ufahamu

Ufahamu: A Journal of African Studies is a graduate-student run, peer-reviewed academic journal published at the University of California, Los Angeles (UCLA). It was established by the UCLA African Activist Association in 1970 and named after the Swahili word for comprehension, understanding, or being. The journal is published three times a year and is available from the University of California's eScholarship website. It is "the longest running ... graduate student journal in the United States."Ufahamu is published in English, with occasional poetry or articles in African and European languages. It is indexed in the MLA International Bibliography, Africa-Wide Information, and Historical Abstracts.

View More On Wikipedia.org
  1. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Sealing la ufahamu: unaweza kuongeza siti/viti kwenye van bila kuongezewa gharama za ushuru?

    Kama mjuavyo magari Kama Nissan Caravan van au Hiace super GL hayawi na siti na ushuru wake uko chini ukilinganisha na magari Kama hayo hayo lakini ni Wagon. Swali langu ni je inawezekana kuongeza siti kwenye van bila kuongezewa ushuru wakati wa kubadilisha kadi ya gari? Nb. Title isomeke swali...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Ufahamu: Namna ya Kuwabaini Matapeli wanaotumia mbinu ya kupiga Picha na Viongozi

    Matapeli wengi wa kisasa hutumia mbinu ya kisaikolojia inayoitwa "Social Proof" (Kutafuta Uhuishaji wa Kijamii). Kupiga picha na kiongozi mkuu au mtu maarufu na kuipost mtandaoni huwasaidia kujenga uaminifu wa haraka (instant credibility) ili waathirika wasiwaatilie shaka wanapowaomba fedha au...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Je, akili au ufahamu (consciousness) wa binadamu unatoka wapi ndani ya mwili?

    Je, akili au ufahamu (consciousness) wa binadamu unatoka wapi ndani ya mwili? Niko hapa kujifunza Zaidi.
  4. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wengine Wanatajirika Haraka, Wewe Ukibaki Maskini? (Soma hapa ufahamu)

    Habari wadau, Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio mzizi ulipo. Je unachotengeneza na unachotumia inamaana gani? Kutengeneza thamani maana yake ni kwamba...
  5. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Dunia: Jela ya Wenye Ufahamu lakini Paradiso la Wajinga...

    Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii. Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa. Ufahamu wao unawafanya...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiunganisha uongozi wa Uganda wanacho kifanya ndio Tanzania wanacho kifanya

    Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe

    Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Umri wa Kweli na Ufahamu Wako

    Kuna kiwango cha ufahamu ukifika, unashindwa kujibu swali la umri sababu umri unaozungumzwa ni umri wa mwili siyo wako. Wewe mwenyewe umri wako huujui maana hujui kitu kinachoitwa muda. Huwezi tena kusema asili yako ni wapi kwa kuwa unajua kuwa asili yako ni ulimwengu. Wewe na ulimwengu ni kitu...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Ufahamu vs Akili: Tofauti Halisi

    INTELLIGENCE vs KNOWLEDGE! (UFAHAMU DHIDI YA AKILI Ufahamu (au intelligence) ni kitu ambacho mtu au mnyama au kiumbe hai yeyote anazaliwa nacho, hafundishwi na yeyote. Intelligence ni tofauti na akili. Akili ni yale maarifa aliyo nayo mtu kwa kufundishwa. Akili ni zao la jamii iliyokuzunguka...
  10. bless on

    JamiiForums Tanzania Ufahamu: Kusikiliza Kutafakari au Kujibu?

    Unajua kwamba watu wengi wenye upeo wa chini wa ufahamu, husikiliza ili kujibu na hutazama ili kusimulia. Tofauti na watu wenye upeo wa juu ambao wao husikiliza ili kutafakari na hutazama ili kuona. Wapumbavu hudhani kutazama inawasaidia kufahamu kwa kuwa maisha yao yanaendeshwa na hisia za...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tamisemi, Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani likizo wasibaki shuleni mtaàla wa sasa unapima ufahamu siyo content based curriculum

    Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee...
  12. zee_latown

    JamiiForums Tanzania kupata pisikali kwa kujitoa ufahamu

    Ni mwanzo tulivu sana wa weekend... maeneo fulani nimetulia na PC yangu nikaona nieleze kinaga ubaga kuhusu jambo hili lililoshamiri mno miongoni mwetu tulio wengi. ingawa jmbo hili halisemwi semwi sana ila limejiotea mizizi mno na bila shaka athari zake ni mbaya sana... nitazieleza mwishoni...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuendelea kutoa ufafanuzi ni kutukana ufahamu wetu wananchi

    Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi. Peleka ufafanuzi ulikokabidhi ripoti unatufafanulia nini wakati ripoti yote unayo wewe mwenyewe? Unafafanua nini katika jambo ambalo kila kitu unacho wewe...
  14. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Hekima

    Usitake muujiza , kama unaweza kutumia maarifa ukafanikiwa . Hekima uwa Ina jieleza yenyewe.
  15. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Je unajua binadamu ana level ya ufahamu au dimension kuusu Mungu, upo level gani ? soma hapa

    Dimension nini, ni uwezo au ufahamu wa binadamu kuusu Mungu.Binadamu tuna level fulani ya ufahamu kuusu Mungu.Ufahamu wa juu wa binadamu mara nyingi unatokea pale mtu anapopitia greater loss(Kupoteza au Changamoto ngumu za kimaisha) Dimension hizo ni -3D -4D -5D 3D(dimension) Hii ni level...
  16. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Wanahisi Claude AI imefikia level ya kuwa na ufahamu ( conciousness ) - Anthropic

    ‎CEO wa Anthropic kampuni inayomikiki Claude anasema kwamba kampuni hiyo haiwezi tena kuthibitisha kwa uhakika kuwa AI yake ya Claude haijafikia level ya Conciousness. mtazamo huo unatokana na majaribio ya ndani ambapo AI ilijipa uwezekano wa asilimia 15 hadi 20 wa kuwa na hisia.pia watafiti...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

    NB: Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa.... Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukipiga simu sana leo D9 App ya true call inakwambia kuna mtu ameangalia namba yako wakati ufahamu hiyo namba

    Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako. Na kwa nini ili jambo limeanza leo
  19. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa,ujuzi au ufahamu na hili anisaidie

    Nina changamoto ya kusumbuliwa na mguu,sasa unafikisha mwaka wa 2, mguu huu unaouma ni wa kushoto tu. Huu mguu unauma na kukosa nguvu ninapotembea tu,lakini kama nakaa,nasimama au kukimbia hata ukiendesha baiskel husikii maumivu yeyote ,ila ninapotembea aisee mguu hauna nguvu kabisa(MZITO...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GUTA

    Jamani naomba kuuliza wenye uzoefu kuhusu guta aina ya KEVLA. Naomba kujua kuhusu ubora wake wakuu
Back
Top Bottom