeshindwa kabisa kuelewa nimejaribu kucreate account mpya lakini...
Back
Top Bottom