miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MIRADI 14 MIKUBWA YA MADINI KUFUNGUA FURSA KWA MAKAMPUNI YA NDANI

    Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma katika sekta hiyo linakadiriwa kufikia takriban TSh trilioni 5.1 kwa mwaka, lengo ni kuhakikisha hadi...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna biashara zinafanywa na viongozi ndio maana miradi ya serikali kuendelea itakuwa ngumu.

    Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele. Tumeona sukari,reli na n.k. Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.
  3. 2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar miradi inaenda kasi sana huku Tanganyika ni hela hakuna ama?

    Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao. Mifano hai Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa LNG, Graphite, Nickel yavutia Marekani Tanzania

    Tanzania yavutia Wawekezaji kutoka Marekani Miradi ya LNG,Mahenge Graphite na Kabange Nickel Miradi ya kimkakati ya LNG, Mahenge Graphite na Kabanga Nickel inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka Marekani, ikiashiria fursa kubwa katika sekta ya nishati na madini nchini Tanzania. Uwekezaji huu...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Watakiwa Kuibua Miradi Ya PPP

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amewataka wafanyabiashara na wawekezaji kuacha kusubiri Serikali itangaze miradi ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP), badala yake waibue fursa na kuwasilisha mapendekezo yao kwa Serikali...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akutana na viongozi wa Mbinga kuimarisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya Mbinga, kwa lengo la kujadili namna bora ya kuimarisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Miradi na Biashara Zilizoanguka au kufilisika

    Habari za wakati huu; Ni mara chache sana watu hupata nafasi ya kujifunza kutoka kwa watu ambao biashara zao zilifilisika au kuanguka kabisa.Biashara ndogo kubwa na za kati.Hi ni tofauti na ukweli wa kitakwimu unaoonesha kwamba asilimia kubwa za biashara hufa ndani ya mwaka wa kwanza. Nimeleta...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Hii sio Dunia ya Serikali kuhodhi ujenzi wa miradi yote mpaka choo- David Kafulila

    Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi. == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania ‎Prof. Kabudi apongeza DAWASA uwekezaji Miradi ya Usafi wa Mazingira

    ‎Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba John Kabudi, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa hatua zinazochukuliwa katika kuboresha huduma za usafi wa mazingira, hususan sekta ya majitaka. ‎ ‎Prof...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Wenye midomo hawasemi Rais Samia anavyoleta miradi ikitokea tumekopa midomo mingi

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baba...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega atangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja Malinyi na Ulanga

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika wilaya za Malinyi na Ulanga, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi. Miradi hiyo inahusisha ujenzi wa barabara ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania NI ZAMU YA KEREGE: Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    NI ZAMU YA KEREGE Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo ▪️CPA. Subira Khamis Mgalu Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo 🕰️03:00 - 09:00 Alasiri 📆 Jumat
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo.
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya CAG kwa nini TRA wasiwekwe kuwa waendesha miradi.

    Kaka Pascal Mayalla umeeleza kuhsu TRA. Ila mda unavyozidi kwenda mimi nawazo kuhusu ufanisi wa TRA wanavyoweza kuona kila mfanyabiashara anapata faida. kwa nini hii miradi na pesa zinazopotea mfano mashirika mengi ya serikali pesa zinapotea wasiwe wao kama ndio wanafanya hii kazi. Ili pato...
  16. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hii miradi imekukosea nini?

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania. Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la Nyerere uliojengwa kwa lengo la kukomesha tatizo la umeme ndani ya nchi. Rais Samia amegoma...
  17. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA kutumia viwanda vya ndani kuchochea kasi utekelezaji miradi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema itaendelea kuunga mkono matumizi ya bidhaa zinazozalishwa na wazalishaji wa ndani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa taifa sambamba na kuimarisha upatikanaji wa vifaa vinavyosaidia utoaji wa huduma ya majisafi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu OWM- TAMISEMI, Mativila Aagiza Wakandarasi Kuzingatia Ubora Katika Utekelezaji Wa Miradi

    Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali chini ya Mradi wa TACTIC kuzingatia viwango vya ubora vilivyoainishwa katika...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnalala kwa makusudi: Ufisadi miradi ya ujenzi uko wazi na mnajidai hamuuoni!

    Huu mkeka wa ufisadi umepamba moto miaka ya karibuni bila kuchukuliwa hatua, TAKUKURU ina fuatilia vidagaa, na ni kwa vile wakubwa wanahusika katika hii grand corruption. Ujenzi sasa hivi ni sekta inakaribia kubomoka kabisa kutokana na corruption inayowahusu Wachina, Taasisi za ujenzi, hasa...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mtatifikolo Isimani: Kuendeleza Miradi ya Lukuvi

    MTATIFIKOLO: NITAENDELEZA YOTE YALIYOACHWA NA HAYATI WILLIAM LUKUVI. Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani Ndg. Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani katika Kata ya Malengamakali na kuzungumza na wananchi wa Vijiji vya Iguruba, Makadupa, Mgodini...
Back
Top Bottom