mabinti

 1. mama D

  Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

  Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu. Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena. Ya ndani yakiwa...
 2. N

  Watunzeni na kuwalea vizuri mabinti, wanaharibikiwa

  Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba. Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo. Anakuomba hela kila dakika ili mradi una mawasiliano nae. Sio hela ya vocha kusuka, simu, kodi, nguo...
 3. entry

  Kama Mahari ni asante kwa Wazazi, kwanini Wazazi wa Mwanaume hawapewi?

  Habarini wakuu, Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me). Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je. 1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani...
 4. Krav Maga

  Kinywaji cha CocaCola na Limao zawa mbadala wa Condom ili kuzuia Mabinti Kushika Mimba

  Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini ) " Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia...
 5. M

  Janja ya nyani: Tuoleane, Ukioa kwangu sitakutoza mahari! Huku nikijua kabisa sina mabinti wa kutosha kuozesha maana wengi walishaolewa

  Haya makubaliano ya kuoleana baina ya jamii mbili bila kutozana mahari tuyamulike! Jamii moja mabinti zake wengi walishaolewa tayari! Ndiyo inakuwa ya kwanza kupendekeza mambo ya kuoleana bila kulipishana mahari! Jamii nyingine bado ina mabinti wengi ambao hawajaolewa. Japo kila jamii inapewa...
 6. YAKKI KADAFI

  "Top up"janga kuu jipya kwa mabinti na wake za watu

  Habarini wanasafu, Hapa wilayani Bunda kuna michezo ya kutafuna mabinti na wake za watu kwa kile kiitwacho Top up. Waathirika wakubwa ni kinamama wanaochuuza mitaani ndizi, karanga, mihogo, machungwa nk. Kinachofanyika muuzaji huitwa na vijana wa saluni ambapo kijana mmoja huthaminisha bei...
 7. Forest Hill

  Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

  Nakumbuka enzi hizo wanatajwa walikua warembo wanaosumbua mjini,wapo wapi siku hizi??? Tukumbushane na lyrics hapa chini... Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Thamani zipo wazi mwenye macho aone enhh! Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Sababu zipo...
 8. Josh J

  Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

  Kama Una Binti Yako Na Hawa Ndio Wakawa Marafiki Zake Basi Jua Kabisa Hauna Binti, Kwisha Habari Yake... Team LGBT
 9. Samcezar

  Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

  Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia" halafu baada ya dakika kumi utasikia "una elfu tano au kumi ya karibu hapo". Ipo hivi, kuna wadada...
 10. Krav Maga

  Kwa ninavyowajua Mabinti wa Kitanzania na hasa hawa Wasanii wetu wa Kibongo nitakuwa wa mwisho kumuamini huyu mmoja wao...

  Ni kweli sina mpenzi na sipo kwenye mahusiano, mimi ni binti mdogo nina miaka 19 sitakiwi kujihusisha na hayo mambo, siwezi ku-control mapenzi na kazi kwa wakati mmoja kwa hiyo itabidi nipige kazi, nilishaapa sitaki kufa masikini lazima nipambane" - Msanii Anjella wa Konde Gang Chanzo...
 11. Idugunde

  Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

  Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa na mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla. Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?
 12. Mema Tanzania

  Ukeketaji dhidi ya wanawake na mabinti

  Kila mwaka ifikapo tarehe 6, Februari dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji. Je, unatambua wanawake na mabinti takribani milioni 7.9 wamepitia ukeketaji Tanzania? Licha ya serikali na wadau mbalimbali kupambana vilivyo na ukeketaji, kuna maeneo bado ukeketaji dhidi ya...
 13. LICHADI

  Mabinti wa kiislam na usafi

  Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Mabinti ninaowazunhumzia hapa sio wale wacheza vigodoro na wavaa madera wasiojielewa, ni mabinti wale wanaojistiri swala tano. Hawa mabinti moja ya sifa kuu waliyonayo ni usafi wa mwili, yaani ukibahatika kumla hutojutia wala kurudi hapa eti...
 14. Tembosa

  Mabinti wa Kiisrael(Wayahudi) wanavutia sana

  Wakuu! Nilichokigundua na kisichojulikana sana ni uzuri wa hawa warembo wakiyahudi aisee, sio maarufu sana lakini inawezekana kundi hili likawa katika nafasi ya juu sana duniani kwa mvuto. Na moja ya sifa kubwa walionayo ni kupenda familia. Na sio wavaa mahijabu.
Top Bottom