elfu 50

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

    ITOLEWE AMRI, UCHAFU KUKUTWA KWENYE ENEO LAKO, FAINI ELFU 50. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii nchi unaweza ukadhani haina viongozi. Unaweza ukadhani haina Wasomi. Unaweza ukadhani haina Watu wazima. Unaweza ukadhani haina wanawake wanaosifika kwa usafi. Kuna mambo ukiyafikiria yanaweza...
  2. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Cbt na kcje zieleze tani elfu 50 za salfa ya unga ziko wapi?

    Mnamo mwezi Aprili 2026 Umoja wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Korosho nchini (KCJE) na Bodi ya Korosho Tanzani walieleza kuwa wanatarajia kusambaza zaidi ya tani elfu 50 za Viuatilifu vya unga (Sulphur) msimu wa kilimo 2026/2027 kwa wakulima wa korosho nchini. Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  4. R

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA: Nauli Tanga to Dar ni elfu 50 badala ya 22

    Latra please ingilia kati. Wanapanduaha nauli eti sababu ya D9 Nenda Magufuli stend wasaidie wànanchi wanaibiwa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tengeneza website full ikiwa na domain ya biashara au kampuni example.com yako kwa elfu 50 tu ndani ya siku moja

    Habari, Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24. Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka mzima mfano example.com bila malipo, hii sii ya kukosa. Kumbuka Website hii unaweza kuitumia kuuzia...
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Njombe: Miaka 12 sasa ujenzi wa ofisi ya mtaa haujakamilika, Chapangishwa chumba elfu 50 kwa mwezi kama ofisi, wananchi wahofia faragha ofisini

    Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12 iliyopita. Mtaa huu unaokaliwa na wakazi 15,195, unahudumiwa katika chumba kimoja kidogo cha kupangisha...
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

    Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga...
  9. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Mwenye TV inchi 15 aje inbox kuna elfu 50 mfuko wa shati hapa

    Wazee mambo yasiwe mengi saaasa! Mi sichekeshi Ninhitaji tv ya nchi 15, godoro la elfu 25 ikiwezakana na Chumba cha kupanga elfu 20 cha umeme nalipa miez miwili Napendelea sana mabwepande mpaka kunduchi, madale na sehem zingine zinazofanana na hizo ila isiwe goba tu Kuna hela hapa haina kazi
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Nauza Airtag Mpya kabsa- Elfu 50

    AirTags zilitangazwa katika hafla ya uzinduzi wa Apple mnamo tarehe 20 Aprili 2021. Zitatolewa tarehe 30 Aprili, lakini unaweza kuagiza mapema wakati huo sasa. Maagizo ya mapema yalianza tarehe 23 Aprili. Apple AirTags ni vifaa vya ufuatiliaji vyenye teknolojia ya Bluetooth vilivyoundwa...
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimempa elfu 50 na bado akanidai elfu moja ya nauli

    Nimegundua Mwenye huruma na pesa zangu ni mimi mwenyewe. Na nikiendelea kucheka na hawa wapumbavu sitafanya la maana miaka yote
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Halima Bulembo: Mikopo ya kausha damu inawakausha kwelikweli wanawake na kuwadhalilisha. Asema ukikopa elfu 50 unalipa jumla 85

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
  13. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania DP World tayari imejenga "Bandari Kavu" Rwanda yenye uwezo wa kontena elfu 50, wakati bandari yetu ni ya kontena elfu 19 tu

    Katika hili wala hauhitaji kujua aliye nyuma ya hawa DP World ni nani, haijatokea kwa bahati mbaya, hakuna coincidence hapa, ni mipango iliyopangwa ikapangika na sasa tunaenda kupigwa mchana kweupeee. ========================== TAARIFA KUHUSU UWEKEZAJI UNAOPENDEKEZWA NA DP WORLD TANZANIA DP...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna watu wanafanya biashara Dar es salaam kwa mtaji wa elfu 50 tu🙌🙌

    Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu. Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
  15. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kila unachoshika kimepanda bei, ngano elfu 50, simenti elfu 21, Rais Samia tusaidie

    Wananchi wameamua kupaza sauti kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kuwepo kwa mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali na kumuomba Rais Samia aingilie kati kuwanusuru.
  16. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Wafanyabiashara wadogo wanatozwa kati ya elfu 50 hadi laki 3 kama adhabu

    Baadhi ya viongozi wa Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari wa Jiji wanadaiwa kuwatesa na kuwanyanyasa Wafanyabiashara wadogo, na kuwatoza Wafanyabiashara hao faini kubwa kati ya Tshs 50,000/= hadi 300,000/= kama adhabu ya "makosa" mbalimbali...
  17. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV chogo nch 30 kwa elfu 50 tu brand sony

    Inapiga kazi kama kawaida. Iwahi mapema nataka pesa ya haraka nipo Kigamboni 0683011003
  18. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Banda la biashara linauzwa

    Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter lina potato...
  19. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania Jiajiri kwa kutengeneza kipato mpaka elfu 50 kwa siku

    Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter lina potato...
  20. Nominee

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nilivyotengeneza kipato kwa mtaji wa Tsh 50,000 tu

    Habarini wakuu. Najua kuna wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira. Hata wanaothubutu kujiajiri nao bado wanapata changamoto mbalimbali na mitaji yao inapotea pasipo kufanya jambo la maana. Hebu soma kisa changu. Ilikuwa ni mwaka jana(2020) mwezi wa saba nilipoamua kutoka mjini na kuhamia...
Back
Top Bottom