ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vifo vya ghafla vya mamilionea vijana nchini Zimbabwe katika mtazamo wa kiroho

    Mnakumbuka ajali mbaya ya gari ya Ginimbi (2020)? Na sasa hii ya helikopta ya Wicknell Chivayo (2026)? Kiuhalisia vifo hivi vinaacha maswali mazito yanayogubikwa na hofu, ushirikina na siri nzito za ulimwengu wa giza. Kwenye macho ya jamii, vifo hivi si ajali za kawaida tu za barabarani au...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mama, fanya hivi Mtoto akibadilika ghafla na kuwa kiburi, bange, pombe!

    Siri ya mayai ya kienyeji na mkojo wa mama kwa mtoto mtundu,mkorofi,kiburi.... Mayai 3. Kama mwanako amebadilika gafla Ameanza kuvuta bangi. Kunywa pombe Kulewa. Wizi. Yaani tabia zote mbaya mbaya zenye hupendi. Kama mama mzazi amka mapema Andaa mayai 3. Weka matone ya mkojo wa kwanza...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako au mwenza wako akikuomba simu yako ghafla unatumia mudagani hadi umpatie

    Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane. Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha. Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu. Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mwenye Nyumba Mkorofi na Majungu Yake

    Baada ya kumlipa pesa yake ya miezi 6,pamoja na hela za taka na maji.. Naona amenikasirikia sana, Huwa anajaribu kujenga mazoea na mm ila namkwepa. Kajaribu mara kibao sana nimkope hela, ila na kataa maana najua ni hatanirudishia na tutasumbuana tu. Sasa majuzi nimekuja na mtoto mkali...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kila ninapoiona sura ya Mama Abduli au kusikia sauti yake huwa nachukia ghafla. Ni heri nimuombee shetani asamehewe na Mungu kuliko mama Abduli

    Hakuna madhara ya moja kwa moja nimeyapata kupitia yeye. Ila niseme tu ukweli kwenye maisha yangu sikuwahi kumchukia mtu kuliko ninavyomchukia huyu mama abduli na genge lake. Ni heri nimuombee shetani asamehewe na Mungu kuliko mama abduli.
  7. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

    Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Stroke, vifo vya ghafla na kujiua:Sababu zabainika:

    Kiwango ambacho watu hufa ghafla kinazidi kutisha. Wengi wetu tunajua kuwa tunapitia kipindi cha kufadhaika, kuchanganyikiwa, hofu, mfadhaiko, msongo wa Mawazo, nk. Sababu hizi zote huongeza hatari ya shinikizo la damu, ambayo pia husababisha kushindwa kwa moyo au kiharusi, na bila shaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi usimchagulia mtoto masomo

    Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Ghafla taifa limehamia kwa zuchu na diamond sasa, yani mtaendelea kuchezewa akili kama tom and jerry😅

    Aliepo mitaa ya tabata, shukia hapa mi casa lounge , karibu
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kama ukichukia kuna mistari inapotea ghafla kiganjani kwako?

    HIVI UNAJUA KAMA.UKICHUKIA KUNA MISTARI INAPOTEA GHAFLA KIGANJANI KWAKO? Yes kama ulivyosoma no research no right to speak fanya uchunguzi kesho lete mrejesho
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dener mchanganyiko wa Pele na Garincha kipaji kilichopotea ghafla

    Wengi tumesikia au kushuhudia vipaji vya wachezaji tofauti wa Brazil kuanzia Pele, Garincha, Zicci, Romario, Ronaldo, Gaucho na Neymar kuwataja kwa uchache. Kuna kipaji cha mchezaji wa Brazil ambaye hata Maradona alimshangaa na kama sio kupata ajali kingeweza ku9nekana mwaka 1994 kwenye kombe...
  13. suley hazard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Rav4 kilitime kuzima ghafla

    Habari wana jukwaa, Naomba msaada wenu kwa wenye uzoefu na Rav4 kilitime (rav4 2nd generation), engine ya gari imekua ikizima ghafla especially wakati wa kupark, wakati ninapunguza mwendo kuhama njia au nikiwa na shift gear kutoka D kwenda R au N. Nimejaribu kusafisha sensor zote muhimu kama...
  14. insane

    JamiiForums Tanzania Mbona ameniacha ghafla! ana mtu au kaamua kuishi tu peke yake?

    Ipo hivi... Kuna siku nilikuwa napita mahali nikamuona mtoto wa kike jina alikuwa skola nilikuja kumjua baadae ametulia kwao hio asubuh juani akawa ananiangalia sikumsemesha nikapita zangu lakini nikigeuka nyuma alikuwa bado ananiangalia basi mimi nikaachananae tu nikaendelea na mishe zangu...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuishangilia kwa ghafla Serengeti boys, huwenda kukawapo hofu na kupoteza mchezo

    Hizi ni fikra zangu tu binafsi, kuwashangilia na kuwatambua kwa ghafla, kuwazawadia, kuwatumia ndege, kuwajazia waheshimiwa tele, huenda vijana wetu wakaingia ubaridi hofu na woga, maana wamepandishwa juu na kupewa heshima kubwa ya kutambulika kwa ghafla. Binafsi niwajenge kisaikolojia...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi, Zanzibar imetajirika ghafla ila Tanganyika chaliii

    Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi? Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa. Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa. Ila...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli mwanamke wa miaka 31 amedaiwa Kuzeeka ghafla na kuonekana kama bibi wa miaka 80?

    Kumekuwepo na chapisho lililosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likidai kuwa mwanamke mmoja kutoka nchini Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 31 amezeeka ghafla na kuonekana kama bibi mwenye umri wa miaka 80. Chapisho hilo linaeleza kuwa mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Sinenhlanhla...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake. Jeshi hilo...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kila mtu atakufa lakini omba Mungu angalau ufe kifo cha ghafla

    Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida. Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥 Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
Back
Top Bottom